F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 34,181 Reaction score 41,563 Oct 23, 2023 #41 Yes, kutoboa huwa ngumu sana hasa kama umezaliwa kwenye familia ambayo mnyororo wa umaskini umetahamalaki toka mababu.
Yes, kutoboa huwa ngumu sana hasa kama umezaliwa kwenye familia ambayo mnyororo wa umaskini umetahamalaki toka mababu.
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 34,181 Reaction score 41,563 Oct 23, 2023 #42 blogger said: Hawa ndo wahujumu wa SGR Click to expand... tuliwaambia SGR haitoboi wakatubishia, sasa kama watu waliweza kuitokomeza reli ya kati washindwe nini kwenye SGR. Na hata kama ikitoboa sidhani kama itastahamili kwa zaidi ya miaka 15 bila watu kuuza spare.
blogger said: Hawa ndo wahujumu wa SGR Click to expand... tuliwaambia SGR haitoboi wakatubishia, sasa kama watu waliweza kuitokomeza reli ya kati washindwe nini kwenye SGR. Na hata kama ikitoboa sidhani kama itastahamili kwa zaidi ya miaka 15 bila watu kuuza spare.
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 34,181 Reaction score 41,563 Oct 23, 2023 #43 Pain killer said: Hayo yote atayaacha Duniani na kuzikwa pekee yake ,... Hizo pesa Bora angegawia masikini tu .. Click to expand... hii kauli inatupatiaga sisi maskini faraha kubwa sana.
Pain killer said: Hayo yote atayaacha Duniani na kuzikwa pekee yake ,... Hizo pesa Bora angegawia masikini tu .. Click to expand... hii kauli inatupatiaga sisi maskini faraha kubwa sana.