Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Hizo pesa ndizo zilififiliza Kovid-19, sawa???Msijibaraguze hoja iliyopo mezani ni wapi mlizipeleka zile 74b za Mabeberu...wenyewe wanataka maelezo ya kina.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo pesa ndizo zilififiliza Kovid-19, sawa???Msijibaraguze hoja iliyopo mezani ni wapi mlizipeleka zile 74b za Mabeberu...wenyewe wanataka maelezo ya kina.
Mlijidhulumu wenyewe kwa sera zenu zisizochagulika na zisizo na mashiko wala maslahi mapana ya taifa. Tangu lini raia wazalendo wakachagua machafuko na maandamano halafu wakaacha amani & maendeleo???Tunakaribia kumaliza mwezi toka mlipotudhulumu haki yetu ya kuchagua, hatuoni hiyo kazi mnayosema zaidi ya kutupandishia bei ya saruji na sasa wakuu wenu wameanza kukimbizana na wauzaji kama walivyofanya kwenye sukari
kwahiyo malipo yetu ni kupandishiwa bei ya saruji?Mlijidhulumu wenyewe kwa sera zenu zisizochagulika na zisizo na mashiko wala maslahi mapana ya taifa. Tangu lini raia wazalendo wakachagua machafuko na maandamano halafu wakaacha amani & maendeleo???
SanteeeeeeNa leo unalipwa Buku saba 7000?
Wewe ni tofauti sana na BAVICHA wengi -- possibly, uko hatua za juu katika political maturity. Why? Kwa sababu unakiri wazi serikali ya JPM imefanya wonders kwa miradi mikubwa sana ya maendeleo. Unajua kilichomkosesha kura Mr Mzungu ni pale alipowahadaa raia kwamba JPM hakufanya lolote la maendeleo, ilhali wananchi wanamchora tuu na kumlia taimu. Nadhani ungegombea wewe, nani ajuaye, things could have been a little bit more encouraging in the ballot box. Nashauri 2025 Twende na Swela!!!CCM at its highest stupidity again pamoja na kuwa na viongozi wenye PhD wengi kuliko nchi yoyote duniani! Hapa kazi tu ni kauli mbiu ya kijinga kwa sababu haina time factor ambayo ni muhimu kisayansi: work = load x distance x time ndo maana Miradi mingi ya Awamu hii inatajwa tu (haionekani) au haikamiliki na wateuliwa wamefanya kauli mbiu yenu kuwa wimbo wa taifa. Mfano mmoja tosha: SGR inatakiwa ifike Uvinza na Mwanza kupitia Dodoma na Tabora na imeanza kujengwa mwanzoni mwa Awamu hii lakini hata Morogoro haijulikani itafika lini. Wakati wa Nyerere tulikuwa na kauli mbiu: Linalowezekana Leo Lisingoje Kesho, hii kisayansi inaeleweka na kukubalika maana ina time element. Kama kauli mbiu ya CCM ingekuwa: Hapa Kazi Tu Sasa au Leo, mngeeleweka na SGR ingekuwa inaelekea Mwanza toka Tabora, Stiegler's Gorge ingekuwa inajaza maji, madege yangekuwa yanaruka, Chato Airport ingekuwa imekamilika na Burigi National Park ingekuwa inajaa watalii. Kauli mbiu za ACT Wazalendo na CHADEMA ni sahihi kabisa kwa sababu kuna wakulima wengi wenye kipato kikubwa kuliko mfanyakazi yeyote wa kuajiriwa na wakulima hawa walioendelea ndo wanaweza kuchangia maendeleo. Arusha, Moshi, Mwanza, Tanga nk ni miji iliyoendelea siku nyingi kwa mchango wa wakulima wa Kahawa, Pamba na Mkonge. Tukiwa hapahapa na ng'ombe zetu na wake zetu wengi na watoto wetu lukuki tukangoja wazungu walioendelea waje watujengee reli, Ikulu, Shule, barabara nk. Wasukuma (chapa ng'ombe) Wana ng'ombe wengi mpaka mahari inafika ng'ombe 40 lakini nyumba zao zimekandikwa kwa kinyesi cha haohao ng'ombe na kuezekwa kwa nyasi huku wanafamilia wote wakilalia ngozi ya ng'ombe. Kule Ulaya Manor houses (nyumba za wakulima) zilizojengwa na wakulima wenyewe ni nzuri sana kuliko hayo mabox (highrise) ya mijini tunayoyaona na kujigamba kuwa ndo maendeleo. Maendeleo yana Chama siyo cha CCM!
Utalipwaje (na nani awalipe) wakati hamtaki kufanya kazi kisa mnataka misaada, ufadhili na mikopo ya Wazungu???kwahiyo malipo yetu ni kupandishiwa bei ya saruji?
Yeye ametoa mchanganuo wake,sababu ya wananchi kunyimwa kura,ni pamoja na slagond ambazo hazikuwa na mantiki .Mmeishiwa vya kuandika?Mbona haya naona yalipaswa kuandikwa kabla ya uchaguzi!
Slogan haikuisadia CCM kushinda. Ni mapolisi!Ili kushinda uchaguzi slogan huwa pia na mchango mkubwa
Slogan mfano us ACT wazaledo ya Kazi na Bata ilikuwa hata haileweki inalenga nani Mkulima,mfanyabiashara,machinga ,wavuvi,, wafugaji, au wafanyakazi? Ukiingalia ililenga wafanyakazi wa serikali tu ambao idadi yao ni laki nne tu sio jamii nzima ya watanzania
Ukija slogan ya Chadema ya maendeleo ya watu sip vitu imekaa kivituko na haieleweki kirahisi unatakiwa kuwa na Phd kuielewa sababu watu wanahitaji vitu mfano barabara, hospitali, shule nk wewe unasema sio yanatakiwa maedeleo ya watu. Watu wanajiuliza hayo maendeleo ya watu Yakoje? Toeni mifano mna wabunge wenu Chadema wamekaa miaka kumi hadi kumi na tano bungeni ni maendeleo yepi ya watu waliyoleta majimboni mwao tuone mfano kuwa yanafananaje? Unakuta hakuna wabunge wa Chadema hawakupeleka maendeleo ya vitu wala ya watu miaka yote waliyokaa bungeni. Hivyo hiyo Slogan ilichangia pia wananchi kuwanyima kura chadema sababu ilikosa ushahidi wa walichofanya nyuma cha maendeleo ya Watu
CCM slogan ya hapa kazi tu ilibeba ushahidi wa vitu vilivyofanyiiwa kazi Barabara,reli,mashule,vituo vya afya, umeme nk pia slogan hiyo ni nyeyekevu kuwa tupeni kura tukafanye kazi sio tukafanye kazi na kula bata kama ile ya ACT wazalendo ya kazi na bata!!!
Hii Slogan ya Hapa kazi tu ni vizuri iwekwe hadi kwenye nembo ya CCM iwe ya kudumu
Msijibaraguze hoja iliyopo mezani ni wapi mlizipeleka zile 74b za Mabeberu...wenyewe wanataka maelezo ya kina.
Wewe uko nchi gani? fuatilia vyombo vya habari ujue yaliyojiri au kama vipi tembelea kurasa za twitter na instagram za OWT - Ofisi ya Waziri Mkuu Tanzania.Tunakaribia kumaliza mwezi toka mlipotudhulumu haki yetu ya kuchagua, hatuoni hiyo kazi mnayosema zaidi ya kutupandishia bei ya saruji na sasa wakuu wenu wameanza kukimbizana na wauzaji kama walivyofanya kwenye sukari