yenye cortex a9 1.2ghz dual core icheki link hii
Samsung Galaxy S Duos 2 S7582 - Full phone specifications
inasumbuaje huko kudownload?
mkwawa, huwa wanapiga biti kuwa uk-unlock utaharibu simu. je kuna ukweli?
nani anaweza kufanya unlocking? hawa mafundi wetu wanaweza wa uswazi?
Chief niaje ebhana nataka ninunue Nokia Lumia 620 bei yake ni laki tatu na Arobaoni kwa sasa natumia Tecno M3 vipi kaka hii simu ipo vizuri Nokia lumia 620 au naomba mwongozo wako kwa hili!!
Chief bb z3 zimefika bongo!? Mm mpenz sana wa bb
yenye cortex a9 1.2ghz dual core icheki link hii
Samsung Galaxy S Duos 2 S7582 - Full phone specifications
kaka chief off topic kidogo samahani mimi natumia simu ya Samsung galaxy S3 mini nauliza kama naweza kui root hii simu. in easy way maake njia nyingine naona zinamlolongo mrefu na mi sio mzoefu nahofia naweza kuzika simu yangu. kama it is possible nisaidie au kama unamjua mtaalamu wa haya mambo nielekeze nitamlipakaka sina uhakika kama zipo au hazipo ila imeshasambaa nchi nyingi i hope itakuwa imefika
cortex ni jina la series ya processor za arm. unapoongelea proceesor ndio mfanyakazi wa simu kila kitu kuanzia ukiangalia video, ukifungua application, ukipiga picha na hata ukiingia internet ni processor inayofanikisha hivyo vitu. sababu hii cortex ni series ina maana zipo nyingi kuna kuanzia
cortex A5
cortex A7
cortex A8
cortex A9
cortex A12
cortex A15
cortex A17
hizo ndio cortex maarufu.
pia hizi series za processor za cortex ni open source mtu yoyote anaweza kuzitumia
kaka chief off topic kidogo samahani mimi natumia simu ya Samsung galaxy S3 mini nauliza kama naweza kui root hii simu. in easy way maake njia nyingine naona zinamlolongo mrefu na mi sio mzoefu nahofia naweza kuzika simu yangu. kama it is possible nisaidie au kama unamjua mtaalamu wa haya mambo nielekeze nitamlipa
bro iyo simu inauzwa sh ngapi?
ku unlock hakuharibu simu ila kama mtu hajui anachofanya anaweza kukuharibia simu. pia inategemea na aina ya simu kuna ambazo ni rahisi ku unlock, kuna ambazo ni ngumu na nyengine haziwezekani. hivyo kama ni rahisi hata wa uswazi wanaweza
Mkuu Chief Mkwawa
Ugonjwa wangu katika simu ni Ukubwa....
Nilianza 2008 kwa Nokia N70, nikahama 2011 kwa iPhone 3G, na sasa natapatapa toka mwaka jana na Tecno P5....
Nataka nitafute soon Tablet na budget ni laki 3, nisaidie unipe mchanganuo ninunue aina gani... itayonipa raha na kuzizika stress kwa muda!!!!
kaka ahsante kwa msaada wako nimefanya kama ulinielekeza na kwa bahati nilipata na na ka video youtube kalikuwa kana elekeza ku root s2. nilipokwama ni kwenye website hapa http://www.kingoapp.com/android-root/devices.htm hamna root file.exe ya samsung galaxy s3 GT-I8190. nika google nikapata moja inaonyesha ina support simu nyingi ina ukubwa wa 22Mb. sasa nika install nikachomeka device nikaiweka kwenye debbuging mode ikaisoma kama samsung device ila haiku display model yake tofauti na nilivyoona kwenye ile tutorial video ya youtube nikaingiwa hofu. nisije nikaua simu 45ke zangu sitaki kufanya makosa naomba unisaidie mkuu na samahani kwa usumbufu wangueasy way tumia kingo android root. japo si rahisi sana ila atleast hutahangaika sana. just google kingo android root
kaka ahsante kwa msaada wako nimefanya kama ulinielekeza na kwa bahati nilipata na na ka video youtube kalikuwa kana elekeza ku root s2. nilipokwama ni kwenye website hapa All Android devices supported by Kingo Android Root hamna root file.exe ya samsung galaxy s3 GT-I8190. nika google nikapata moja inaonyesha ina support simu nyingi ina ukubwa wa 22Mb. sasa nika install nikachomeka device nikaiweka kwenye debbuging mode ikaisoma kama samsung device ila haiku display model yake tofauti na nilivyoona kwenye ile tutorial video ya youtube nikaingiwa hofu. nisije nikaua simu 45ke zangu sitaki kufanya makosa naomba unisaidie mkuu na samahani kwa usumbufu wangu
wajameni nauza kasimu kangu tecno phantomA+...sh laki 3 mali bado ni mpya kabisa mwenye kuitaji ani pm