The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Mwaka 2015 slogan ya CCM ktk uchaguzi huo kama nakumbuka vizuri ilikuwa HAPA KAZI TU...
Hii ndiyo imekuwa mwongozo tangu wakati huo tangu walipotangazwa washindi na mpaka sasa ktk shughuli za kiserikali...
Baada ya miaka mitano, mwaka huu ni uchaguzi mwingine. Mpaka sasa binafsi kwa kweli sijui kauli mbiu inayowaongoza CCM ktk uchaguzi huu ni nini!
CHADEMA slogan yao inaeleweka na kwa kweli kwa sasa ni very popular miongoni mwa wananchi. Ni "UHURU, HAKI na MAENDELEO YA WATU"...
Bahati njema ni kuwa, wagombea wao kuanzia Udiwani, Ubunge na Urais wanaidadavua vizuri sana ktk kampeni zao.
Kiboko ni mgombea wao wa Urais Mh. Tundu Lissu anaitumia vyema kabisa katika kampeni zake kuombea kura na inawasisimua sana. Inaelekea kueleweka vizuri sana kwa watu/wapiga kura.
Wao CCM slogan yao ni ipi hasa?
Je, ni ".. MPOLE NA MNYENYEKEVU YAANI MAGUFULI?"; Je, ni ile ile ya mwaka 2015 yaani, "... HAPA KAZI TU?"
Au ni hii kusema, "...TUMEJENGA RELI YA SGR, TUMENUNUA NDEGE, TUMEJENGA STIGLA GOJI?"
Ni ipi Slogan yao hawa?
CC: Wakudadavua, Stroke, USSR, CCM, Bia yetu, Elitwege