SKONGA: Kipindi 'kinachovua nguo' wanafunzi

SKONGA: Kipindi 'kinachovua nguo' wanafunzi

Nna uhakika haukuwepo wakati wa nyerere na unachokijuwa chote ni uongo uliojazwa nao kichwani na ukauamini.

Hivi wewe ambae haukuwepo wala hauujuwi ukweli, ninibishane na wewe si kama nabisha na ukuta?

Sisi tunayajuwa madhila yaliyotukuta wakati huo, nashkuru kuwa leo tunaweza kutoa dukuduku letu, wako ambao hawakuwepo wakati huo lakini ni wenye muono na wanaelewa tunachokiongea.

Hebu msome huyu mchungaji umsikie maoni yake kuhusu wakati wa Nyerere (Kingereza kinapanda lakini, au nampigia mbuzi guitar?):

An account of this is from Reverend Christopher Mtikila, National Chairman of the Democratic Party of Tanzania, who opposed Nyerere. He said:
"We experienced a very strange way of living because of the terror campaign with the security officers trained in the communist block. It was terrible. People did not trust anyone, even in the families. Wives would not trust their husbands and vice versa because it was a very severe terror campaign. People would disappear silently and no one would be allowed to think about them because if you are suspected to be thinking treason, then you also disappear. We lived under that repressive regime, I mean, all these years until this guy retired after the failure of Ujama, because we did not achieve all these things. We were made to think about things which were not there and believe they are there. To say otherwise was to say treason. This is the terror campaign which subdued us to the level of livestock, which always live in fear of slaughter anytime."

Yeah, the so called rev. Mtikila has the same thinking capacity as yours!! Ukweli upi unaoujuwa wewe uliye jaa udini!! Nimeshakueleza hapo juu kinachowasumbua nyie ni kudanganyana. I hope, very well, you know the man Salman Rushdie!!
 
Imeishia wapi hiyo "kujitegemea"?

Dunia hii lazima kuwe na ma "Janitor", ma Doctor, ma Engineer, hamuwezi kuwa ma "janitor" matokeo yake ndio unaona alipoifikisha nchi Maskini wa mwisho duniani, kila kitu alikiacha hohe hahe alipong'atuka. Janitor akawe Mwalim? Kuli akawe mshauri wa Rais?

Fikiri, mtu kama Songambele ambae hana elimu yoyote ya maana eti Mkuu wa Mkoa halafu Mwenyekiti wa Board ya Tanesco, matokeo yake? umeme anakuja kuurekebisha Kikwete baada ya miaka 50 ya Uhuru.

Najua kweli kutokana na maelezo yako yapo madudu ambayo utawala wa Nyerere uliyafanya, na ndio maana aliwahi kusema anakiri walikosea sehem fulani fulani... Sasa ni sawa kuusifu uongozi wa jk kuhusu umeme amid richmond, iptl, symbion, songas, na madudu mengine? Hakika una mahaba ya dhati na utawala huu
 
You can tell that to the birds!! Hizo hesabu za wanafunzi wa kiislam waliofeli labda unazo wewe tu! Hivi Dr Shukuru Kawmbwa si ndiyo bosi wa Dr Ndalichako? Alikubalije waislamu wenzie wafelishwe? Now get your point, unataka kuniambia na Mwanaasha Kikwete alifelishwa na Dr Ndalichako? Tatizo unaufunika sana ubongo mpaka unashindwa kufanya kazi yake sawasawa!!

Mtoto wa Rais alikosa nini hadi kufeli? Hao wasahihishaji kkweli hawana huruma
 
Najua kweli kutokana na maelezo yako yapo madudu ambayo utawala wa Nyerere uliyafanya, na ndio maana aliwahi kusema anakiri walikosea sehem fulani fulani... Sasa ni sawa kuusifu uongozi wa jk kuhusu umeme amid richmond, iptl, symbion, songas, na madudu mengine? Hakika una mahaba ya dhati na utawala huu

Madudu ya kupikwa?

From Ubungo to Africa. Huyo ndie Kikwete.
 
