Smartphone za Oppo na Vivo zipo underrated sana. Wana vyuma vina camera iPhone yoyote haiweki mguu!

Quality ni bora
 
Sisi tunaonunua gadgets kwa kuangalia specifications na sio brand tuna raha sana🙂

Mimi napendanga kununua zile simu wanaita "Flagship Killer".

Mfano hapa natumia "Xiaomi 11T Pro" mwaka wa 3 huu, kila kitu kiko on point (camera, battery life, software, hardware).

Hapa nataka nitafute flagship moja matata ya Mchina, nitulie zangu kwa miaka 5 ijayo.

Wale wazee wa kununua brands ,nawapa pole sana, unakuta mtu ananunua Samsung la Laki 9, ambayo ni midrange, wakati kwa hiyo pesa angeweza kupata flagship kali tu.
 
Hapo umesema. Bora flagship killers kuliko Mids.

Kuna debates pia, una laki 9 bora ununue A54 mpya au ukatafute S21 Ultra used.

Watu wanatokaga mapovu hapa.

Kusema kweli mimi Mid hapana. Bora Nitafute flagship ata ya miaka 2 nyuma.

Mfano mwezi ujao Galaxy S25 inatoka, ndio muda wa kutafuta S22 na S23s kwa wadau wa Samsung.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…