Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

chip za mediatek hazisuport updates huwez pata new version kwenye hio simu. Ila kwa huawei za snapdragon zitapata updates

Thanks yatupasa kuwa makini ktk uchaguzi was simu , nashukuru hapa nimepata elimu nzuri sana
 
Kama una uwezo wa kuagizia simu china hakuna simu bora kuishinda zte redbull sababu ni hizi.
1. Inatumia processor ya snapdragon 400 quadcore cortex a7 inakuja na adreno 305 na choice ya either 1gb au 2gb ram
2. Camera 13mp na front cam 5mp ikiwa na kioo cha 5inch hd.
3.internal memory kuna choice ya 4gb na 8gb

bei ni dola 130 kwa version yenye internal 4gb na ram 1gb. Na dola 160 kwa yenye internal 8gb na ram 2gb. Inapatikana china tu

mkuu naweza kuipata vipi? hii kitu?
 
Kaka huu ni mtazamo wako binafsi au? unasema simu za mediatek zina corrupt! kuna simu nyingi sana hapo hujaziweka na kwa ufupi hapo hujaongelea worldwide. Kila simuya bei rahisi ina weakness yake hivyo swala la processor kuwa ya kizamani bado sio issue mbaya kwani sio kila processor ya kisasa inauwezo kuliko ya zamani. kama wewe ni mzoefu wa computer utakubali kwamba processor ya intel 1017U ya mwaka 2013 ni ya kisasa lakini haina uwezo kama Core2Duo ya mwaka 2009/2010.

kwa upande wa mediatek CPU , tambua kwamba hata mediatek wanatumia architecture ya ARM cortex. vitu vingine ni swala la brand name pamoja na copyrights..

niliwahi kuandika thread kama hii kuhusu simu za bei rahisi za android mwaka 2012 lakini sasa hv imepitwa na wakati na siku zimesogea mbele watu wameomba ile thread tuiupdate ili waweze kufanya maamuzi tena. nimeona nichague simu best za windows phone na android ambazo ni za bei rahisi (chini ya laki 3) ambazo unaweza kutumia ukapata perfomance kubwa kiasi usahau kama ni simu ya bei rahisi nimetumia vigezo vifuatavyo

1. power ya simu -interms ya processor, ram na gpu
2. support- kama itakua updated kwenda version nyengine
3. camera
4. storage
5. battery
6. display
7. weakness zake
mambo kama speed ya internet yamepitwa na wakati simu zote sku hzi zina hspa hivyo speed ipo kama simu ipo slow ni wewe eneo ulipo na mtandao wako ndio munahusika.

hizi hapa ndio simu za bei rahisi nilizokusanya.

nokia lumia 520
kama hujali kutotumia android huwezi pata simu bora zaidi ya lumia 520 kwa bei rahisi, imeuza unit zaidi ya milioni 25 naweza kusema ndio simu maarufu ya bei rahisi zaidi duniani.
nokia-lumia-520.jpg

why ununue hii simu?
1.power- ina processor kubwa kabisa ya s4 snapdragon 1ghz dualcore krait cortex a15, ram 512mb (ipo version ya 1gb inaitwa lumia 525) na gpu yake ni adreno 305
2.suport- simu hii ina windows phone 8 na mwez wa 6 itapata update ya windows phone 8.1
3.camera- ina 5megapixel bila front camera wala flash
4.storage- ina internal 8gb na inakubali memory card
5.battery- 1430mah
6.display- kioo ni 4inch wvga 480x800

weakness zake
1.haina flash ya camera wala camera ya mbele
2. ina apps chache kuliko android

motorola moto e
imezinduliwa muda sio mrefu na ni moja kati ya simu nzuri za bei rahisi inayokupa ram ya 1gb, hebu tuone inapambana vipi na wenzake
motorola-moto-e.jpg

