youngkato
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,319
- 3,097
Kwa kutumia AI Agency, usipojiongeza mapema utapunguziwa mshahara au utafukuzwa kazi
Ai agent ni nini...?
Hizo skills ni zipi..?
Kitakachochukua kazi yako sio kampuni za AI bali ni AI Agency. Ai agency ni kama roboti (software) zilizotengenezwa kwa ajili ya kazi flani tu.
Mfano mimi badala ya kuajiri social media manager. Natafuta ai agent inakuwa inanifanyia kazi zote za social media
Mfano kuna youtube AI agent. Ikifika asubuhi, inatafuta trending event tanzania, inaniandikia script, inaweka sauti, inatengeneza picha na video, inatengeneza Thumbnail, inaupload video youtube.
Hata nikitaka video 50 kwa siku inatengeneza. Pia kwenye media nyingine.
Mfano mwingine wa AI Agency ni hizi za x
Kama umefatilia kuna account nyingi za X zipo full automated na AI
Yaani account inaandika thread, inatengeneza picha, ina reply comment, inaandika post, inakujibu DM. Kila kitu ni automated. Hiyo tayari imechukua kazi za watu wengi
Hizi ni kazi ambazo zipo hatarini kabisa kuchukuliwa au kufutwa na AI Agency
1. Kwanza kabisa ni graphics design
Naweza kutengeneza design ndani ya dakika moja ambayo ningemlipa designer.
Ndio maana graphics designer wanafanya Branding na skills nyingine ili wasiwe replaced na AI.
2. Content writing
Ingawa wanasema maandishi ya AI ni tofauti na ya binadamu. Lakini miaka inavyoenda itakuwa trained kuandika kama binadamu.
Kwa sasa tunaandikia research, academic writing, script writing, proposal, social media post. Zipo AI agent kwa ajili ya social media
3. Data entry jobs
Zamani kila mtu alikuwa anakimbilia kazi za data entry, na zilikuwa nyingi sana.
Ila saiv zimekuwa automated na AI mpaka zimepotea kabisa.
Unless uwe kwenye baadhi ya niche,
Lakini kwa kiwango kikubwa hizo kazi huwezi kuzipata kama zamani
Kazi zingine zitakazochukuliwa na AI
Ni kama
4. Proofreading
5. Translation
6. Transcription
7. Social media marketing
8. Kazi zote ambazo zinafanyika kwa kujirudia
Ila kama kazi yako inahitaji creativity na emotional. Basi uko salama.
The good news is ukijifunza kutumia AI kwenye kazi zako
Unaonekana genius na smart sana kuliko watu wengine.
Kwahiyo kwa kutumia AI unaweza kuwa bora zaidi kuliko kukwepa kutumia AI.
Kujifunza zaidi bonyeza hapa wa.me/+255693880325