Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
Hii TZ imefika kweli au ndo mpaka uagize njeTatizo bei. Mfano Oppo Find X7 Ultra unakuta Mil 1.8 hivi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii TZ imefika kweli au ndo mpaka uagize njeTatizo bei. Mfano Oppo Find X7 Ultra unakuta Mil 1.8 hivi.
Wafanyanyabiashara waoga sana kuleta simu za Oppo, Vivo, Tecno, Huawei za bei kubwa.Hii TZ imefika kweli au ndo mpaka uagize nje
Nimeipenda hiiUnaweza kuona bajaj ni kali kuli ist. Sababu tu unamiliki bajaj.
Tuanzie hapa kwanza,flagship mnamaanisha nini?Sisi tunaonunua gadgets kwa kuangalia specifications na sio brand tuna raha sana🙂
Mimi napendanga kununua zile simu wanaita "Flagship Killer".
Mfano hapa natumia "Xiaomi 11T Pro" mwaka wa 3 huu, kila kitu kiko on point (camera, battery life, software, hardware).
Hapa nataka nitafute flagship moja matata ya Mchina, nitulie zangu kwa miaka 5 ijayo.
Wale wazee wa kununua brands ,nawapa pole sana, unakuta mtu ananunua Samsung la Laki 9, ambayo ni midrange, wakati kwa hiyo pesa angeweza kupata flagship kali tu.
Ili unielewe kirahisi chukua huu mtiriko:Tuanzie hapa kwanza,flagship mnamaanisha nini?
Hapa ukiiotea S24 used ndiyo kabisaa unakuwa umeula balaa, maana kwanza inakuwa imebakiza 6 years of major OS updates...Hapo umesema. Bora flagship killers kuliko Mids.
Kuna debates pia, una laki 9 bora ununue A54 mpya au ukatafute S21 Ultra used.
Watu wanatokaga mapovu hapa.
Kusema kweli mimi Mid hapana. Bora Nitafute flagship ata ya miaka 2 nyuma.
Mfano mwezi ujao Galaxy S25 inatoka, ndio muda wa kutafuta S22 na S23s kwa wadau wa Samsung.
Nilikua natafuta tu S23U naona bei bado za moto. Tuone hadi January ikiisha.Hapa ukiiotea S24 used ndiyo kabisaa unakuwa umeula balaa, maana kwanza inakuwa imebakiza 6 years of major OS updates...
Unyama mwingi mwaisa.
Tunanunua simu kwa brand na status. Mtu akiona unatumia Huawei, Vivo nk anaona we hamnazo w
Better kuagiza tu njeWafanyanyabiashara waoga sana kuleta simu za Oppo, Vivo, Tecno, Huawei za bei kubwa.
Wanajua Mtanzania kutoa Mil 1 anunue Vivo bora akanunue iPhone 13 base used.
Kwahiyo tukienda madukani tunakutana na zile za bei ya kati.
Kama mtu unaweza kujiripua unaagiza. Kuna kipindi tuliagiza Huawei ilikua poa tatizo gharama za kutuma nazo juu, nakumbuka ilikua 80,000 hivi.
Nimekuelewa vizur sana,shukranIli unielewe kirahisi chukua huu mtiriko:
1. Toyota Prado V8 - Flagship
2. Toyota Harrier - Mid-range
3. Toyota IST - Low-range
Flagship ni bidhaa ya kampuni yoyote iliyo na ubora wa hali ya juu kabisa, yani ukiitoa hiyo bidhaa hakuna nyingine yenye kiwango kuizidi hiyo.
Ngoja niirukie maana boss ushasema ckupingiReno 8 pro 5G
Hio ni midrange tu wala sio unyama sana kwa watumiaj wa simu tunaopenda kuonja kila ladha ,ukitaja opo kaa find ndio utaelewa hawana kazi mbovu wale jamaa wala panyaNgoja niirukie maana boss ushasema ckupingi
Hapa uliposema opo kaa find ulimaanisha nn?Hio ni midrange tu wala sio unyama sana kwa watumiaj wa simu tunaopenda kuonja kila ladha ,ukitaja opo kaa find ndio utaelewa hawana kazi mbovu wale jamaa wala panya
Unachosema ni sahihi. Mimi ni team HUAWEI.Sisi tunaonunua gadgets kwa kuangalia specifications na sio brand tuna raha sana🙂
Mimi napendanga kununua zile simu wanaita "Flagship Killer".
Mfano hapa natumia "Xiaomi 11T Pro" mwaka wa 3 huu, kila kitu kiko on point (camera, battery life, software, hardware).
Hapa nataka nitafute flagship moja matata ya Mchina, nitulie zangu kwa miaka 5 ijayo.
Wale wazee wa kununua brands ,nawapa pole sana, unakuta mtu ananunua Samsung la Laki 9, ambayo ni midrange, wakati kwa hiyo pesa angeweza kupata flagship kali tu.
Price ya 22 na 23 zinaweza kucheza kwenye sh ngapi.Hapo umesema. Bora flagship killers kuliko Mids.
Kuna debates pia, una laki 9 bora ununue A54 mpya au ukatafute S21 Ultra used.
Watu wanatokaga mapovu hapa.
Kusema kweli mimi Mid hapana. Bora Nitafute flagship ata ya miaka 2 nyuma.
Mfano mwezi ujao Galaxy S25 inatoka, ndio muda wa kutafuta S22 na S23s kwa wadau wa Samsung.
Charge vipi?Unachosema ni sahihi. Mimi ni team HUAWEI.
August hii nimevuta huawei p30 pro ambayo ni flagship ya 2019 sina habari kwa miaka 5 ijayo
23u inamwonekano mzuti sana betri kubwa. Ni kama unatumia note series. Kio kikubwa n.k. bei inasemaje hapoNilikua natafuta tu S23U naona bei bado za moto. Tuone hadi January ikiisha.
Mi nikinunua S23U navuka nayo 4 years aisee.