Social Media Reactions as unknown people kidnaps ROMA-Mkatoliki

le big tumboz wakati le akili ndogoz umri above 50 lakini anajifanya mtoto. akifanya mchezo hata watoto wake aliowatelekeza US watakuja kumzidi akili. kuzaa mtoto wa nje halafu akawa hasara kama huyu aisei ni mzigo mzito. hajaridhi akili hata chembe toka kwa legendari wa taifa letu.
 
Hon Le mutuz amefanana na actor mmoja wa series ya HAWAII FIVE 0. Ukiwakuta wote kwa wakati mmoja unaweza ukahisi ni mapacha.
 
Kashaumbuliwa kuhusu comment za hapo nyuma twitter imemuumbua
 
Achaneni na hilo boya, Roma anafahamika kuliko yeye, waulize madogo, wa mama vibabu na watu wa rika zote, kitaani wanatambua Roma ni nani. Yeye ni kwa vijike vya kwenye mtandao. AIBUUU
 
Lemutuz alimkana majay .leo anadai hamjui roma..what is behind with lemutuz.si bora angekua anakaa kimya
 
Bwege hilo, linamjua bashite tu, zee zima kudoea na kujipendekeza na halina msimamo! Litakuwa linabokolewa
 
Mpaka sasa nimeamini Bashite anahusika kwenye hili jambo.
Utatoa ushahidi ukikamatwa au ndo miharo tu eti mnaonewa
Acha akili za kishabiki kuna vitu vya kishabiki[emoji61] [emoji61]
 
inaonekana una ufahamu mkubwa kuhusu hili na unahisi anatafuta sympathy ambayo sijui huyo Roma anaitafuta kwa malengo gani so long as si Politician au nmekuelewa vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…