Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
hata wakiweka skana ni bure tu wakati hizo bangi zinapatikana Vingunguti hapo kibao akitaka hata gunia kumi atazipata tu tena kali kuliko za huko kwao merekani...cha muhimu wafanye kuweka scanner za bangi airport,narcotics hazitakiwa Bongo
[emoji23]Lizee halafu lihuni kwali
Ni watu mala nyingi awana kaziwahudhuriaji wa Fiesta ni mazuzu pia
Bado hujamuona gwiji LemutuZLizee halafu lihuni kwali
Eboooooo wapi niliposema kuwa wavuta bange sio watu?!Kwani wavuta bangi sio watu? Tatizo hufahamu kama hujui.
Ali Kiba na DiamondUlitaka wamlete nani mkuu?
ww unaakili kuliko kamati yote ya maandalizi so wangekaa na chris till 4th of november THINKWalishindwa nini kumteka Chriss Brown alivyokuwa hapo Mombasa juzi, akatumbuiza fasta na kusepa...! mpaka watuletee mzee
Sio mazuzu tu wanaweza kua mabwabwa piawahudhuriaji wa Fiesta ni mazuzu pia
hahaha!! umeona!!Lizee halafu lihuni kwali
Umetumwa na luge weweHuyu ni msanii mkubwa sana, anaye heshimika kwenye anga za rap&hiphop music na ni kati ya wanamuziki wachache sana waliobaki ukiachilia mbali wale waliokwisha tangulia mbele za haki kama tupac& biggy.
Nyie mnaodai snoop ni mzee, mnajua kati ya Jayz na Snoop nani mzee?
Kwa wasio mfahamu, huyu ni kati ya wasanii wenye washabiki wengi sana duniani, na wala clouds hawajakosea kumleta na hii kazi clouds wala hawajaanza jana, kifupi wanaijua kuliko mnavyofikili nyinyi.
Ukisema clouds hawana hela ndiomana wanamleta msanii aliyechuja si kweli, kwani waliwaleta G unit, rick ross na wengine wengi tu wakiwa bado kwenye peak, mkumbuke hawa international artist mara nyingi ratiba zao zinakuwa finyu sana, tena hasa kwa sisi wa dunia ya tatu, kama tulivyoona kwa criss brown au hata Diamond kwa sasa.
Kama hamuamini njooni hiyo tarehe 5 pale leaders muone hilo shangwe lake.
Nyie wa zama hizi za akina meek mill,sijui Tyga mjue tu wanamuki sasa hivi hakuna, umebakia ujanja ujanja tu kama vile bongo ku survive.π
Muziki wenyewe tu ni kazi sasa utasemaje wanaohudhulia kwenye hizo starehe hawana kazi kaka? Na kama hawana kazi, pesa wanatoa wapi ya kufanya hizo starehe? Ni aidha sio hobby yako au huna chapaa.Ni watu mala nyingi awana kazi