UNASEMA MWANAFUNZI AJE AKUULIZE SWALI??
WAKATI MWALIMU WEWE NI MNOKO??
SIKU HIZI WANAMBINU ZAO ZA KUTOKUJAZA KABISA MTIHANI ZAID YA JINA LAKE AMA KUANDIKA MATUSI KUMTUSI MWALIMU. NILIWAH KUANDIIWA NA MWANAFUNZI WA FORM ONE KWENYE MTIHANI WA PHYSICS K2UM@ M@MaKO MTIHANI WOTE TENA ALIUNGANISHA BILA KUACHA NAFASI WALA KURUKA MSTARI YAANI UNGEONA UNGEKUFA KWA KICHEKO.

KASHESHE SASA HATA JINA HAKUANDIKA AKIJUA KWAMBA SITOMKAMATA KKUMBE WENZIE TUNAPOANDIKAGA ATTENDANCE KWENYE MTIHANI TUNAANDIKAGA KWA MENGI. LKN NILIMSAMEHE TU MANAKE HATA ANGEFUKUZWA SHULE STILL HASARA INGEKUWA YA MAZAZI WAKE. HIVYO MTU UNAPOTEZEA KIMTINDO.

da mkuu uliyokutana nayo kali.ukimpiga wazazi wake wanakuja juu.
 
Madudu ya kupikwa?

From Ubungo to Africa. Huyo ndie Kikwete.

Du, kweli wewe mdada unajua kupenda! Hv hata mumeo unampenda hivi? Unampaga 'anachotaka' hadi unampagawisha? Hongera sana. Wewe ni bingwa wa kupenda....inaonekana hata ukimpenda kima una uwezo wa kumpamba hadi akaonekana kama mwanadamu halisi, tena hansamu boi!!! Mahaba mahabuba! Hongera!
 
Kuondoka madarakani, tumpe nani aongoze? Slaa? au DJ? - Wewe kweli umeichoka hii nchi.

Mbona mkuu wa kaya ambaye ni Dr(ya kupewa) aliulizwa na mtangazaji kwanini nchi yako ni maskini? Bila ya aibu akasema "Hata mimi Sijui" hahah,,kikwet.e ni janga la taifa na hawa wajukuu wake wa Skonga.
 
Mwanafunzi unakutana nae hata waziri wake wa elimu hamjui ila muulize akutajie kikosi cha Manchester United hadi wale wa benchi atakutajia au muulize kuhusu wanamuziki ndo kabisaa,,lakini akujajie mawaziri wawili wa hapa Tanzania hawajui.

Wazazi tunachangia kabisa kwahili kwani huu utandawazi kama tungeutumia vizuri ingesaidia sana katika general knowledge.
 
Alan Laki kama anafuatilia huu mjadala, anastahili hongera zake. Najua keshaona tatizo katika kazi afanyayo. Najua pia wako watu nyuma ya kamera yake wanaojua nini wanafanya zaidi ya kuchukua picha na kuandaa kipindi. Kwa muda wote ambao amefanya kazi hii ya kukutana na wanafunzi hawa amegundua mengi ambayo hayastahili kubaki kwenye DV tu. Yanastahili kuainishwa kwenye maandishi katika mfumo wa utafiti na mapendekezo ya nini kifanyike kwa wanafunzi hawa. Isitoshe shule za hapa mjini tu na maeneo ya jirani. Tungependa kuona na kule Katavi, Babatii, Namtumbo, Rombo, Geita na kwingine hawa wanafunzi wana ufahamu gani. Fanyieni kazi hayo.
 
da mkuu uliyokutana nayo kali.ukimpiga wazazi wake wanakuja juu.

unasemaje?? kuna mama mmoja tulimwita kwasababu za kinidhamu za binti yake hapa shulen. alipofika tukaongea kisha tukamwambia amwadhibu mwanae akadai yy hawez kumpiga. na sisi waalim tukamwambia kwamba hatujaajiriwa kupiga so kama hawez kumchapa mwanae basi aondoke naye home.

mama kauskia hivyo ikabidi ashike fimbo kumwadhibu mwanae, baada ya kumchapa wakatoka nje wote yy na mwanae. wakiwa nje mama akamwambia bintie

"" SHOGAA SIKUTAKA KUKUCHAPA ILA NI WAALIMU WAKOMENILAZIMSHA!!! POLE SANA SHOSTI WANGU"""

Haya maneno yalituudhi acha tu but tulipotezea manake ndo kazi za akina mama zilivyo.
 
