chalabizo
Senior Member
- Feb 2, 2017
- 187
- 216
Hahahaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Keanu mzr vileee atambee
Mama Mtoto (mange Kimambi) ndo huwa anamuita hvyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Keanu mzr vileee atambee
Anawasikia atakuja kuwapa fwacts zake u nohahahaha anavoanzaga sasa, nimepokea txt nyingi sana, kama yeye ndio mwenyekiti wa usalama taifa au mkoa
le big tumboz wakati le akili ndogoz umri above 50 lakini anajifanya mtoto. akifanya mchezo hata watoto wake aliowatelekeza US watakuja kumzidi akili. kuzaa mtoto wa nje halafu akawa hasara kama huyu aisei ni mzigo mzito. hajaridhi akili hata chembe toka kwa legendari wa taifa letu.Katika pita pita zangu nimeona Uzi wa le mutuz amesema hawajui Roma na mwenzie aliyetekwa
Najaribu kufikiria ni kwel hawajui au Mzee wetu naye anazeeka vibaya kwa kuendekeza unafiki
Kaandika HIV
lemutuz_nation - LIVE HARD TALK:- Ok nimepata sms nyingi sana na comments pia kuhusu hawa Vijana Wawili ambao to be honest FACT IS SIWAFAHAMU KABISA ...ila nimetumiwa picha zao nyingi so nikaamua kutumia hii moja ....HOWEVER ...ninaomba kusema hivi sijui all the FACTS on them ila I promise nitazitafuta na NITASEMA SOMETHING BUT ONLY BASED ON FACTS ...kwa sasa sina FACTS ...sijui anything about them na so far sijaona FACTS zikisemwa on them zaidi ya speculations na hisia ..huwa ninaongea on FACTS so far sina .....so for this naomba tu tuheshimiane guys na muwe na siku njema sana! - le Mutuz Nation
![]()
Utatoa ushahidi ukikamatwa au ndo miharo tu eti mnaonewaMpaka sasa nimeamini Bashite anahusika kwenye hili jambo.
Katika pita pita zangu nimeona Uzi wa le mutuz amesema hawajui Roma na mwenzie aliyetekwa
Najaribu kufikiria ni kwel hawajui au Mzee wetu naye anazeeka vibaya kwa kuendekeza unafiki
Kaandika HIV
lemutuz_nation - LIVE HARD TALK:- Ok nimepata sms nyingi sana na comments pia kuhusu hawa Vijana Wawili ambao to be honest FACT IS SIWAFAHAMU KABISA ...ila nimetumiwa picha zao nyingi so nikaamua kutumia hii moja ....HOWEVER ...ninaomba kusema hivi sijui all the FACTS on them ila I promise nitazitafuta na NITASEMA SOMETHING BUT ONLY BASED ON FACTS ...kwa sasa sina FACTS ...sijui anything about them na so far sijaona FACTS zikisemwa on them zaidi ya speculations na hisia ..huwa ninaongea on FACTS so far sina .....so for this naomba tu tuheshimiane guys na muwe na siku njema sana! - le Mutuz Nation
![]()
inaonekana una ufahamu mkubwa kuhusu hili na unahisi anatafuta sympathy ambayo sijui huyo Roma anaitafuta kwa malengo gani so long as si Politician au nmekuelewa vibayaSijui baashite ndo nani. Ila ulimwengu una mengi sana. Hatujui maisha ya Roma anavyoyaendesha na hata nani anamdai au hamdai. Matendo yake naladhalika. Kutekwa ni jambo baya. Lakini tujue pia kama ni siasa. Ni Rahisi sana mtu kutumia mwanya huu kuwadaka wananchi majibu na maamuzi mbele kama nyie. So anacheka na ndo mnazidi kumfanya ajihamini au wajiamini. Kama maisha yangekuwa rahisi hivyo du Lisu asingekuwepo. Wala mbowe wala Seif nk. Hukumu mbele mtafanya Roma apotezwe mana kama ni majambazi basi mmeshawapa njia. Public sympathy ni mbaya sana kwenye jambo serious na linalohusu maisha ya watu. Tubakize maneno.
Utatoa ushahidi ukikamatwa au ndo miharo tu eti mnaonewa
Acha akili za kishabiki kuna vitu vya kishabiki[emoji61] [emoji61]
Kwa hiyo wanatakiwa wavae magwanda?2020 watakavonengua na tshirt za kijani kama sio wenyewe vile
Wavae magwanda ili iweje, si tunahitaji kusikia sera sio kunenguliwaKwa hiyo wanatakiwa wavae magwanda?