SKONGA: Kipindi 'kinachovua nguo' wanafunzi


Yeah, the so called rev. Mtikila has the same thinking capacity as yours!! Ukweli upi unaoujuwa wewe uliye jaa udini!! Nimeshakueleza hapo juu kinachowasumbua nyie ni kudanganyana. I hope, very well, you know the man Salman Rushdie!!
 

Najua kweli kutokana na maelezo yako yapo madudu ambayo utawala wa Nyerere uliyafanya, na ndio maana aliwahi kusema anakiri walikosea sehem fulani fulani... Sasa ni sawa kuusifu uongozi wa jk kuhusu umeme amid richmond, iptl, symbion, songas, na madudu mengine? Hakika una mahaba ya dhati na utawala huu
 

Mtoto wa Rais alikosa nini hadi kufeli? Hao wasahihishaji kkweli hawana huruma
 

Madudu ya kupikwa?

From Ubungo to Africa. Huyo ndie Kikwete.
 

da mkuu uliyokutana nayo kali.ukimpiga wazazi wake wanakuja juu.
 
Madudu ya kupikwa?

From Ubungo to Africa. Huyo ndie Kikwete.

Du, kweli wewe mdada unajua kupenda! Hv hata mumeo unampenda hivi? Unampaga 'anachotaka' hadi unampagawisha? Hongera sana. Wewe ni bingwa wa kupenda....inaonekana hata ukimpenda kima una uwezo wa kumpamba hadi akaonekana kama mwanadamu halisi, tena hansamu boi!!! Mahaba mahabuba! Hongera!
 
Kuondoka madarakani, tumpe nani aongoze? Slaa? au DJ? - Wewe kweli umeichoka hii nchi.

Mbona mkuu wa kaya ambaye ni Dr(ya kupewa) aliulizwa na mtangazaji kwanini nchi yako ni maskini? Bila ya aibu akasema "Hata mimi Sijui" hahah,,kikwet.e ni janga la taifa na hawa wajukuu wake wa Skonga.
 
Mwanafunzi unakutana nae hata waziri wake wa elimu hamjui ila muulize akutajie kikosi cha Manchester United hadi wale wa benchi atakutajia au muulize kuhusu wanamuziki ndo kabisaa,,lakini akujajie mawaziri wawili wa hapa Tanzania hawajui.

Wazazi tunachangia kabisa kwahili kwani huu utandawazi kama tungeutumia vizuri ingesaidia sana katika general knowledge.
 
Alan Laki kama anafuatilia huu mjadala, anastahili hongera zake. Najua keshaona tatizo katika kazi afanyayo. Najua pia wako watu nyuma ya kamera yake wanaojua nini wanafanya zaidi ya kuchukua picha na kuandaa kipindi. Kwa muda wote ambao amefanya kazi hii ya kukutana na wanafunzi hawa amegundua mengi ambayo hayastahili kubaki kwenye DV tu. Yanastahili kuainishwa kwenye maandishi katika mfumo wa utafiti na mapendekezo ya nini kifanyike kwa wanafunzi hawa. Isitoshe shule za hapa mjini tu na maeneo ya jirani. Tungependa kuona na kule Katavi, Babatii, Namtumbo, Rombo, Geita na kwingine hawa wanafunzi wana ufahamu gani. Fanyieni kazi hayo.
 
da mkuu uliyokutana nayo kali.ukimpiga wazazi wake wanakuja juu.

unasemaje?? kuna mama mmoja tulimwita kwasababu za kinidhamu za binti yake hapa shulen. alipofika tukaongea kisha tukamwambia amwadhibu mwanae akadai yy hawez kumpiga. na sisi waalim tukamwambia kwamba hatujaajiriwa kupiga so kama hawez kumchapa mwanae basi aondoke naye home.

mama kauskia hivyo ikabidi ashike fimbo kumwadhibu mwanae, baada ya kumchapa wakatoka nje wote yy na mwanae. wakiwa nje mama akamwambia bintie

"" SHOGAA SIKUTAKA KUKUCHAPA ILA NI WAALIMU WAKOMENILAZIMSHA!!! POLE SANA SHOSTI WANGU"""

Haya maneno yalituudhi acha tu but tulipotezea manake ndo kazi za akina mama zilivyo.
 

