I implicit memory JF-Expert Member Joined Nov 14, 2024 Posts 806 Reaction score 926 Mar 12, 2025 #21 youngkato said: Ndio maana kuna kitu kinaitwa AI agent, Yani inatengenezwa AI kwa ajili ya kufanya kitu kimoja tu. Labda ufundi kama fundi bomba, umeme, kufua, kupika Click to expand... Kwa hiyo ina na mtu 1 tu wa kuicontrol au sio??.
youngkato said: Ndio maana kuna kitu kinaitwa AI agent, Yani inatengenezwa AI kwa ajili ya kufanya kitu kimoja tu. Labda ufundi kama fundi bomba, umeme, kufua, kupika Click to expand... Kwa hiyo ina na mtu 1 tu wa kuicontrol au sio??.
Ben_de_portival Member Joined May 16, 2024 Posts 35 Reaction score 57 Mar 12, 2025 #22 Nowadays ukitaka IT ikulipe au sector yeyote ambayo inavamiwa kwa kasi na AI basi jifunze iligeal activities kwa sababu izo AI hawezi kukusaidia
Nowadays ukitaka IT ikulipe au sector yeyote ambayo inavamiwa kwa kasi na AI basi jifunze iligeal activities kwa sababu izo AI hawezi kukusaidia
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Mar 12, 2025 #23 Duh