Sms nilizozikuta kwenye simu ya mke wangu zimenistua

Kakamate maji ya mwamposaa na maji uone kama utashika simu ya mumeo Tena na zaidi maombi 12 andika Mungu naomba nisishike Tena simu ya mke wangu why
Unapoelekea siokuzuri
 
Kiongozi mkeo anakupenda wewe na wanao,

Punguzeni kufatiliana Kwa kila hatua mpunguze migogoro labda pale unapoona kuna alarm tatanishi halafu yeye anakwambia hii ni azana
 
Kama huna kifua usishike simuya mkeo kabisa achana nayo maana ni atomic bomb Tena wanawake wetu wa Hawa wa mitandaoni
Acha simu ya mumeo au mkeo Ione kama segerea
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…karibu tujenge chama mkuu KATAA NDOA
 
Nini kilitokea mkuu?
 
Unachapiwa we fala shtuka
 
Haha nini kilikukuta
 
Mkuu Relax,.hizo sms mbona hazina utata mkubwa kiivyo. Kuna watu tumeshuhudia matetemeko mazito na tumetulia tu.
Nakuombea shemeji azidi kuwa muaminifu milele maana inaonekana akikusaliti unawezaCommit suicide au homicide
Mkuu matetemeko? Mbona mnatukatisha tamaa sisi vijana aisee πŸ˜‚

Vijana wanaogopa ndoa Sasa hivi kuliko ukimwi
 
πŸ™‡πŸ™‡πŸ™‡ miaka 7 bdo uku msoma mkeo aiseee inaonesha mkeo kakuzd maarfa pole au mwezetu uliletewa na wazz wako uku chagua mwenyw
 
Una nini lakini πŸ˜„
Mke + hsg =

Na jambo aliloongea ni la kawaida mfano katoka kwa dharura kamuachia dada maagizo na baadae kuulizia kama amefanya vile ipasavyo kuna ubaya?

Na pia mtoa mada kilicho mfanya achukue cm ya mke we ni ipi means amuamini mke?

Tukisema mtoa mada anakula dada wa kaz atakataa?
 

Mtoa Mada hajaeleza wakati Akiwa Dar ratiba ya Mke wake kuanzia saa moja usiku anakuwaga wapi.

Alafu mwanaume kama huna ushahidi WA kutosha ni kukosa akili kumuuliza Mkeo saa fulani au ulikuwa wapi.
Sasa hata kama alikuwa kaenda kuliwa atakupa Majibu? Au ndio unauliza maswali kama mtoto.

Vijana mmeambiwa muishi na wanawake kwa AKILI.
Kwa akili za kawaida huwezi uliza Mkeo swali kama Hilo labda uwe tayari unamajibu yenye ithibati
 
kwanza una hela? kama huna mwache tu kajicchagulia maisha flani hivi, n kama una hela achana naye pia wapo wengi huyo tayari ana shida sehemu ukifuatilia zaidi jela inakuita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…