why ununue hii simu
1.power- processor ya 1.2ghz cortex a7 dualcore snapdragon 200 ikiwa na ram 1gb na gpu ya adreno 302
2. support- simu hii inakuja na android kitkat 4.4.2 na motorola wamesema itapata update zijazo
3.camera- ina camera 5mp bila flash wala camera ya mbele
4.storage- simu hii inakuja na internal storage ya 4gb na inaingia memory card
5.battery- 1980mah
6. diplay- ina kioo cha 4.3 inch qhd resolution ya 540x960 kioo chake pia kina gorila glass 3

weakness
1. haina flash wala camera ya mbele
2.processor za cortex a7 zimepitwa na wakati

sony xperia e1
sony nao hawakua nyuma kutoa simu nzuri ya bei ya chini tuangalie nayo ipoje
sony-xperia-e1.jpg

ina sifa hizi
power- ipo kama moto e ikiwa na dualcore 1.2ghz cortex a7 na adreno 302 sema hii ina ram 512mb
support- simu hii inakuja na android 4.3 na itapata update ya kitkat
camera-ina 3mp bila camera ya mbele
storage- ina internal 4gb na memorycard inaingia
battery-1700mah
diplay- kioo cha inch4 wvga 480x800

weakness
-camera 3mp bila camera ya mbele inapitwa na wapinzani wote
-processor cortex a7 ni ya kizaman

blackberry z3
usije kuchanganya na bb z30 hii ni smartphone ya bei rahisi ya blackberry imeanza kuuzwa indonesia specs zake hazina mfano
blackberry-z3-new.jpg

power- inakuja na snapdragon 400 1.2ghz dualcore ram 1.5gb na adreno 305
support-inakuja na bb os 10.2.1 hii ni os yao mpya
camera- camera ya nyuma ni 5mp na ya mbele ni 1.1mp ina uwezo wa kurekodi full hd camera yake.
storage-ina internal 8gb na inaingia memory card
battery- 2500mah
display- inakuja na kioo 5inch chenye qhd 540x960

weakness yake ni kwamba bbos haina native apps nyingi compare na wp, android na ios japo ina uwezo wa kufungua android apps

hizo hapo juu ndio simu nne ambazo nimeona ndio best kwa simu za bei ya chini. kama unataka dualsim kwenye windows phone kuna lumia 635 sijaieka sababu inafanana vitu vingi na hio 520 na bei yake pia ni kubwa kidogo. kuna baadhi ya simu nyengine nzuri nitazimention sijazieka sababu nimeona hazifai kuwa hapo juu.

1.nokia x, x+ na xl sijazieka sababu ya processor ndogo kama huna matumizi makubwa unaweza kuzinunua
2. motorola moto g sijaieka sababu zinauzwa bei kubwa kidogo
3. samsung duos na trend series sijazieka sababu touchwiz ni nzito kwa simu za bei ya chini
4. sijaeka simu yoyote ya mediatek sababu zinacorupt imei, huwezi kuzi update na ni inferior kwa simu za qualcom (simu za mediatek ni kama tecno, galaxy clone, itel na wengineo)
5. huawei y300 pia sjaieka sababu ina processor kama ya nokia x series hivyo kama huna matumizi makubwa haina neno.

kama kuna simu unayoona inafaa iwepo na sijaiweka unaweza kuitaja
 
Kaka huu ni mtazamo wako binafsi au?
yap ni mtazamo wangu binafsi unaotokana na uelewa wangu wa simu wala sio sheria kuwa ni lazima ufuate pima kwenye akili yako unalooona linakufaa chukua unaloona nadanganya nikosoe na usilokubaliana nalo pia liache tu hapa hapa.
unasema simu za mediatek zina corrupt!
yap zina corupt na sio ku corupt imei tu zina weakness nyingi naweza kuzitaja kwa urefu kama unataka na kama unataka ushahidi naweza kukupa source kama nne au zaidi za humu humu jf bila kutoka nje watu wakilalamika simu hazina net na imei imepotea,
kuna simu nyingi sana hapo hujaziweka na kwa ufupi hapo hujaongelea worldwide
ndio maana sentesi ya mwisho nikasema kama kuna simu sijaitaja unayoona inastahili kuwepo itajeni.

