Sms nilizozikuta kwenye simu ya mke wangu zimenistua

Uwe unarudi nyumbani bila kutoa taarifa.. One day unaweza kupata unachokitafuta

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Mlipe Posho Za siri House Girl atakupa ramani za mkeo anachofanya ukiwa haupo
πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†
zingatia hapo
 
Umekuja kujipanikisha, kama ni kula washakula.

Ushahidi huna na uhakika huna.

Mda huo usikute unamchepuko na mnamkula hata 6 ila huoni hata wivu.. mkeo yuko na kajamaa kamoja tu , yaani mko wawili tu.

Namaaniisha? Ukishaona jitahidi utimize haja za mkeo Kisha mengine mwachie yeye. Kikubwa zidi kuongea nae matamanio Yako, ajue haswa hupendi usariti na wewe uoneshe huna chembechembe za mchepuko.
Kuchapiwa ni Siri ya ndani
 
Kama user name yakoinavyosema, Majuto ni mjukuu,kwa kifupi kabisa umetombewa na unaendelea kutombewa,the game is brutal but still fair, umeoa majuto ni mjukuu
 
PIGA MITI dada wa kazi, atakueleza kila kitu.
 
Ya saa moja unalalamika!
 
Piga chini huyo ngedere wa mjini
 
Kwa nini usimuulize dada wa Kazi akuelezee, mbona kama unautafuta ugomvi na mke wako Kwa nguvu zote?
 
Ulikosea Sana Kumuuliza Mkeo Sasa Kwa Kosa Hilo Inabidi Ulilipie Hivyo Kwa Vyovyote Vile Samehe Ila Usisahau.

Ulichotakiwa Kufanya Ungeanzisha Uchunguzi Wa Siri.
Na Ungeanzia Kwa Dada Wa Kazi Ungejaribu Kumweka Karibu Na Viofa Vidogo Vidogo Huku Ukimwambia Asimwambie Mkeo Au Ahakikishe Mkeo Hajui Chochote Alafu Siku Unamtoa Out Kwa Siri Huko Sasa Ndo Ungepata Full Data.
Ila Una Halaka Sana Na Kwa Halaka Hizo Hata Umfumanie Huna Cha Kumfanya Hivyo Ushauri Wangu Acha Kumfuatilia Kwa Kuwa Unaonyesha Unampenda Sana.
 
Nitumie namba za mkeo kuna kitu namtumie link akiifungua tu sms anazo chat zitakuwa zinakuja kwako, nipe na yako pia.
TsnCs kuzingatiwa.
ONYO. Sitahusika na chochote utakachoona au kusikiliza pande zenu mbili
Mkuu Ni kweli au unatuleta tu? Natafuta Sababu tu hapa Nipigie mtoto wa mtu chini
 
Wanandoa wanaviziana sana!
Ni kweli tunaviziana sana. Mmoja pale job amekuwa na kawaida ya kuweka voice record kwenye simu ya mumewe halafu akirudi jioni anahamisha nasikiliza mazungumzo ya mumewe awapo kazini siku nzima. Nadhani kipo anachokiviziaπŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…