Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kakamate maji ya mwamposaa na maji uone kama utashika simu ya mumeo Tena na zaidi maombi 12 andika Mungu naomba nisishike Tena simu ya mke wangu whyNilipata safari ya kwenda kikazi, nilikaa huko kwa muda wa wiki Moja then nimerudi nyumbani dar es salaam
Leo nimeikagua simu ya mke wangu nimekutana na sms ambazo alikuwa anatumiana na dada wa kazi (nyumbani kwetu)
Dada wa kazi saa 19:27 usiku --dada tayari nimepika
Mke saa 19:30 usiku-- watoto wameamka
Dada wa kazi saa 19:31 usiku-- ndio dada
Mke saa 19:33 usiku-- wameoga
Dada wa kazi saa 19: 34 usiku-- ndio dada
Mke saa 19:36 usiku-- wamekula
Dada wa kazi saa 19: 38 usiku--ndio wamekula
Hizo ndio sms nilizozikuta kwenye simu ya mke wangu, maswali ya mashaka ni saa 19:30 ya usiku yeye alikuwa wapi mpaka akawa anataka kujua taarifa za nyumbani , je hakuwepo nyumbani kwa muda gani ? Na je alirudi baada ya muda gani.
Nimejaribu kumuuliza maswali hayo lakini napewa majibu mepesi sana, naambiwa baba fulani sasa umezidi sana.
Ananiambia nilienda ofisini kwa mama fulani (iyo ofisini ipo karibu sana na nyumbani )
namuuliza kama ulikuwa karibu namna hiyo kwanini hukurudi nyumbani kujionea kinacho endelea na ukajikita kwenye kuuliza maswali.
Kwa kifupi ni kwamba majibu ninayopewa ni mepesi sana, huyu mwanamke ni mke wangu na nimekuwa nae kwenye ndoa kwa miaka 7 sasa na tuna watoto wawili.
Una nini lakini 😄Nilijua labda sma za mkeo wana brend juice na housegirl
Naam! KATAA NDOA EPUKA STRESS ZA KUJITAKIA kama za mtoa mada kitu kidogo tu roho inataka kumtokaYani kwa nyuzi za namna hii mnazidi kuwapa ushindi Team kataa ndoa
😅😅😅😅😅karibu tujenge chama mkuu KATAA NDOAHio nyepesi kabisa hiyo tukisimulia yetu mkuu kama ni wewe utaua mtoto wa mtu
Nimekaa na mke wangu miaka kumi nilimwamini sana lakini tukio nilililo kuja kutana nalo siwezi muamini mwanamke wa aina yoyote ile napigania TU wanangu wasihisi tofauti yoyote mungu akiniweka hai Hadi wakue wamalize masomo Yao ndio labda niwasimulie mkasa mzima wanawake ukiwapenda sana wanakupotezea malengo amini hivyo
Nini kilitokea mkuu?Hio nyepesi kabisa hiyo tukisimulia yetu mkuu kama ni wewe utaua mtoto wa mtu
Nimekaa na mke wangu miaka kumi nilimwamini sana lakini tukio nilililo kuja kutana nalo siwezi muamini mwanamke wa aina yoyote ile napigania TU wanangu wasihisi tofauti yoyote mungu akiniweka hai Hadi wakue wamalize masomo Yao ndio labda niwasimulie mkasa mzima wanawake ukiwapenda sana wanakupotezea malengo amini hivyo
Unachapiwa we fala shtukaNilipata safari ya kwenda kikazi, nilikaa huko kwa muda wa wiki Moja then nimerudi nyumbani dar es salaam
Leo nimeikagua simu ya mke wangu nimekutana na sms ambazo alikuwa anatumiana na dada wa kazi (nyumbani kwetu)
Dada wa kazi saa 19:27 usiku --dada tayari nimepika
Mke saa 19:30 usiku-- watoto wameamka
Dada wa kazi saa 19:31 usiku-- ndio dada
Mke saa 19:33 usiku-- wameoga
Dada wa kazi saa 19: 34 usiku-- ndio dada
Mke saa 19:36 usiku-- wamekula
Dada wa kazi saa 19: 38 usiku--ndio wamekula
Hizo ndio sms nilizozikuta kwenye simu ya mke wangu, maswali ya mashaka ni saa 19:30 ya usiku yeye alikuwa wapi mpaka akawa anataka kujua taarifa za nyumbani , je hakuwepo nyumbani kwa muda gani ? Na je alirudi baada ya muda gani.
