Jibebe Inc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 905
- 166
- Thread starter
- #181
Tumia mfumo wa SmartDuka Pro. Wasiliana nasi 0711414246 / 0621454246
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malipo ni kwa kila mwaka mkuu karibu sana au wasiliana nasi kwa kupiga simu, usjumbe au WhatsApp kwa namba 0621454246 au 0711414246.Asante kwa taarifa!
Malipo ya mwaka ni ya mara moja au kila mwaka!?
Karibu sana mkuu.Ahsante
Hapana mkuu, unaweza kuwasiliana nasi pia tunaweza kukupa ushauri pia kuhusu na baadhi ya mifumo yetu ambayo inaweza kutumika kwenye kazi zako za kilimo.Sisi wakulim vipi? Mbona mmetutenga
Asante sana mkuu kwa feedback kuhusiana na mifumo. Tekinolojia imerahisisha zaidi na kuondoa changamoto ndogo ndogo.Hizi Software za kusimamia/kuendesha biashara ni nzuri sana kwa kweli, mimi nilipofunga kwenye biashara yangu kipindi hiko niliona matunda yake, inakupa mpaka list ya bidhaa zinazotoka sana na bidhaa zenye faida nzuri.
Yangu niliyofungiwaga mpaka faida per day ilikuwa inanipa, kwa hiyo kwenye kwa mwezi inaweza kujua umeingiza kiasi gani kama faida ili hata unapotumia hela uwe na kiwango cha matumizi usiweze kuzidisha zaidi ya unachoingiza.
Natumaini kurudi tena kwenye Biashara, nitakutafuta.