Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

Sorry chief-mkwawa hivi kuna uwezekano wa ku unlock Huawei Ascend Y530?
Je unaweza nisaidia namna ya ku unlock. Much respect chief-mkwawa

Inafaa mimi mwenyewe nilinunuwa huawei 530 yatigo kuna jamaa mmoja huku jf akanisaidi sasa hivi natumia lani ya mtandao wowote naina piga kazi mtafute jamaa mmoja anaitwa Mwl.Rc
 
Last edited by a moderator:
Inafaa mimi mwenyewe nilinunuwa huawei 530 yatigo kuna jamaa mmoja huku jf akanisaidi sasa hivi natumia lani ya mtandao wowote naina piga kazi mtafute jamaa mmoja anaitwa Mwl.Rc

Pouwa kiongozi..... much respect.....
 
ku unlock hakuharibu simu ila kama mtu hajui anachofanya anaweza kukuharibia simu. pia inategemea na aina ya simu kuna ambazo ni rahisi ku unlock, kuna ambazo ni ngumu na nyengine haziwezekani. hivyo kama ni rahisi hata wa uswazi wanaweza

nata nichukue hiyo ya tigo, then ni unlock. maana natamani kuwa wa kisasa lkn uchumi wa jk unabana.

kwa uzoefu wako hizo huwei za tigo, vipi ntafanikisha kuziunlock? na kwa mwanza niingie mtaa gani?
 
Inafaa mimi mwenyewe nilinunuwa huawei 530 yatigo kuna jamaa mmoja huku jf akanisaidi sasa hivi natumia lani ya mtandao wowote naina piga kazi mtafute jamaa mmoja anaitwa Mwl.Rc

sasa huyu mwl. rc tutampataje? fanya hivi, nenda kwenye akaunti yake, uikopi vema akaunt yake uje upaste hapa, ambapo itakuwa mentioned, ili tumfuate pm. fanya hivyo ngereza
 
sasa huyu mwl. rc tutampataje? fanya hivi, nenda kwenye akaunti yake, uikopi vema akaunt yake uje upaste hapa, ambapo itakuwa mentioned, ili tumfuate pm. fanya hivyo ngereza

Just mention his user name
 
mkuu, hv Karibuni nimenunua Lumia 620 tatizo nikidownload video YouTube sizioni kwenye simu mpaka nifungue downloaded files kwenye uc web browser ndo zina play lakini nikiingia kwenye music & video hazipatikani,zinazopatikana ni audio tu. NB: natumia internal storage sijaweka memory card. PIA sija update kwenda wp8.1
 
kaka windows phone 8 imekua designed na vitu vinaitwa hub, hizi hub kila application ina hub yake na application hairuhusiwi kuingilia hub ya mwenzake. ina maana ukidownload kitu kinakaa kwenye hub hio hio. ni kwa ajili ya usalama walifanya hivi.

ila kwenye windows phone 8.1 wamezitoa hubs sasa hivi imekua free na mpaka file manager wameeka unazurura unavyotaka. hivyo update kwenda wp8.1 kwanza.
 
Asante Mungu akubariki
 
Nimeenda tigo kwakweli mammbo yao mazuri. Nimejinunulia ka cm Y530..... Na offer yake ya miezi saba kwakweli Voda walie tu. Sasa hivi sihangaiki na kuchagua mtu wa kumpigia. Nimepewa dakika Mia sita za kutumia nikitopup tu mwezi unaofuata free tena........... Voda nawaweka kushoto kwa muda wa miezi saba...lazima wakae mae zao......
 
y530 umenunua sh. Ngapi?
 
mkuu nimejaribu Ku-update inaniambia nitumie wi-fi licha ya kusoma H+(zaidi ya 3g),Maana nimejiunga na Bando la unlimited
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…