Enzi hizo wataalamu waliachiwa kufanya kazi zao na chochote watakachofanya wanasiasa waliamini na kukubali kazi ya wataalamu na kwenda kuelimisha wananchi based na mapendekezo ya wataalamu, lakini siku hizi wanasiasa ni wajuaji kiasi kwamba mtu na utaalamu wake anaweza akawa amefanya kitu kama taratibu zinavyotaka lakini ikifika kwa wanasiasa wanapindisha simply becoz wawapendezeshe wananchi (nadhani haya maposho na mishahara wanayojipa ndio imetufikisha hapa kiasi kwamba wanasiasa hawawi wakweli kwa wananchi kwa kuogopa kupigwa chini hivyo wanachofanya ni kuhakikisha wananchi wanaridhika hata kama kuna madhaifu na ndio maana wanakubali kupeleka wanafunzi kusoma ualimu hata kama wamepata Division 4 za karibu na mwisho), anaetakiwa kwenda kusoma ualimu ingepitishwa kabisa apelekwe mtu ambae ana credit at least

Tuko pamoja mkuu, nilishawahi kusema bila kuangalia upya marupurupu ya wanasiasa, tutakumbana na majanga mengi sana mbele ya safari. Mojawapo ikiwemo kila mtu anataka kuwa mwanasiasa licha ya kukosa vigezo na uwezo wa kuhudumia wananchi ila maslahi binafsi ndio yanamsukuma mtu.

Pili wanasiasa watajitahidi kukuridhisha, namaanisha watawaambia mnachopenda kusikia, na kwa mwendo huo hatuwezi kupata ufumbuzi wa kudumu wa changamoto zinazotukabili.

Ubarikiwe
 
Umeangalia jambo hili kwa jicho lisilo la kawaida, vyombo vyetu vya habari kiukweli vina mchango mkubwa wa kuharibu au kutokuharibu jamii, mbaya zaidi vipindi vinaendeshwa kwa matakwa ya watangazaji na kuna kipindi watangazaji wanaonyesha mitazamo binafsi wakati anatakiwa awe neutral aache wasikilizaji wamalize.

Back to the point, kuna haja ya mamlaka zinazohusika kusimamia hili suala hasa ukizingatia ni ngumu kwa mzazi kumsimamia kila kitu mtoto wakati 24 hrs vipindi vinavyorushwa ni vya aina hiyo hiyo ya kujirusha. Nilichojifunza hawa jamaa wanatumia ule msemo wa kufa kufaana maana ukiangalia kwa jicho la kawaida utaona kwamba vifo vya Ngwea na Kanumba walivyokuwa wamejitolea kutangaza live ni kwa sababu walijua wengi wataangalia na matangazio yao ya biashara watauza kwa style nyingine (si ya udhamini wa vipindi kama ilivyozoeleka) ila kwa walio wengi wataona hawa jamaa ni waungwana kweli lakini ajabu kuna wengine yakitokea ya kutokea mbona hakuna kuweka live.

Miaka ya nyuma nilikuwa naona serikali wanoko walivyokuwa wanatoa leseni kwa mikoa michache kwanza alafu baadae ndio wanaruhusu mikoa mingine (nimegundua ilikuwa inasaidia sana)
Mkuu Jodoki umenigusa sana hapo kwenye rangi ya bluu. Sipati picha itakuwaje ikifikia siku wale asilimia 60 wa Dk. Kawambwa wakiingia studio baada ya kumaliza kozi fupi fupi pale DSJ .
 