Kila simuya bei rahisi ina weakness yake
si ya bei rahisi tu hata za bei ghali zina weakness in short hakuna simu perfect tunachofanya hapa ni kutafuta simu yenye weakness chache zaidi
hivyo swala la processor kuwa ya kizamani bado sio issue mbaya kwani sio kila processor ya kisasa inauwezo kuliko ya zamani. kama wewe ni mzoefu wa computer utakubali kwamba processor ya intel 1017U ya mwaka 2013 ni ya kisasa lakini haina uwezo kama Core2Duo ya mwaka 2009/2010.

kaka ungekua unazifahamu hizi chip za simu usingeandika hii sentesi sababu processor niliyoikandia(snapdragon 200 ya moto e na xperia e1) ni mpya ya mwaka huu huu ilizinduliwa mwaka jana na kuanza kutumika mwaka huu, ila hata kama ni mpya haitoi fact kuwa inatumia dualcore cortex a7 na adreno 302 ambazo haziwezi kuhandle game kubwa. lumia 520 inatumia snapdragon s4 processor ya mwaka 2012 lakini nimeisifia sababu ni processor ya flagship imetumika kwenye nexus 4, moto x na simu nyengine kubwa jina lake maarufu ni krait.

haya ni maelezo mafupi kuhusu chip za simu yanaweza kukusaidia. japo zina mambo mengi kama bluetooth, fm radio na mengine ila kwenye hizi chip sana tunaangalia processor na gpu. processor zote za simu zinatokana na arm na hawa jamaa wamezicategorize kwenye majina wanaziita cortex. hawa jamaa ni open source na mtu yoyote anaweza kuzibrand. zipo cortex hz maarufu.
cortex a5
cortex a7
cortex a9
cortex a12
cortex a15

na kuna mpya cortex a17 ambayo inareplace cortex a9 na cortex a53 ya 64bit.

kutoka cortex a5 hadi a15 basi ndio power navyo inavyoenda, cortex a5 ni weakest one wakati cortex a15 ni strongest one. ndio maana sijaeka simu ya cortex a5 nokia x, galaxy s duos na y300 zote nikazitoa.

cortex a7 unaweza kuishi nayo lakini still hakuna excuse kuwa ni powerfull hasa ikiwa dualcore. atleast snapdragon 400 wana quadcore cortex a7. ndio maana nikaweka kama wekaness simu za dualcore cortex a7.

cortex a15 ndio kubwa yao kwa sasa na kwa snapdragon zinajulikana kama krait kama kumbukumbu zangu zipo sahihi lumia 520 ina krait 300 na kuna even more powerfull krait inaitwa krait 400 inatumika kwenye snapdragon 800 kupanda kwenye flagship za 2014.

na ukitaka kujua krait ni next level ona chip za octacore (zipo nane) kutoka mediatek na exynos zinashindwa kuperform kama quadcore (zipo nne)za qualcom watengenezaji wa snapdragon krait.

kwa upande wa mediatek CPU , tambua kwamba hata mediatek wanatumia architecture ya ARM cortex. vitu vingine ni swala la brand name pamoja na copyrights..
kaka simu zote duniani zinatumia cortex iwe meadiatek, exynos, tegra, snapdragon au mwengine, intel alileta x86 zikafeli karudi anajipanga upya na atom zake.

ila mediatek wao chip zao ni very cheap ndio mbaya kushinda zote. tegra anajulikana kutengeneza chip mbaya ila ila mediatek ni zaidi ya tegra weakness moja tu ya kutoweza kuwa updated inatosha kuiondoa mimi kwenye review yangu. chukulia huu mfano.

