Siyo watu hawana pesa, sema sina pesa

Siyo watu hawana pesa, sema sina pesa

Yes, kutoboa huwa ngumu sana hasa kama umezaliwa kwenye familia ambayo mnyororo wa umaskini umetahamalaki toka mababu.
 
Hawa ndo wahujumu wa SGR
tuliwaambia SGR haitoboi wakatubishia, sasa kama watu waliweza kuitokomeza reli ya kati washindwe nini kwenye SGR.
Na hata kama ikitoboa sidhani kama itastahamili kwa zaidi ya miaka 15 bila watu kuuza spare.
 
Back
Top Bottom