Sasa Kutoka kwa Mulugo unategemea nini?
Hajui hata kasema nini, au ulimi uli-slippery

Na juzi kati Mulugo ameruhusu rasmi simu kwa kutoa kauli ya kisiasa"wananchi hawakutuelewa tulipozuia simu mashuleni, tulichokataza ni mwanafunzi kutumia simu darasani lakini akitoka nje ni rukusa kutumia simu kwa mawasiliano na wazazi",
 
unasemaje?? kuna mama mmoja tulimwita kwasababu za kinidhamu za binti yake hapa shulen. alipofika tukaongea kisha tukamwambia amwadhibu mwanae akadai yy hawez kumpiga. na sisi waalim tukamwambia kwamba hatujaajiriwa kupiga so kama hawez kumchapa mwanae basi aondoke naye home.

mama kauskia hivyo ikabidi ashike fimbo kumwadhibu mwanae, baada ya kumchapa wakatoka nje wote yy na mwanae. wakiwa nje mama akamwambia bintie

"" SHOGAA SIKUTAKA KUKUCHAPA ILA NI WAALIMU WAKOMENILAZIMSHA!!! POLE SANA SHOSTI WANGU"""

Haya maneno yalituudhi acha tu but tulipotezea manake ndo kazi za akina mama zilivyo.

Nadhani huyo hakuwa mama mzazi. Aliokotwa tu mwanamke huko kuja kuokoa jahazi. Poleni kwa changamoto zinazowakuta
 
Vipindi vya burudani na miziki kwenye TV za Taifa ziwe baada ya saa tatu usiku. Masaa yaliyobaki viwe vipindi vya shule na dokyumentari zinazofundisha.

Kumbe ukitulia huwa una pointi sana.
 
Mbona mkuu wa kaya ambaye ni Dr(ya kupewa) aliulizwa na mtangazaji kwanini nchi yako ni maskini? Bila ya aibu akasema "Hata mimi Sijui" hahah,,kikwet.e ni janga la taifa na hawa wajukuu wake wa Skonga.

Tena kwa taarifa yako si moja. Hapo ndio ujuwe hicho ni kichwa, mbona wewe hukupewa?
 
Tena kwa taarifa yako si moja. Hapo ndio ujuwe hicho ni kichwa, mbona wewe hukupewa?

Kichwa halafu hujui kwanini nchi yako maskini? Anatofauti gani na wale watoto wa skonga,,,Kwahiyo na wewe ndo walewale wa degree za lecture pichu mkononi?
 
Sasa Kutoka kwa Mulugo unategemea nini?
Hajui hata kasema nini, au ulimi uli-slippery

Ndio maana those days tulikuwa tuna-define siasa kama "uongo uliokomaa" maana wanasiasa wa tz huwa hawakosi sababu maana sidhani kama kuzuia kutumia simu darasani inahitaji tamko la waziri mpaka alitolee ufafanuzi wakati kuongea na simu darasani inaingia kwenye kanuni za shule kama kutoingia na kandambili darasani, kupiga kelele n.k. Nilicheka sana alivyokuwa anarudia mara mbili mbili kisa ufadhili wa hiyo program na vodacom, haya matamko yao yanahitaji kuambatana na document vinginevyo hali ikiwa mbaya kuhusu matumizi ya simu atakuja waziri mwingine na kauli ya hamkumwelewa Mulugo yaani serikali ilikuwa inamaanisha simu wanatumia kwa special arrangement toka kwa mwalimu wa zamu, chezea wanasiasa wetu
 
Mkuu Jodoki umenigusa sana hapo kwenye rangi ya bluu. Sipati picha itakuwaje ikifikia siku wale asilimia 60 wa Dk. Kawambwa wakiingia studio baada ya kumaliza kozi fupi fupi pale DSJ .

Maana wananikera hawa madogo na TCRA wanaangalia tu watu wanazungumza wanavyotaka mbaya zaidi hata lugha wanayotumia nayo ni balaa, hatukatai huwa angalau kuna vipindi hata RTD enzi hizo walikuwa wana vipindi ilikuwa ruhusa kujimwaga na lugha yoyote ya mtaani lakini siku hizi imekuwa balaa maana wanatumia kiswahili, kiingereza na zile zetu za mtaani alafu mtangazaji anakuambia sijui kwa kiswahili niitaje hii (kama mtangazaji unakuwa hivi sasa huku uraiani itakuaje, ukimwambia atumie kiingereza hawezi, wamepewa fursa ya kutangaza kwa kiswahili napo wanajifanya kuchanganya)
 
Back
Top Bottom