Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Watoto hujifunza kwa kuiga, kwenye mazingira tunamoishi wapo watoto wenye tabia mbali mbali, je umewajenga vipi wanao kuishi na watoto wenye tabia tofauti tofauti????
Kwanza nimewaeleza kuwa vyote wanavyohitaji wana you wasichonachi hawahitaji, wanajua budget yetu na kama kuna mtoto mwenye tablet nzuri wanatamani ninawwambia walipata A shule nitanunua. Pili ni mawasiliano wxkikueleza tabia za wenzako unajua jinsi ya kuwatenga na group lile
 
Sky Eclat tel me:
Ni kitu gani kinakukera hapa JF?
Ni kitu gani ungependa kifanyike hapa JF ili michango ya mawazo unayoletwa iwe na ubora na kureflect usomi wa members?
Ni kitu gani kinakufurahisha hapa JF?
 
Kwanza nimewaeleza kuwa vyote wanavyohitaji wana you wasichonachi hawahitaji, wanajua budget yetu na kama kuna mtoto mwenye tablet nzuri wanatamani ninawwambia walipata A shule nitanunua. Pili ni mawasiliano wxkikueleza tabia za wenzako unajua jinsi ya kuwatenga na group lile
Unawaona wapi wanao baada ya miaka kadhaa???!!
 
...Ukiwa kama mwanamke wa Ki-Africa ni kitu gani unahisi Mungu aliwapendelea wanawake wa bara la-Asia
 
Back
Top Bottom