SmartDuka Pro Software: Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

SmartDuka Pro Software: Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

Tumia mfumo wa SmartDuka Pro. Wasiliana nasi 0711414246 / 0621454246
kufuatilia-manunuzi-ya-wateja-wako-na-malipo-wanayofanya.jpg
 
Usikubali kuendesha biashara yako kwa stress! Chagua SmartDuka Pro ujionee utofauti. Kujua zaidi kuhusu huduma zetu na ofa zetu zilizopo, Wasiliana nasi kwa namba 0711414246 / 0621454246..
 
Fuatilia hesabu kwenye sehemu zako zote za biashara. Tumia mfumo wa SmartDuka Pro kuendesha biashara yako kisasa zaidi.
 
Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS, Unasupport mfumo wa Barcode nanyingine nyingi, inauwezo wa kutambua Stocks ya bidhaa zilizopo pia. Mfumo huu unakusaidia kuendesha Duka / Biashara yako hata uwapo mbali nalo nakuzuia udanganyifu.
 
Asante kwa taarifa!
Malipo ya mwaka ni ya mara moja au kila mwaka!?
 
Asante kwa taarifa!
Malipo ya mwaka ni ya mara moja au kila mwaka!?
Malipo ni kwa kila mwaka mkuu karibu sana au wasiliana nasi kwa kupiga simu, usjumbe au WhatsApp kwa namba 0621454246 au 0711414246.
 
Sisi wakulim vipi? Mbona mmetutenga
Hapana mkuu, unaweza kuwasiliana nasi pia tunaweza kukupa ushauri pia kuhusu na baadhi ya mifumo yetu ambayo inaweza kutumika kwenye kazi zako za kilimo.
 
SmartDuka Pro: Get Everything you need confidently to run your business.
 
Mauzo ya bidhaa.

"Uza, Kopesha bidhaa kwa msaada wa SmartDuka Pro"

SmartDuka Pro inahifadhi kumbukumbu za mauzo yako yote na kukukokotolea bei kulingana na idadi ya bidhaa unazo uza/ faida, hasara na ukitaka itakuambia chenchi ya kumrudishia mteja.
 
Je, upo nyumbani, hotelini, shambani unakagua mazao yako au upo safarini kwenda kumsalimia bibi kijijini? SmartDuka Pro itakuambia nini kinaendelea kwenye biashara yako au dukani kwako kwa kufuatilia mauzo, matumizi, madeni, faida, hasara, malipo ya wafanyakazi, taarifa za wateja na kadharika., bidhaa gani inakaribia kuharibika (expire).

Unachotakiwa ni kuwa na kompyuta/Laptop au Simu iliyounganishwa na intaneti.
 
Kwa utunzaji na uifadhi wa mali zako kirahisi na usalama epuka udanganyifu kwenye biashara yako. Inamanage Stocks, Mauzo, Mapato, Matumizi pamoja na Faida.

Biashara yako ipo salama ukiwa na mfumo wa SmartDuka Pro
 
Hizi Software za kusimamia/kuendesha biashara ni nzuri sana kwa kweli, mimi nilipofunga kwenye biashara yangu kipindi hiko niliona matunda yake, inakupa mpaka list ya bidhaa zinazotoka sana na bidhaa zenye faida nzuri.

Yangu niliyofungiwaga mpaka faida per day ilikuwa inanipa, kwa hiyo kwenye kwa mwezi inaweza kujua umeingiza kiasi gani kama faida ili hata unapotumia hela uwe na kiwango cha matumizi usiweze kuzidisha zaidi ya unachoingiza.

Natumaini kurudi tena kwenye Biashara, nitakutafuta.
 
Asante sana mkuu kwa feedback kuhusiana na mifumo. Tekinolojia imerahisisha zaidi na kuondoa changamoto ndogo ndogo.
 
Back
Top Bottom