Smartphone za Oppo na Vivo zipo underrated sana. Wana vyuma vina camera iPhone yoyote haiweki mguu!

hiyo Vivo X100 Ultra nikihitaji kuagiza hadi inifikie mkononi itanigharimu shilingi ngapi.?
 
hiyo Vivo X100 Ultra nikihitaji kuagiza hadi inifikie mkononi itanigharimu shilingi ngapi.?
Labda cheap kabisa 1.8 hivi wakitoa x200 Ultra labda za nyuma zitapoa maana X200 Pro ishatoka.
 
Price ya 22 na 23 zinaweza kucheza kwenye sh ngapi.
1. Boxed
2. Unboxed(second hand n.k)
Nimeona 22 Ultra nyingi used ni 750 hadi 900 hivi.

23 Ultra bado on fire.

Sema nn, Tar 28 Jan wanazindua 25 Ultra zitashuka sana maana Samsung nnachompendea wakitoa model mpya xa nyuma zinashuka sanaaa
 
Unachosema ni sahihi. Mimi ni team HUAWEI.
August hii nimevuta huawei p30 pro ambayo ni flagship ya 2019 sina habari kwa miaka 5 ijayo
Aisee P30 Pro niliona kwa mtu nikasaema Huawei alikua ahead of time.
 
Oppo and vivo zina grades, watu wanachukua low na medium ndio wanapata hiyo experience, but zile flagship zao zinafanya vizuri sana japo expensive

Wabongo wanapenda bei rahisi ndio maana wengi wanapata experience mbovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…