Windows phone.
Kwa hapa TZ wanauza bei gani hiyo lumia 520?
Je, lumia 525 hapa bongo tyr imefika? Na kama imefika ni bei gani?
lumia 520 na lumia 525 zinapatkana bongo,tena kwa wingi,bei yake inafanana,ni kuanzia 200,000 hadi 250,000. Inategemea na duka,kila duka wana bei yake ila haizidi hapo mkuu.
Chief kwa faida ya wengi naomba uweke reviews na recomendation low budget windows phone. Isaidie watu kubadilika, android iko overated sana, sijui ni kwa sababu ya kuwa na free apps nyingi au kuwa open source hivyo kupelekea developers wengi kujikita huko au ni aje. Maana kwa uchunguzi na reviews za mitandaoni, simu zenye specs sawa, moja ikiwa windows na nyingine android platform, utaona perfomance results kubwa katika simu za windows.
So kwa uzoefu, weka WP kama 10 hivi based on low budget, ukianzia Lumia 520 na 525
Mkuu umenena, Andoid mpaka inakera aisee.
MKUU Mkwawa nahitaji kununua Nokia XL, vipi inafaa kweli?
kama una matumiz madogo haina neno, kama una matumizi makubwa haifai
1.Napenda kufahamu njia nyepesi ya kugundua kuwa hii simu ni MEDIATEK nikiwa nipo Dukani nanunua. 2. HUAWEI ORIGINAL NZURI DUAL SIM. 3. SMARTPHONE NZURI YOYOTE DUAL SIM.
Kaka windows inarun smooth sana katika simu, no bugs no hangups wala haiko nzito. Tofauti na android, android hata iwe na specs kubwa kiasi gani. Hivi vitu vikikutokea usishangae, ni kawaida kwa android.
kama una matumiz madogo haina neno, kama una matumizi makubwa haifai
huawei gani nzuri Window phone isiyozidi laki 3 bei.?
huawei ascend w1 ila ni ya muda kidogo, unaweza subiria soon watatoa dual sim
hii smartphone wanayouza laki 1 vodashop ni aina gani?
hii smartphone wanayouza laki 1 vodashop ni aina gani?
nenda hapa utapata maelezo mazuri
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...aje-hii-simu-ya-vodacom-tz-na-bei-yake-2.html
Chief mie natumia huawei Y511-T00 tatizo hasupport huduma nyingi za google kama vile google play store,youtube na nyinginezo halafu inabaadhi ya apps zipo kwa kichina msaada mkuu ili niweze kutumia hizo apps za google