mimi nimenunua galaxy s3 ina android 4.04 ikiwa mpya wewe ukanunua tecno phantom a ina 4.1. nikapata update kwenye s3 yangu ikawa nayo na android 4.1 tukawa sawa. then android 4.2 ikatoka mimi wa s3 nikapata update wewe wa tecno hupati sababu chip yako ya mediatek hairuhusu kupata updates inabidi ununue simu nyengine. ikitoka android 4.3 mchezo ni ule ule hupati tena updates unanunua simu nyengine.

mfano wa pili google katoa android version halafu kuna bugs ndani yake ila watu hawajaigundua, simu zimeshaship wateja wamenunua tunatumia then zile bugs zinagundulika, manufacture wengine watatuma patch kuziba zile bugs, je wenzangu na mimi wa mediatek mshawahi kureceive patch hata sku moja?

haya ni machahce tu ila yapo mengi sana ya mediatek in short ni very risk kueka simu zake hapa ndio maana nikaamua nisizieke.
 
yap ni mtazamo wangu binafsi unaotokana na uelewa wangu wa simu wala sio sheria kuwa ni lazima ufuate pima kwenye akili yako unalooona linakufaa chukua unaloona nadanganya nikosoe na usilokubaliana nalo pia liache tu hapa hapa.

yap zina corupt na sio ku corupt imei tu zina weakness nyingi naweza kuzitaja kwa urefu kama unataka na kama unataka ushahidi naweza kukupa source kama nne au zaidi za humu humu jf bila kutoka nje watu wakilalamika simu hazina net na imei imepotea,

ndio maana sentesi ya mwisho nikasema kama kuna simu sijaitaja unayoona inastahili kuwepo itajeni.

si ya bei rahisi tu hata za bei ghali zina weakness in short hakuna simu perfect tunachofanya hapa ni kutafuta simu yenye weakness chache zaidi

kaka ungekua unazifahamu hizi chip za simu usingeandika hii sentesi sababu processor niliyoikandia(snapdragon 200 ya moto e na xperia e1) ni mpya ya mwaka huu huu ilizinduliwa mwaka jana na kuanza kutumika mwaka huu, ila hata kama ni mpya haitoi fact kuwa inatumia dualcore cortex a7 na adreno 302 ambazo haziwezi kuhandle game kubwa. lumia 520 inatumia snapdragon s4 processor ya mwaka 2012 lakini nimeisifia sababu ni processor ya flagship imetumika kwenye nexus 4, moto x na simu nyengine kubwa jina lake maarufu ni krait.

haya ni maelezo mafupi kuhusu chip za simu yanaweza kukusaidia. japo zina mambo mengi kama bluetooth, fm radio na mengine ila kwenye hizi chip sana tunaangalia processor na gpu. processor zote za simu zinatokana na arm na hawa jamaa wamezicategorize kwenye majina wanaziita cortex. hawa jamaa ni open source na mtu yoyote anaweza kuzibrand. zipo cortex hz maarufu.
cortex a5
cortex a7
cortex a9
cortex a12
cortex a15

na kuna mpya cortex a17 ambayo inareplace cortex a9 na cortex a53 ya 64bit.

kutoka cortex a5 hadi a15 basi ndio power navyo inavyoenda, cortex a5 ni weakest one wakati cortex a15 ni strongest one. ndio maana sijaeka simu ya cortex a5 nokia x, galaxy s duos na y300 zote nikazitoa.

cortex a7 unaweza kuishi nayo lakini still hakuna excuse kuwa ni powerfull hasa ikiwa dualcore. atleast snapdragon 400 wana quadcore cortex a7. ndio maana nikaweka kama wekaness simu za dualcore cortex a7.

cortex a15 ndio kubwa yao kwa sasa na kwa snapdragon zinajulikana kama krait kama kumbukumbu zangu zipo sahihi lumia 520 ina krait 300 na kuna even more powerfull krait inaitwa krait 400 inatumika kwenye snapdragon 800 kupanda kwenye flagship za 2014.

