Social Media Reactions as unknown people kidnaps ROMA-Mkatoliki

Hapa mtu wa kukamatwa akasema walipo akina roma ni makonda. Swali linakuja je ni nani atamvisha paka kengere?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1]
Aiseeee hii n n true
 
Tunakoelekea nchi n ya
Vita hiii kwa sasa
Hii yote inaletwa na ccm
 
Vanessa Mdee

Wherever you are, God is Bigger than, Stronger than, Realer than all the other forces that be. Stay UP brother @roma2030 [HASHTAG]#VivaRoma[/HASHTAG] [HASHTAG]#FreeRoma[/HASHTAG] [HASHTAG]#FreeMoni[/HASHTAG] roho inauma na nimetoka kumsikiliza mkeo redioni hajui hata ulipo sasa ndiyo nini is this where we are at now? Ma studio yanavamiwa, watu wanakamatwa kama wanyama pori. Aaaarrrrgh

Diamond akaandika

Wakati mwingine natafakari sijui hata wapi tunaelekea… lla kwakuwa Mwenyezi Mungu ndio Mpangaji wa yote basi naamini hata hili litapita tu… Mwenyezi Mungu aipe nguvu familia ya @roma2030 na wanamziki wenzetu wote ambao hadi sasa haijajulikana walipo..

Nay wa Mitego akasema

Siku nzima ya leo nimekosa raha kabisa, cjui Mshkaji wangu Yupo kwenye hali gani, mazingira gani.? Roma yuko wapi.?! Sim yake ukipiga inaita Kama kawaidi, Masege Whatsup zinasomwa, Sim hazipokelewi. Vyombo husika tunaomba mtusaidie, tunaitaji kujua ndugu zetu wako wapi.? Hatuwezi kukaa kimya.
Hivi kweli tumefikia huku.? Tunaenda wapi.? #FreeRoma
[HASHTAG]#Wapo[/HASHTAG]

Professor Jay

Wakati sisi tunakosa Usingizi na kuendelea kupaza Sauti, Kuna wengine wameweka miguu juu wanaona hili haliwahusu na wengine wanakwenda mbali zaidi na kudiriki kusema hii ni KICK ya Muziki tu..
Narudia tena kuwaambia ndugu zangu WAKIMALIZANA NA SISI WATAKUJA KUMALIZANA NA NYINYI
[HASHTAG]#Bring[/HASHTAG] Back our SOLDIERS Alive.

Ray C

Nimeanza kuingiwa na woga,nafikiria mambo mengi Roma alipo Sasa,anafanywa nini na tatizo ni nini mpaka imekuwa hivi na masaa yanaenda hakuna jibu lililo kamili!!hisia mchanganyiko na zote sio nzuri….Nini kinaendelea?Tatizo ni nini??Sababu ni nini?Bado najiuliza sipati jibu………

Fid Q

Nimeipokea hii HABARI kwa mstuko mkubwa.. sio tu kwasababu TONGWE ni moja kati ya wadhamini wetu wa [HASHTAG]#OpenMicThursday[/HASHTAG] pia ni moja kati ya studio ambazo zimekua msaada mkubwa sana ktk kunyanyua vipaji na C E O @j_murder_tongwe amekua mstari mbele sana ktk kufanikisha hilo.. kinachonistua na kuninyima raha zaidi ni hili la hawa ndugu zetu akina @roma2030 @moni_centrozone Producer Belo na mlinzi kuwa hawajulikani waliko hadi hivi sasa.. ninaiomba MAMLAKA HUSIKA ya USALAMA itusaidie ili waweze kupatikana mapema na kuifutilia mbali ile hofu iliyotanda mioyoni mwa ndugu, jamaa na marafiki… mwisho namuomba MUWEZA WA VYOTE azifanyie wepesi familia za ndugu zetu waliopotelea kusikojulikana in sha Allah

AY akaandika

Vyombo husika vifanye uchunguzi wa haraka tujue hali za wasanii wenzetu wako kwenye hali gani..@romamkatoliki Mungu yupo pamoja nanyi awaepushie lolote baya.. @tongwerecords @j_murder_tongwe
 
Kama simu yake inapatikana, ninadhani kupitia wamiliki wa mtandao huo, wanaweza kusema simu hiyo ipo sehemu gani. Hivyo, kuwa rahisi kwa vyombo vya usalama kumpata, endapo watakuwa na dhamira hiyo. Ni wazo tuu.
Unachekesha! Vyombo gani vimtafute? Wewe ni mgeni Yerusalemu hii?
 
Washenzi sana hawa watu.
 
Watekaji wako kibaha..mmoja wao yupo na simu mbagala,kwa mazingira hayo unaweza acha simu free.
 
wengi wamefariki nakufa kwa utata ,ikiwemo kupigwa risasi hivi karbuni,hatukuwasikia kulaani na kusikitika kwa kua hawakua binadamu sio
 
Nashindwa kuelewa simu iko online Polisi wetu hawana "Kitengo" maalum cha wataalam wa IT waliobobea kujuwa signal zinatokea kwenye BTS Tower gani?
I don't buy this rubbish story, kama yupo safe house wanajuwa wenyewe.

By the way Roma ni threat kwa serikali kiasi hiki? Sielewi.
 

Trust me pia whatsapp inaonesha text imesomwa ila haioneshi nani ameisoma.Una uhakika gani kama ni Roma anayesoma?
 
NAJIULIZA INAKUAJE MTU ANAEVUNJA SHERIA MTANDAON ANAPATIKANA NA KUKAMATWA LAKN MTU ALIEPOTEA NA CMU INAITA INASHINDWA KUJULIKANA IPO WAP?
Maajabu haya ya nchi ya Tanzania
 
Nyie wasanii hamna haya kazi kuuana na kurogana sasa mnataka kuigiza kwamba sio nyinyi, bumpuva kabisa kisa WIVU wa muziki
 
Push up mlizopiga naye huyu jamaa kwenye yale majukwaa mliona kama ni mwenzetu. Huyu si binadamu wa kawaida. Kwanza kasema hakuna aliyemsaidia kufika hapo alipo. Asomaye na afahamu. Tundu Lissu siku zote anatwambia hakuna aliye salama bado hatujaelewa tu? Nchi haiko salama. Mtu anajitokeza na bastola mchana kweupe anataka kumuua waziri Nape, jibu tunalopewa eti yule si polisi. Ukiuliza, kama siyo polisi ni nani hawatoi jibu. Nchi hii ni yetu sote. Tukinyamaza eti hayatuhusu kuna siku yatatuhusu tu! Nani alijua atashuhudia 'LIVE' mtu kama Nape kuonyeshwa bastola na kuwekewa kifuani namna ile? Akina Simbachawene wanaona wote wanaolalamika ni wakorofi na eti hawakaurithi ufalme wa Mungu. Haya!
 
Unajuaje kama ROMA ndiye anayesoma hizo message?
 
Aa Aah! Kumbe Ni wewe!!

Nahisi ID yako Ni ya Bashite au Sizonje.

au ya mtu mwingine mwenye akili kama hao wawili.
 
Hivi yule mzoefu wa kuvamia studio akiwa na watu wa 'special security unit' hajakamatwa kusaidia upelelezi? Sote tunamfahamu huyu mzoefu wa kuvamia studio lakini tunajifanya hatujui kitu. Yawezekana Roma alikwenda kurekodi nyimbo aina ya Nay wa Mitego.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…