Nimejaribu kumuuliza maswali hayo lakini napewa majibu mepesi sana, naambiwa baba fulani sasa umezidi sana.
Ananiambia nilienda ofisini kwa mama fulani (iyo ofisini ipo karibu sana na nyumbani )
namuuliza kama ulikuwa karibu namna hiyo kwanini hukurudi nyumbani kujionea kinacho endelea na ukajikita kwenye kuuliza maswali.
Kwa kifupi ni kwamba majibu ninayopewa ni mepesi sana, huyu mwanamke ni mke wangu na nimekuwa nae kwenye ndoa kwa miaka 7 sasa na tuna watoto wawili.
Haha nini kilikukutaHio nyepesi kabisa hiyo tukisimulia yetu mkuu kama ni wewe utaua mtoto wa mtu
Nimekaa na mke wangu miaka kumi nilimwamini sana lakini tukio nilililo kuja kutana nalo siwezi muamini mwanamke wa aina yoyote ile napigania TU wanangu wasihisi tofauti yoyote mungu akiniweka hai Hadi wakue wamalize masomo Yao ndio labda niwasimulie mkasa mzima wanawake ukiwapenda sana wanakupotezea malengo amini hivyo
Mkuu matetemeko? Mbona mnatukatisha tamaa sisi vijana aisee 😂Mkuu Relax,.hizo sms mbona hazina utata mkubwa kiivyo. Kuna watu tumeshuhudia matetemeko mazito na tumetulia tu.
Nakuombea shemeji azidi kuwa muaminifu milele maana inaonekana akikusaliti unawezaCommit suicide au homicide
🙇🙇🙇 miaka 7 bdo uku msoma mkeo aiseee inaonesha mkeo kakuzd maarfa pole au mwezetu uliletewa na wazz wako uku chagua mwenywNilipata safari ya kwenda kikazi, nilikaa huko kwa muda wa wiki Moja then nimerudi nyumbani dar es salaam
Leo nimeikagua simu ya mke wangu nimekutana na sms ambazo alikuwa anatumiana na dada wa kazi (nyumbani kwetu)
Dada wa kazi saa 19:27 usiku --dada tayari nimepika
Mke saa 19:30 usiku-- watoto wameamka
Dada wa kazi saa 19:31 usiku-- ndio dada
Mke saa 19:33 usiku-- wameoga
Dada wa kazi saa 19: 34 usiku-- ndio dada
Mke saa 19:36 usiku-- wamekula
Dada wa kazi saa 19: 38 usiku--ndio wamekula
Hizo ndio sms nilizozikuta kwenye simu ya mke wangu, maswali ya mashaka ni saa 19:30 ya usiku yeye alikuwa wapi mpaka akawa anataka kujua taarifa za nyumbani , je hakuwepo nyumbani kwa muda gani ? Na je alirudi baada ya muda gani.
Nimejaribu kumuuliza maswali hayo lakini napewa majibu mepesi sana, naambiwa baba fulani sasa umezidi sana.
Ananiambia nilienda ofisini kwa mama fulani (iyo ofisini ipo karibu sana na nyumbani )
namuuliza kama ulikuwa karibu namna hiyo kwanini hukurudi nyumbani kujionea kinacho endelea na ukajikita kwenye kuuliza maswali.
Kwa kifupi ni kwamba majibu ninayopewa ni mepesi sana, huyu mwanamke ni mke wangu na nimekuwa nae kwenye ndoa kwa miaka 7 sasa na tuna watoto wawili.
Mke + hsg =Una nini lakini 😄
kwanza una hela? kama huna mwache tu kajicchagulia maisha flani hivi, n kama una hela achana naye pia wapo wengi huyo tayari ana shida sehemu ukifuatilia zaidi jela inakuitaNilipata safari ya kwenda kikazi, nilikaa huko kwa muda wa wiki Moja then nimerudi nyumbani dar es salaam