na ukitaka kujua krait ni next level ona chip za octacore (zipo nane) kutoka mediatek na exynos zinashindwa kuperform kama quadcore (zipo nne)za qualcom watengenezaji wa snapdragon krait.

kaka simu zote duniani zinatumia cortex iwe meadiatek, exynos, tegra, snapdragon au mwengine, intel alileta x86 zikafeli karudi anajipanga upya na atom zake.

ila mediatek wao chip zao ni very cheap ndio mbaya kushinda zote. tegra anajulikana kutengeneza chip mbaya ila ila mediatek ni zaidi ya tegra weakness moja tu ya kutoweza kuwa updated inatosha kuiondoa mimi kwenye review yangu. chukulia huu mfano.

mimi nimenunua galaxy s3 ina android 4.04 ikiwa mpya wewe ukanunua tecno phantom a ina 4.1. nikapata update kwenye s3 yangu ikawa nayo na android 4.1 tukawa sawa. then android 4.2 ikatoka mimi wa s3 nikapata update wewe wa tecno hupati sababu chip yako ya mediatek hairuhusu kupata updates inabidi ununue simu nyengine. ikitoka android 4.3 mchezo ni ule ule hupati tena updates unanunua simu nyengine.

mfano wa pili google katoa android version halafu kuna bugs ndani yake ila watu hawajaigundua, simu zimeshaship wateja wamenunua tunatumia then zile bugs zinagundulika, manufacture wengine watatuma patch kuziba zile bugs, je wenzangu na mimi wa mediatek mshawahi kureceive patch hata sku moja?

haya ni machahce tu ila yapo mengi sana ya mediatek in short ni very risk kueka simu zake hapa ndio maana nikaamua nisizieke.

Pamoja sana chief!
 
Chief-Mkwawa we ni mkali na hata ymollel kakuelewa nadhan kama si mbish
Ntatumia code zip au ntatambuaje kama sim nayotaka kununua ni nokia lumia 520 original maanake hii ndo nataka nikaitafute?
 
Chief-Mkwawa we ni mkali na hata ymollel kakuelewa nadhan kama si mbish
Ntatumia code zip au ntatambuaje kama sim nayotaka kununua ni nokia lumia 520 original maanake hii ndo nataka nikaitafute?

hakuna lumia fake kaka sababu wp sio open source na sio bure. Ila sasa hv wp8.1 imekua bure zitaanza.

for now hakuna fake kanunue tu ila ukichelewa mwishon mwa mwaka zitaanza kutoka
 
hakuna lumia fake kaka sababu wp sio open source na sio bure. Ila sasa hv wp8.1 imekua bure zitaanza.

for now hakuna fake kanunue tu ila ukichelewa mwishon mwa mwaka zitaanza kutoka

Kaka kwa hawa wachina kuna mshikaji aliniambia kuwa ziko fake,kwani hiz lumia 520 ni dual phone? maanake alizoniambia mi ni dual kuwa ni fake.
 
Kaka kwa hawa wachina kuna mshikaji aliniambia kuwa ziko fake,kwani hiz lumia 520 ni dual phone? maanake alizoniambia mi ni dual kuwa ni fake.

hizo fake zake zinakua na android au java tu ni rahisi kuzijua. Ila kwa usalama zaid ni vizuri nunua tu kwa mawakala ili upate warranty na protection nyengine
 
mkwawa... didnt u say kwamba OS ya android sio mpango? i am trying to remember kama kwenye trend ulishawahi lisemea hilo... if so... mbona hiyo ZTE REDBULL V5 inatumia android OS? kama sivyo na kama siko sawa basi ipotezee maana sio kesi. pia je kuna shaka yoyote if i will go for HUAWEI ASCEND P7? specs zake zimeniridhisha ila kuna kitkat ndani yake... waft my worries if you wont mind pls.. regards..!
 
