Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

Kuna itel 3G na citycall za hiyo bei jaribu kupita madukani, ila zipo slow tofauti na specs zake
 
yenye cortex a9 1.2ghz dual core icheki link hii

Samsung Galaxy S Duos 2 S7582 - Full phone specifications

mkuu mkwawa, simu yangu p5 tayari imegoma. nimereset lkn wapi. na zile assistant program zote sizioni.

vipi nikijikim kwa hizo huwei zinazotangazwa na tigo?
1. je nikinunua zinaweza kuwa connected na line nyingine? kuna moja nilinunua ukiconect net na line nyingine haikubali hadi tigo japo ilikuwa duo's.

2. vipi kuhusu hizo zinazotangazwa na Airtel? zipi nzuri zikishindanishwa na za tigo?

kwa hali ilivyo, ulimwengu wa digital hauepukiki.
 
kaka za tigo zipo locked usitegemee wakuachie inabidi uandae na hela kidogo ya ku unlock. kuhusu hio ya airtel imenipita kidogo unaijua model yake?
 
Samahani kazi yahiyo cortex kwny simu nini

cortex ni jina la series ya processor za arm. unapoongelea proceesor ndio mfanyakazi wa simu kila kitu kuanzia ukiangalia video, ukifungua application, ukipiga picha na hata ukiingia internet ni processor inayofanikisha hivyo vitu. sababu hii cortex ni series ina maana zipo nyingi kuna kuanzia

cortex A5
cortex A7
cortex A8
cortex A9
cortex A12
cortex A15
cortex A17

hizo ndio cortex maarufu.

pia hizi series za processor za cortex ni open source mtu yoyote anaweza kuzitumia
 
Mkuu mim natumia huawei y 220 unaweza ukanipa sifa zake na huwa inasumbua fb pmj na watsup kwenye kudownload
 
cortex ni jina la series ya processor za arm. unapoongelea proceesor ndio mfanyakazi wa simu kila kitu kuanzia ukiangalia video, ukifungua application, ukipiga picha na hata ukiingia internet ni processor inayofanikisha hivyo vitu. sababu hii cortex ni series ina maana zipo nyingi kuna kuanzia

cortex A5
cortex A7
cortex A8
cortex A9
cortex A12
cortex A15
cortex A17

hizo ndio cortex maarufu.

pia hizi series za processor za cortex ni open source mtu yoyote anaweza kuzitumia

Samahani, nimekuwa "mvivu" kidogo kuendelea na utafiti kutokana ka muongozo ulioweka hapo juu. Ningeweza ingia kwenye mitandao na kufanya utafiti zaidi, ila sababu wewe ni mtaalam zaidi wa simu basi ngoja tu nikuulize: Ukitoa hizo processor za arm (cortex), kuna aina nyingine ya processor za simu na kwa sasa simu ambayo ina speed kubwa kabisa ina processor speed kiasi gani? ASANTE.
 
arm ndio pekee kama vile kwa pc x86 ndio pekee. ila nimeeleza hapo juu kuwa ni open source hivyo watengeneza processor za simu wanazitumia na kumodify wanavyotaka.

cortex yenye speed kuliko zote kwa sasa ni cortex a15, ila soon tunategemea cortex za 64bit ambazo zitakuwa na speed zaidi.

hii cortex 15 qualcom wameimodify wakaipa power zaidi na kuiita krait.

hivyo kukujibu swali lako processor ya simu yenye speed zaidi ni ile yenye cortex a15 au krait. hizi hapa chini ndio chip zenye hii processor ambazo ni latest.

1.snapdragon 800/801/805 ndio yenye speed zaidi iliyotengenezwa na qualcom

2.exynos 5 octa ndio yenye speed zaidi ya samsung

3. tegra k1 ndio yenye speed zaidi nvidia

4. MT6795 hii ni ya mediatek wamejitahidi pia

5.kirin 920 hii ya huawei

ila overall naipa snapdragon 805 kama king wa processor za simu

update
processor zote hapo juu zinakuja kwenye configuration ya quadcore (4) au octacore(8) na clock speed 2ghz hadi 2.5ghz
 
Vipi kuhusu hizi simu za clone?

zamani tulikuwa tunanunua clone sababu simu za bei rahisi zilikuwa mbaya (galaxy pocket, lumia 610, galaxy young, ...) ila sasa hivi una simu ina ram 1gb, processor dualcore na kioo cha qhd why ununue clone? sababu clone nyingi zimezidiwa specification na hizo simu hapo juu
 
  • Thanks
Reactions: RR
arm ndio pekee kama vile kwa pc x86 ndio pekee. ila nimeeleza hapo juu kuwa ni open source hivyo watengeneza processor za simu wanazitumia na kumodify wanavyotaka.

cortex yenye speed kuliko zote kwa sasa ni cortex a15, ila soon tunategemea cortex za 64bit ambazo zitakuwa na speed zaidi.

hii cortex 15 qualcom wameimodify wakaipa power zaidi na kuiita krait.

hivyo kukujibu swali lako processor ya simu yenye speed zaidi ni ile yenye cortex a15 au krait. hizi hapa chini ndio chip zenye hii processor ambazo ni latest.

1.snapdragon 800/801/805 ndio yenye speed zaidi iliyotengenezwa na qualcom

2.exynos 5 octa ndio yenye speed zaidi ya samsung

3. tegra k1 ndio yenye speed zaidi nvidia

4. MT6795 hii ni ya mediatek wamejitahidi pia

5.kirin 920 hii ya huawei

ila overall naipa snapdragon 805 kama king wa processor za simu

update
processor zote hapo juu zinakuja kwenye configuration ya quadcore (4) au octacore(8) na clock speed 2ghz hadi 2.5ghz

Nashukuru sana kwa kunielimisha.
 
Back
Top Bottom