Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...Jiheshimu hata kidogo basi au sio brother?Wewe ni KE???
Karibu ya thelathini hivi
Kwanza nimewaeleza kuwa vyote wanavyohitaji wana you wasichonachi hawahitaji, wanajua budget yetu na kama kuna mtoto mwenye tablet nzuri wanatamani ninawwambia walipata A shule nitanunua. Pili ni mawasiliano wxkikueleza tabia za wenzako unajua jinsi ya kuwatenga na group lileWatoto hujifunza kwa kuiga, kwenye mazingira tunamoishi wapo watoto wenye tabia mbali mbali, je umewajenga vipi wanao kuishi na watoto wenye tabia tofauti tofauti????
Asante bestpole sana
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Sawa mdogo wng...Jiheshimu hata kidogo basi au sio brother?
My big sisterUnaonekana ni mama mwenye busara sana, who is yo role model?
..Sawa bro haina shidaSawa mdogo wng
Nilitaka tu kufahamu kama ww ni KE??
Unawaona wapi wanao baada ya miaka kadhaa???!!Kwanza nimewaeleza kuwa vyote wanavyohitaji wana you wasichonachi hawahitaji, wanajua budget yetu na kama kuna mtoto mwenye tablet nzuri wanatamani ninawwambia walipata A shule nitanunua. Pili ni mawasiliano wxkikueleza tabia za wenzako unajua jinsi ya kuwatenga na group lile
Heko kwake.My big sister
Sijafahamu watataka kuwa nani lakini ni maisha yao nitawapa support na elimu ila usishangae mtoto znaposema anataka kuwa foot baller au tennis player wakati traditionally tulilelewa kuamini best careers are lawyers and doctorsUnawaona wapi wanao baada ya miaka kadhaa???!!
Kweli hilo swali hakunijibu, nimegundua ili akujibu inabidi uulize swali moja moja[emoji3] [emoji3]Unawaona wapi wanao baada ya miaka kadhaa???!!
Yaani ni mtihani lakini tunakwendaHeko kwake.
Umeema matumizi sana ya jf yalipelekea athari ktk masomoyako. Je haiathiri ndoa yako na mahusiano yako na wanao kwa ujumla?
Nimejibu mummyKweli hilo swali hakunijibu, nimegundua ili akujibu inabidi uulize swali moja moja[emoji3] [emoji3]
Namba NNE umenikosha1. Ninalipa nauli ya wa kubwa nikisafiri
2. Sina taaluma Mimi ni mbangaizaji tu mjini.
3. Mimi ni mke wa Aspirin
4. Watoto ninao wengi kidogo
kuna maswali yangu hujajibu hapo[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Nimejibu mummy
We ni mke wa aina gani?Sijafahamu watataka kuwa nani lakini ni maisha yao nitawapa support na elimu ila usishangae mtoto znaposema anataka kuwa foot baller au tennis player wakati traditionally tulilelewa kuamini best careers are lawyers and doctors