Tuko pamoja mkuu, nilishawahi kusema bila kuangalia upya marupurupu ya wanasiasa, tutakumbana na majanga mengi sana mbele ya safari. Mojawapo ikiwemo kila mtu anataka kuwa mwanasiasa licha ya kukosa vigezo na uwezo wa kuhudumia wananchi ila maslahi binafsi ndio yanamsukuma mtu.

Pili wanasiasa watajitahidi kukuridhisha, namaanisha watawaambia mnachopenda kusikia, na kwa mwendo huo hatuwezi kupata ufumbuzi wa kudumu wa changamoto zinazotukabili.

Ubarikiwe
 
Mkuu Jodoki umenigusa sana hapo kwenye rangi ya bluu. Sipati picha itakuwaje ikifikia siku wale asilimia 60 wa Dk. Kawambwa wakiingia studio baada ya kumaliza kozi fupi fupi pale DSJ .
 
Sasa Kutoka kwa Mulugo unategemea nini?
Hajui hata kasema nini, au ulimi uli-slippery

Na juzi kati Mulugo ameruhusu rasmi simu kwa kutoa kauli ya kisiasa"wananchi hawakutuelewa tulipozuia simu mashuleni, tulichokataza ni mwanafunzi kutumia simu darasani lakini akitoka nje ni rukusa kutumia simu kwa mawasiliano na wazazi",
 

Nadhani huyo hakuwa mama mzazi. Aliokotwa tu mwanamke huko kuja kuokoa jahazi. Poleni kwa changamoto zinazowakuta
 
Vipindi vya burudani na miziki kwenye TV za Taifa ziwe baada ya saa tatu usiku. Masaa yaliyobaki viwe vipindi vya shule na dokyumentari zinazofundisha.

Kumbe ukitulia huwa una pointi sana.
 
Mbona mkuu wa kaya ambaye ni Dr(ya kupewa) aliulizwa na mtangazaji kwanini nchi yako ni maskini? Bila ya aibu akasema "Hata mimi Sijui" hahah,,kikwet.e ni janga la taifa na hawa wajukuu wake wa Skonga.

Tena kwa taarifa yako si moja. Hapo ndio ujuwe hicho ni kichwa, mbona wewe hukupewa?
 
Tena kwa taarifa yako si moja. Hapo ndio ujuwe hicho ni kichwa, mbona wewe hukupewa?

Kichwa halafu hujui kwanini nchi yako maskini? Anatofauti gani na wale watoto wa skonga,,,Kwahiyo na wewe ndo walewale wa degree za lecture pichu mkononi?
 
Sasa Kutoka kwa Mulugo unategemea nini?
Hajui hata kasema nini, au ulimi uli-slippery

Ndio maana those days tulikuwa tuna-define siasa kama "uongo uliokomaa" maana wanasiasa wa tz huwa hawakosi sababu maana sidhani kama kuzuia kutumia simu darasani inahitaji tamko la waziri mpaka alitolee ufafanuzi wakati kuongea na simu darasani inaingia kwenye kanuni za shule kama kutoingia na kandambili darasani, kupiga kelele n.k. Nilicheka sana alivyokuwa anarudia mara mbili mbili kisa ufadhili wa hiyo program na vodacom, haya matamko yao yanahitaji kuambatana na document vinginevyo hali ikiwa mbaya kuhusu matumizi ya simu atakuja waziri mwingine na kauli ya hamkumwelewa Mulugo yaani serikali ilikuwa inamaanisha simu wanatumia kwa special arrangement toka kwa mwalimu wa zamu, chezea wanasiasa wetu
 
Mkuu Jodoki umenigusa sana hapo kwenye rangi ya bluu. Sipati picha itakuwaje ikifikia siku wale asilimia 60 wa Dk. Kawambwa wakiingia studio baada ya kumaliza kozi fupi fupi pale DSJ .

Maana wananikera hawa madogo na TCRA wanaangalia tu watu wanazungumza wanavyotaka mbaya zaidi hata lugha wanayotumia nayo ni balaa, hatukatai huwa angalau kuna vipindi hata RTD enzi hizo walikuwa wana vipindi ilikuwa ruhusa kujimwaga na lugha yoyote ya mtaani lakini siku hizi imekuwa balaa maana wanatumia kiswahili, kiingereza na zile zetu za mtaani alafu mtangazaji anakuambia sijui kwa kiswahili niitaje hii (kama mtangazaji unakuwa hivi sasa huku uraiani itakuaje, ukimwambia atumie kiingereza hawezi, wamepewa fursa ya kutangaza kwa kiswahili napo wanajifanya kuchanganya)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…