NJOGHOMILE
JF-Expert Member
- Jun 11, 2017
- 694
- 1,942
AiseeNinatumia sana mawasiliano kuongea na kuadhibu watoto, siamini physical punishment. Kabla ya kupika ninawauliza wanataka kula nini na chakula kikiiva asiyemalizacsahani inabidi aseme ni kwanini kwasababu nimepika alichotaka kula
Ndio interview za muosha rungu hizi huwa, nafikiri huwa hatuzichukulii serious sijui. Alafu anaandika uzi saa5 asubuhi interview inakuja kuanza saa12 jioni. Na hivyo uzi uko chit chat, unakuta hadi usaili uanze uzi uko pake ya 50.yaani kufatilia hii interview inahitaji moyo wa chuma. swali la kwanza liko page ya 20 na huko. I can't jamaniii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Asante baby kwakunipa moyo.
Umesema mumeo ni soul mate wako, ni qualities gani special alizo nazo zilizokuvuta kwake?Wananiambia kila kitu hawanifichi ingawa wakikosea tone inabadilika lakini nimewalea wasiniogope
Watoto hujifunza kwa kuiga, kwenye mazingira tunamoishi wapo watoto wenye tabia mbali mbali, je umewajenga vipi wanao kuishi na watoto wenye tabia tofauti tofauti????Wananiambia kila kitu kawanifichi ingawa wakili sea tone inabadilika lakini nimewalea wasiniogope
Love you Baby.I missed you more laaziz
sasa uwe unaniambia ni post # ngapi niangalieComrade maswali mengine tayari avoid repetition
muosha rungu
Nose you...
Mtoto mzuri bhana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji8] [emoji7]Love you Baby.
He is a very caring person, matatizo yangu anayavaa na tuna yatatua pamoja hali kadhalika ya kwake.Umesema mumeo ni soul mate wako, ni qualities gani special alizo nazo zilizokuvuta kwake?
pole sana
Baba wa watoto 5....kama unashida na mimi tafadhali nifuate Pm....!!Hivi na ww ni KE??
Unaonekana ni mama mwenye busara sana, who is yo role model?He is a very caring person, matatizo yangu anayavaa na tuna yatatua pamoja hali kadhalika ya kwake.
Wewe ni KE???...Kwanini Sky Eclat na sio Mwantumu Omari?
Hahaaa niambie mgen kaingia page no.ngapi!? Jmn[emoji22]Nose you...
Heheee
Duh! Basi namjua...Kwanini Sky Eclat na sio Mwantumu Omari?