Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Anza na Omary, Yemeni n.k, ni mwanasanyasi ngapi duniani anatokea Oman au wamewahi kuvumbua nini?"Top 200 Universities in the Arabic-speaking world" Top 200 Universities in the Arabic-speaking world
Swali langu lilikua,nchi gani ya kiarabu tunaizidi elimu sisi Tanzania!?..jibu Kama mtu aliyeelimika
Kila nchi Ina mwanasayansi mvumbuzi!?..nimepoteza muda kujadiliana na mlemavu wa fikra aliyetega shule!!!..jielimishe kwanza babuAnza na Omary, Yemeni n.k, ni mwanasanyasi ngapi duniani anatokea Oman au wamewahi kuvumbua nini?
"25 Best Universities in Oman - Top Ratings (2024 Fees)" 25 Best Universities in Oman - Top Ratings (2024 Fees)Anza na Omary, Yemeni n.k, ni mwanasanyasi ngapi duniani anatokea Oman au wamewahi kuvumbua nini?
Sidhani kama una akili timamu, kwahiyo utalaamu/ubobezi wao wanafanyia wapi? mbona hata matibabu watu wanaenda India na Ulaya na siyo uarabuni? waarabu wametengeneza gari au software ama kitu gani ambacho kimetoka uarabuni?Kila nchi Ina mwanasayansi mvumbuzi!?..nimepoteza muda kujadiliana na mlemavu wa fikra aliyetega shule!!!..jielimishe kwanza babu
Karibu vyote vimeanzishwa 1990 kuja mbele, wenzako vyuo vyao vinazaidi ya miaka 100, ni watanzania wangapi wamepata scholarship za kwenda kusoma uarabuni?"25 Best Universities in Oman - Top Ratings (2024 Fees)" 25 Best Universities in Oman - Top Ratings (2024 Fees)
Hizi ndiyo akili unazodai Sina!?..gari na software ni ubunifu wa muda, mwingine alifanya ni kupitia kwenye idea za mtu mwingine, mwanasayansi ulimaanisha mvumbuzi au hata fundi magari!?..Kama ni hivyo arabuni wapo wengi tu, jielimisheSidhani kama una akili timamu, kwahiyo utalaamu/ubobezi wao wanafanyia wapi? mbona hata matibabu watu wanaenda India na Ulaya na siyo uarabuni? waarabu wametengeneza gari au software ama kitu gani ambacho kimetoka uarabuni?
Sijui kama umelewa swali langu, kwanini matibabu tunaenda India na Ulaya badala ya Uarabuni mkuu? swali simple snHizi ndiyo akili unazodai Sina!?..gari na software ni ubunifu wa muda, mwingine alifanya ni kupitia kwenye idea za mtu mwingine, mwanasayansi ulimaanisha mvumbuzi au hata fundi magari!?..Kama ni hivyo arabuni wapo wengi tu, jielimishe
Wakiongozwa na mama Abdul waoMuungano uvunjwe tu hakuna namna
Hawa waarabu weusi wanachuki ya wazi kabisa na sisi
Waarabu wamekuja Mara ngapi kufanya upasuaji muhimbili!?..Mara ya mwisho wamekuja waarabu wa saudia kupasua mafuvu muhimbili,wamisri muda tu huja,walikuja na upasuaji wa matundu,upasuaji moyo kupitia paja,nyinyi masikini ndiyo muendao India, waarabu hawaendi tibiwa IndiaSijui kama umelewa swali langu, kwanini matibabu tunaenda India na Ulaya badala ya Uarabuni mkuu? swali simple sn
Zanzibar siyo Tanzania?Serikali ya Zanzibar imesema kuna ongezeko la uhamiaji holela wa watoto kutoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar unaochangiwa na umaskini na unyanyasaji.
Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Zanzibar, Abeida Rashid ametoa kauli hiyo wakati wa mazungumzo ya kitaifa ya kushughulikia uhamiaji haramu na kuimarisha ulinzi wa wahamiaji wanaoishi katika mazingira hatarishi Tanzania.
Amesema mwaka jana watoto 66 waligunduliwa mitaani baada ya kuingia Zanzibar kwa njia zisizo halali kutoka Tanzania Bara.
“Kuanzia Januari hadi mwezi huu, tuliwakuta 19 ambao wamepelekwa kwenye nyumba salama ambako wanapata mafunzo muhimu ili kujikimu,” amesema.
Chanzo: The Citizen Tanzania
Wa-TungekinyaMachogo ndio nini?
Duh simple mind 🙄Wa-Tungekinya
Nchi gani ya kiarabu tunaizidi kielimu? Hili swali lipo serious?"Top 200 Universities in the Arabic-speaking world" Top 200 Universities in the Arabic-speaking world
Swali langu lilikua,nchi gani ya kiarabu tunaizidi elimu sisi Tanzania!?..jibu Kama mtu aliyeelimika
Afghanistan sio nchi ya kiarabu bro ,labda Yemen inaweza kuzidiwa.Nchi gani ya kiarabu tunaizidi kielimu? Hili swali lipo serious?
Zipo tunaowazidi mfano Afghanistan
Afghanistan sio waarabu? Nilikua sijui , thanks. Lakini nimesema zipo nyingiAfghanistan sio nchi ya kiarabu bro ,labda Yemen inaweza kuzidiwa.
Hao ni wa pashto wenye viasili vya kiajemi mkuu ,hata gololi za macho yao yanawaka.Afghanistan sio waarabu? Nilikua sijui , thanks. Lakini nimesema zipo nyingi
Nyingine no hiyo Yemen
Kalale kwanza mkuuHizi ndiyo akili unazodai Sina!?..gari na software ni ubunifu wa muda, mwingine alifanya ni kupitia kwenye idea za mtu mwingine, mwanasayansi ulimaanisha mvumbuzi au hata fundi magari!?..Kama ni hivyo arabuni wapo wengi tu, jielimishe