ZTE RedBull V5 4G LTE specifications

ZTE Redbull V5

GENERAL
ManufacturerZTE
ModelRedbull V5
Release DateOut now
DISPLAY
Size5-inch
Resolution1280 x 720
ProtectionTBA
OtherTFT
FEATURES
OSAndorid
Nubia UI 2.0
ChipsetQualcomm
CPUQuad-core Snapdragon 400
GPU
RAM1GB
2GB
Battery2400mAh
OtherRemovable battery
OTG
TD-LTE 4G
CAMERAS
Rear camera13 mega-pixel
FeaturesF2.2 aperture
Sony Exmor
Video
Front camera5 mega-pixel
MEMORY
Internal4GB
8GB
SD cardYes, 32GB
NETWORK SUPPORT
Dual-simYes,
WCDMANo
GSMYes
BODY
Dimensions (mm)139 x 71 x 8.9mm
Weight (g)165g
ColoursRed, Yellow, white, blue
PURCHASE INFO
Review URL
Price799 Yuan
999 Yuan
Where to buyJD.com
FOR YOU INFORMATION CHIEF MKWAWA....
 
HAPA NDIPO HITAJI LANGU LILIPO KWA SASA... NIPATIE ELIMU KIDOGO MAANA NADHANI THIS IS WHERE MY HEART IS... pia kama hutojali niambie hapo mwanzo kuhusu simcad nimeona kuna kitu wanaita NANO SIM.... ndo niaje hiyooo jouumbaaa

Available as:
Huawei Ascend P7 Dual SIM with dual sim card slots (Micro SIM + Nano SIM)
GENERAL
2G NetworkGSM 850 / 900 / 1800 / 1900
3G NetworkHSDPA 850 / 900 / 1700 / 1900 / 2100
4G NetworkLTE 800 / 900 / 1800 / 2100 / 2600
SIMMicro-SIM
Announced2014, May
StatusComing soon. Exp. release 2014, July
BODY
Dimensions139.8 x 68.8 x 6.5 mm (5.50 x 2.71 x 0.26 in)
Weight124 g (4.37 oz)
DISPLAY
TypeIPS LCD capacitive touchscreen, 16M colors
Size1080 x 1920 pixels, 5.0 inches (~441 ppi pixel density)
MultitouchYes
ProtectionCorning Gorilla Glass 3
-- Emotion UI 2.3
SOUND
Alert typesVibration, MP3 ringtones
LoudspeakerYes
3.5mm jackYes, check quality
-- Dolby Digital Plus sound enhancement
MEMORY
Card slotmicroSD, up to 64 GB
Internal16 GB, 2 GB RAM
DATA
GPRSUp to 60 kbps
EDGEUp to 236.8 kbps
SpeedHSDPA, 42 Mbps; HSUPA, 5.76 Mbps; LTE, Cat4, 50 Mbps UL, 150 Mbps DL
WLANWi-Fi 802.11 a/b/g/n, dual-band, Wi-Fi Direct, DLNA, Wi-Fi hotspot
BluetoothYes, v4.0 with A2DP, LE
NFCYes
USBYes, microUSB v2.0, USB On-the-go
CAMERA
Primary13 MP, 4160 x 3120 pixels, autofocus, LED flash, check quality
FeaturesGeo-tagging, touch focus, face and smile detection, panorama, HDR
VideoYes, 1080p@30fps, check quality
SecondaryYes, 8 MP
FEATURES
OSAndroid OS, v4.4.2 (KitKat)
ChipsetHiSilicon Kirin 910T
CPUQuad-core 1.8 GHz Cotex-A9
GPUMali-450MP4
SensorsAccelerometer, proximity, compass
MessagingSMS(threaded view), MMS, Email, Push Mail, IM
BrowserHTML5
RadioFM radio
GPSYes, with A-GPS support and GLONASS
JavaYes, via Java MIDP emulator
ColorsBlack, white, pink
-- SNS integration
- Active noise cancellation with dedicated mic
- XviD/MP4/H.263/H.264/WMV player
- MP3/eAAC+/WMA/WAV/Flac player
- Google Search, Maps, Gmail,
YouTube, Calendar, Google Talk
- Organizer
- Document viewer
- Photo viewer/editor
- Voice memo/dial/commands
- Predictive text input
BATTERY
-Li-Po 2500 mAh battery
Stand-by (2G) / Up to 422 h (3G)
Talk timeUp to 22 h (2G) / Up to 14 h (3G)
 
