Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Tuache Xiaomi na Huawei, hao habari nyingine kabisa. Yaani sio Samsung wala Apple apo atasogeza flagship yake.
Tuongelee hawa wawili, Oppo na Vivo.
Ukiwachukulia poa utasema ni garbage nyingine kutoka kwa Mchina, ila aisee hawa jamaa wana flagship kali sana.
Mfano: Vivo X100 Ultra, na Oppo Find X7 Ultra!
Izo zote za mwaka 2024 mwanzoni ila hauwezi fananisha na S24 wala 16 Pro kutoka kwa wababe.