implicit memory
JF-Expert Member
- Nov 14, 2024
- 806
- 926
Kwa hiyo ina na mtu 1 tu wa kuicontrol au sio??.Ndio maana kuna kitu kinaitwa AI agent, Yani inatengenezwa AI kwa ajili ya kufanya kitu kimoja tu. Labda ufundi kama fundi bomba, umeme, kufua, kupika