Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,801
- 6,806
Mahondaw nimeipenda hii
Matef ake namie==Mate fake na mie
Only for Genius
Interview zenye akili anazifanyaga Stunter tuu..
Ulijaribu ile kuchemsha giligilan na kunywa ??nipe mrejesho[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shoga angu nimekumisss mwweee
Kwa hiyo wewe genius ehhh
haki ya nani naona unajiona umekuwa Archmedes' principal endelea kugundua tu le genius mondi huwezi jua ukashinda tuzo ya Nobel au ya Oscar
Ahahahhaah kwaniniWasiwepo kabisa yaani Nina gundu nao kila mahali nikikanyaga lazima niwakute tena wanakuja wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe si genious unapenda udaku kama mimi alafu unajibaraguza hapa hahhahahah aisehhhh ma-geniuos hawapendi umbea wanagundua wewe umegundua Matef ake[\color] basi unajifananisha na ma-genious psiiii nakukojoelea kabisa
HahahahahahaMamaaa mbona kama unatumia nguvu nyingi sana???
wewe yako lini au ishapita?? (interview)
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
We ni kichaa kama mimiNajaribu kutaka kukuelewa lakini nimeshindwa Arifu ila inabidi tu nikuunge mkono kwa kufanya hivi..... hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaahahaahahahahaha
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Sidhani kama utakua Mwanaume.
Hivi unajua sipo jukwaa la wakubwa ,,sijui nani kanitoa huko
Naskia ww ni dada yake wema sepetummh! Waoane unajuaje kama hawajaoana we mbiti!!?
DJ sepetu
Mweee mweeee mwagaaMate navyokutetea huoni jamani maana huyu culture gal kuna siku alikusema kimafumbo leo amekuwa on your side ndo maana nikamuuliza tangu lini amekuwa team wewe
Huyu ni mnafiki mimi ntamfanya kibobo cha kukojolea na kutemea makohozi hafai kuwa rafiki yako kabisaa maana huyu ni nyoka mtu
Sawa mm domo zege naomba uniunganishie plizzzUnamtaka culture gal nikuonganishie maana naona udomo zege unakusumbua
swala la kuwa mwanaume halikuhusu
pambana na hali yako
Hahahahahaha ila we kaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usiwe mnafiki sema asiniquote mimi Aleppo maana huyo culture gal ata simtaki wee mtongoze tu sina wivu usisafirie nyota yangu
pambana na hali yako na usiniseme kimafumbo
watafute michepuko yako
cc espy Khantwe na wengineo
uniache mimi na mate wangu mahondaw usije ukaingilia barabara yangu wewe pita kivyako
Shogaa nilitandikwa ban ndefu balaaa,,kujipeleka huko siasan kuliniponza,,,sikanyagiko tena,,Kweli kabisa.. Za masiku lakini?? .. Longi time kidogo mara ya mwisho niliona tu kumeandikwa banned kwenye avatar yako!
Mahondaw wa Smart911
Pole sana rafiki siasani ni ngumi mkononi kuleeeee huku ndo kutamu asee hapa kati palinogajee.. Warmly welcome na asante sana rafikiShogaa nilitandikwa ban ndefu balaaa,,kujipeleka huko siasan kuliniponza,,,sikanyagiko tena,,
Nzurii nilikuwa nawasoma tu ,,naona mpaka wamechoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],,,kaza buti utamu wajua mwenyewe wengine hayatuhusy