Sisi tunaonunua gadgets kwa kuangalia specifications na sio brand tuna raha sana🙂
Mimi napendanga kununua zile simu wanaita "Flagship Killer".
Mfano hapa natumia "Xiaomi 11T Pro" mwaka wa 3 huu, kila kitu kiko on point (camera, battery life, software, hardware).
Hapa nataka nitafute flagship moja matata ya Mchina, nitulie zangu kwa miaka 5 ijayo.
Wale wazee wa kununua brands ,nawapa pole sana, unakuta mtu ananunua Samsung la Laki 9, ambayo ni midrange, wakati kwa hiyo pesa angeweza kupata flagship kali tu.