usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,956
- 14,032
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1]Hapa mtu wa kukamatwa akasema walipo akina roma ni makonda. Swali linakuja je ni nani atamvisha paka kengere?
Aiseeee hii n n true
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1]Hapa mtu wa kukamatwa akasema walipo akina roma ni makonda. Swali linakuja je ni nani atamvisha paka kengere?
Nani aangalie hiyo location? Anayetakiwa kuangalia location ndiye aliyekamata!Kama simu zake zinaita basi ni rahisi kumpata maana wanaangalia location
Unachekesha! Vyombo gani vimtafute? Wewe ni mgeni Yerusalemu hii?Kama simu yake inapatikana, ninadhani kupitia wamiliki wa mtandao huo, wanaweza kusema simu hiyo ipo sehemu gani. Hivyo, kuwa rahisi kwa vyombo vya usalama kumpata, endapo watakuwa na dhamira hiyo. Ni wazo tuu.
Washenzi sana hawa watu.Wasanii ni idiot, hivi kipindi kile watu wanatuibia mabilioni, na kula rushwa mbona mlikuwa kimya??? Mbona hamukuwahi hata kutunga nyimbo za kuelezea uovu wa baadhi ya watanzania hasa wala rushwa bandarini? Leo hii inchi inanyooshwa mnaanza kuchonga, ni bora mpotee tu, wenzenu wana siasa ni wajanja, wanaponda usiku wanaenda kuomba msamaha.
hili neno zito tushirikiane pamoja kuupata ukweli [HASHTAG]#waTanzania[/HASHTAG]WAKIMALIZANA NA SISI WATAKUJA KUMALIZANA NA NYINYI
Tangu lile bifu la V money na shilole - imekua ngumu sana kuwaamini wasanii wa kizazi hiki, wanatanguliza kiki ndio ngoma inafuata.
Trust me kama mtu anaweza kusoma text za WhatsApp basi yupo salama, baxhite asingekubali bro Roma acharge simu, anunue bundle na aingie mitandao ya kijamii.
Kama mtu kasoma text za WhatsApp asingeshindwa kuandika post IG japo kusema "bashite ananiua". Tufanyeni muziki mzuri kiki tumwachie morapa
Maajabu haya ya nchi ya TanzaniaNAJIULIZA INAKUAJE MTU ANAEVUNJA SHERIA MTANDAON ANAPATIKANA NA KUKAMATWA LAKN MTU ALIEPOTEA NA CMU INAITA INASHINDWA KUJULIKANA IPO WAP?
Unajuaje kama ROMA ndiye anayesoma hizo message?Tangu lile bifu la V money na shilole - imekua ngumu sana kuwaamini wasanii wa kizazi hiki, wanatanguliza kiki ndio ngoma inafuata.
Trust me kama mtu anaweza kusoma text za WhatsApp basi yupo salama, baxhite asingekubali bro Roma acharge simu, anunue bundle na aingie mitandao ya kijamii.
Kama mtu kasoma text za WhatsApp asingeshindwa kuandika post IG japo kusema "bashite ananiua". Tufanyeni muziki mzuri kiki tumwachie morapa
Aah! Kumbe Ni wewe!!Wasanii ni idiot, hivi kipindi kile watu wanatuibia mabilioni, na kula rushwa mbona mlikuwa kimya??? Mbona hamukuwahi hata kutunga nyimbo za kuelezea uovu wa baadhi ya watanzania hasa wala rushwa bandarini? Leo hii inchi inanyooshwa mnaanza kuchonga, ni bora mpotee tu, wenzenu wana siasa ni wajanja, wanaponda usiku wanaenda kuomba msamaha.