Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

hebu onana na mathematics yeye anauza simu nzuri sana za aina ya android utapata

Wewe umejuaje kama ni nzuri sana? au wewe ndio mathematics?

nimenunua pale hivyo ni nzuri kwani naitumia hiyo simu

Cmu gani?

aina ya panten

Nazisikia tu hizo...specification zake?..inatumia android ngap na ram ngap

Duh!
Mmenivunja mbavu, alieuziwa cheni bandia nae katoa fedha bandia.

Hapa ni ngoma droo.!
 
Last edited by a moderator:
Chief VP ubora wa galaxy s3 neo ukilinganisha na galaxy s4 min binafsi Huawei y300 ndio ninayotumia lkn naona ina stuck sana Nina mpango wa kubadili

hizi simu zinalingana vitu vingi sana na ukichukua moja badala ya nyengine hutaona tofauti kubwa sana, angalia madukani utakayoweza kupata bei rahisi chukua hio. Ila s4 mini ina design nzuri kuliko s3 kama unapenda kwenda na wakati bora hio.
 
Asante
 
Wakuu kwa yeyote anayejua au mwenye uzoefu kuhusu hizi simu za android naomba anijuze, ni simu gani ya android ni ya bei rahisi kuliko zote?

Itel ya aitel elfu tisini.
 
Vodacom smart kicker 80000/= tu.

naipenda sana smart kicka.yani hii ni sawa na kuchukua engine powerful kuiweka kwenye body ya kawaida.android 4.4

kufaidi zaidi nilinunua vf smart tab mini,aisee ni nzuri ajabu.na ina kamera mbele na nyuma.

udhaifu nlouona so far ni picture quality tu.
 
Chief VP ubora wa galaxy s3 neo ukilinganisha na galaxy s4 min binafsi Huawei y300 ndio ninayotumia lkn naona ina stuck sana Nina mpango wa kubadili

Jaribu kuona tofauti hapo
 
Attachments

  • 1425412819900.jpg
    1425412819900.jpg
    49.9 KB · Views: 410
  • 1425412840147.jpg
    1425412840147.jpg
    63.2 KB · Views: 381
Na hapa;
 
Attachments

  • 1425413088819.jpg
    1425413088819.jpg
    58.3 KB · Views: 356
Wakuu nataka smarphone ila nina laki na nusu napenda sana games so nataka cm yenye kusupport games nying kali,natanguliza shukrani.
 
Wakuu nataka smarphone ila nina laki na nusu napenda sana games so nataka cm yenye kusupport games nying kali,natanguliza shukrani.

cheki lumia 520, windows phone haina games nyingi ila kila games utakayoikuta store utaweza kuirun smooth
 
cheki lumia 520, windows phone haina games nyingi ila kila games utakayoikuta store utaweza kuirun smooth

Chief naomba unipe stregth na weakness kat ya android na window phone.Natanguliza shukran.
 
Vipi nzuri kati ya lumia 520 na xperia m. Mie games ndo ugonjwa wangu
Cc Chief-Mkwawa
 
Last edited by a moderator:
Vipi nzuri kati ya lumia 520 na xperia m. Mie games ndo ugonjwa wangu
Cc Chief-Mkwawa

xperia m nzuri, ila budget ya jamaa ni ndogo ndio maana nimemtajia hio lumia. kama unavuka laki 2 kupanda hadi laki 3 kuna huawei y550 na moto e (2015) zote zina snapdragon 410 ambayo ni nzuri kwa games kwa budget hio.
 
Last edited by a moderator:
Chief naomba unipe stregth na weakness kat ya android na window phone.Natanguliza shukran.

soma hapa ni thread ya zamani na imepitwa na wakati kidogo ila utapata idea
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...725-windows-phone-vs-android-niende-wapi.html

ukienda android utapata games nyingi ila simu ya bei rahisi haitaweza kurun games zote, wakati windows phone utapata games chache ila utaweza kuziplay zote.

kama utaweza ongeza budget kidogo na kuchukua simu ya snapdragon 410 kama moto e ya 2015 na huawei y550 au nyengine yenye hio processor basi ni vizuri kwenda android. otherwise chukua hio lumia then nunua memory card kubwa install games zako kwenye memory card
 
Back
Top Bottom