Kaka mkwawa naomba unisaidie faida na hasara za simu aina ya LG 4G LTE kuna jamaa anataka kuniuzia ni pana vizuri ila siijui kiundani
 
kujua specs ni suala jingine na kujua terminologies... effects... details and approvals ni kitu kingine... thats why unakuta kwenye ujenzi wa barabara kuna engineers(consultants) na contractors.... specs tuu hazitoshi... ndipo pale anapohitajika experienced and skilled person kukuelekeza zaidi ya kufuata specs... kama tunapata mtu anayeyajua haya kwa undani... tunamuomba atueleze japo tuki google.. majibu pia yapo. sometimes hakuna sababu ya ku google kitu ambacho sio fani yako wkt wataalamu sanifu na washauri kama chief-mkwawa wapo. of which akitaka details kuhusu umeme...generators... solar... sat dishes na such related matters.. akiniuliza....duuuuh ntatiririka mbaiiiyaaa.. hapa niliwaza anipe direct contacts... lakini pia hii ndio maana halisi ya forum.... chief usichoke kaka.. regards to all
 
Last edited by a moderator:
mkwawa... didnt u say kwamba OS ya android sio mpango? i am trying to remember kama kwenye trend ulishawahi lisemea hilo... if so... mbona hiyo ZTE REDBULL V5 inatumia android OS? kama sivyo na kama siko sawa basi ipotezee maana sio kesi. pia je kuna shaka yoyote if i will go for HUAWEI ASCEND P7? specs zake zimeniridhisha ila kuna kitkat ndani yake... waft my worries if you wont mind pls.. regards..!

kaka mimi mwenyewe natumia android na inategemea hapo uliponiquote tulikuwa tunazungumzia kitu gani. Kuna maeneo android ni takataka na maeneo ni almasi.

si zte redbull tu bali moto e, xperia e1, ascend y300, nokia x na s duos zote zina android na nimezieka kwenye thread hapo juu.

kuhusu hio p7 ni nzuri specs zake ila mimi nina dought 2
1. hio chip ni underground, nafkiri ni custom made na huawei hizi chip zisizojulikana zinakuwa sometime nzur sometime mbaya. mfano kwa apple chip zake amezioptimize na os zimekuwa nzuri sana na simu zake zina perfomance kubwa licha ya specs ndogo. so before kununua angalia review, hands on na gaming review

2. cortex a9 kuendesha kioo cha FULL HD pia kuna mushkeli. simu hii ina quadcore cortex a9 ambayo si processor yenye nguvu sana. hapa nielezee kwa urefu kidogo. hii simu ina processor nne aina ya cortex a9 zenye speed ya 1.8ghz, simu nyengine yenye processor kama hii ni galaxy s3 nayo pia ina processor nne za cortex a9. ila galaxy s3 yenyewe speed yake ilikua ni 1.4ghz na hii 1.8ghz so ina speed kidogo kucompare na s3. ila s3 ilikuja na kioo cha hd yaani 1280x720 ila hii ina kioo cha 1920x1080. kutokana na wingi wa pixel tegemea speed ya hii simu kuwa ndogo kuliko s3 sababu ina pixel nyingi. ila kama nilivyosema juu sababu ni custom made chip huwenda wameoptimize ikawa na speed kushinda hata hio s3 ila still bado ni risk.

all in all angalia review zake sana utajua mengi mfanye youtube awe rafiki
 
Back
Top Bottom