Spartacus boy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,727
- 3,464
Ipo vzr. Battery ni 4200 mahCharge vipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo vzr. Battery ni 4200 mahCharge vipi?
Nnavyo wajua samsung hilo betri masaa 7 data on ni kipemgeleIpo vzr. Battery ni 4200 mah
Hii ni huawei mkuuNnavyo wajua samsung hilo betri masaa 7 data on ni kipemgele
Nimeona 22 Ultra nyingi used ni 750 hadi 900 hivi.Price ya 22 na 23 zinaweza kucheza kwenye sh ngapi.
1. Boxed
2. Unboxed(second hand n.k)
Baada ya hili toleo USA ndiyo akawawekea sanctionsAisee P30 Pro niliona kwa mtu nikasaema Huawei alikua ahead of time.
Oppo and vivo zina grades, watu wanachukua low na medium ndio wanapata hiyo experience, but zile flagship zao zinafanya vizuri sana japo expensiveTuache Xiaomi na Huawei, hao habari nyingine kabisa. Yaani sio Samsung wala Apple apo atasogeza flagship yake.
Tuongelee hawa wawili, Oppo na Vivo.
Ukiwachukulia poa utasema ni garbage nyingine kutoka kwa Mchina, ila aisee hawa jamaa wana flagship kali sana.
Mfano: Vivo X100 Ultra, na Oppo Find X7 Ultra!
Izo zote za mwaka 2024 mwanzoni ila hauwezi fananisha na S24 wala 16 Pro kutoka kwa wababe.