Social Media Reactions as unknown people kidnaps ROMA-Mkatoliki

Labda alikuwa anarecord mziki wa kukashfu jitihada za serikali kuleta maendeleo na kuinyoosha nchi wakamuwahi ili asipandikize fikra potofu kwa raia wema!!!!
 
aisee usalama upo mashakani siku hizi...mitutu imezidi hii nchi
 
Sio jambo la busara kuwakamata watu halafu hamtoi taarifa kwa ndugu zao ili wajue walipo. Mtindo huu ukiendelea kama ni serikali inafanya hivyo, itakuwa inatoa mwanya kwa wahalifu kuteka watu wakijifanya kuwa wao ni askari kumbe majambazi!! Hata kama mmeamua kumuweka mtu detention basi angalau mpelekeni mahakamani au vipi kama hamtaki kumpeleka mahakamani basi muwaeleze ndugu zao kuwa mnawashikiria kwa makosa mtakayoyainisha!! Hivyo ndivyo inavyokuwa katika jamii iliyostaarabika!
 
Ccm mbele kwa mbele haaa wasaniii weng walijifny kuipigia debe ccm 2015 sasa hya ni matokeo yke na bdo
 
Sasa jaman kama sim inapatikana mbona swala ni rahisi sana si wa search sim yake iko wap ili apatikane alipo hata haihitaji complication
 
Mpenda kiki keshapata pa kusemea,ina maana ugomvi wake na makonda anataka na we ngine wamgomee wasifanye mambo yao kisa roma aisee.


Haya wolper nae katoa ya moyoni
 
Wanao lelewa WAPO ETI wapo, chezea kulelewa wewe lazima ujitoe fahamu ili uende sawa na mfugaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…