Smart911 and mahondaw live on muosha rungu TV show!!?

Smart911 and mahondaw live on muosha rungu TV show!!?

Mahondaw nimeipenda hii
Matef ake namie==Mate fake na mie

Only for Genius

Kwa hiyo wewe genius ehhh

haki ya nani naona unajiona umekuwa Archmedes' principal endelea kugundua tu le genius mondi huwezi jua ukashinda tuzo ya Nobel au ya Oscar
 
Interview zenye akili anazifanyaga Stunter tuu..

Na wewe si genious unapenda udaku kama mimi alafu unajibaraguza hapa hahhahahah aisehhhh ma-geniuos hawapendi umbea wanagundua wewe umegundua Matef ake[\color] basi unajifananisha na ma-genious psiiii nakukojoelea kabisa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ulijaribu ile kuchemsha giligilan na kunywa ??nipe mrejesho
 
bbc9f223cdc8c21a64fd61e58339bec7.jpg


Inasikitisha sana
Cc: Maserati
Shoga angu nimekumisss mwweee
 
Sidhani kama utakua Mwanaume.
Na wewe si genious unapenda udaku kama mimi alafu unajibaraguza hapa hahhahahah aisehhhh ma-geniuos hawapendi umbea wanagundua wewe umegundua Matef ake[\color] basi unajifananisha na ma-genious psiiii nakukojoelea kabisa
 
Ila nimecheka,,bora wamekataa maana maswali ya huyu muosha rungu ni kiboko unaweza mnasa kibao
 
Najaribu kutaka kukuelewa lakini nimeshindwa Arifu ila inabidi tu nikuunge mkono kwa kufanya hivi..... hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaahahaahahahahaha





Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
We ni kichaa kama mimi
 
Mate navyokutetea huoni jamani maana huyu culture gal kuna siku alikusema kimafumbo leo amekuwa on your side ndo maana nikamuuliza tangu lini amekuwa team wewe

Huyu ni mnafiki mimi ntamfanya kibobo cha kukojolea na kutemea makohozi hafai kuwa rafiki yako kabisaa maana huyu ni nyoka mtu
Mweee mweeee mwagaa
 
Usiwe mnafiki sema asiniquote mimi Aleppo maana huyo culture gal ata simtaki wee mtongoze tu sina wivu usisafirie nyota yangu

pambana na hali yako na usiniseme kimafumbo

watafute michepuko yako

cc espy Khantwe na wengineo

uniache mimi na mate wangu mahondaw usije ukaingilia barabara yangu wewe pita kivyako
Hahahahahaha ila we kaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kweli kabisa.. Za masiku lakini?? .. Longi time kidogo mara ya mwisho niliona tu kumeandikwa banned kwenye avatar yako!


Mahondaw wa Smart911
Shogaa nilitandikwa ban ndefu balaaa,,kujipeleka huko siasan kuliniponza,,,sikanyagiko tena,,
Nzurii nilikuwa nawasoma tu ,,naona mpaka wamechoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],,,kaza buti utamu wajua mwenyewe wengine hayatuhusy
 
Shogaa nilitandikwa ban ndefu balaaa,,kujipeleka huko siasan kuliniponza,,,sikanyagiko tena,,
Nzurii nilikuwa nawasoma tu ,,naona mpaka wamechoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],,,kaza buti utamu wajua mwenyewe wengine hayatuhusy
Pole sana rafiki siasani ni ngumi mkononi kuleeeee huku ndo kutamu asee hapa kati palinogajee.. Warmly welcome na asante sana rafiki



Mahondaw wa Smart911
 
Back
Top Bottom