Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
- Thread starter
-
- #21
Unajitahidi sana kuonesha una akili, lakini kila sentensi unayoandika inakufanya uonekane mjinga zaidi. πNini maana ya akili ndogo?
Je ni mimi niliekujibu logically kwamba sie kila anae kudiss ana akili ndogo zaidi yako.
That so,
Je nini mimi mwenye low IQ au wewe ambaye unajibu kwa mihemuko kama uko period?
Mkuu tatizo utakuta kutokana na watu wa hovyo unakuwa exhausted the whole day kwasababu ya mpuuzi. Pia Kuna waungwana Wana reply nzuri na Kuna wadau aise mpaka matusi ana comment do you think this is right.Mtu kuwa mtoto au kuwa anaishi kwa dada sio sababu ya kuacha kujibu hoja yake .
Tujifunze namna ya kujibu hoja na sio kurukia personality ya mtu kama kigezo cha kudharau hoja yake.
Hapo tena unazidi ku-prove makamasi yako.Unajitahidi sana kuonesha una akili, lakini kila sentensi unayoandika inakufanya uonekane mjinga zaidi. π
Kwa akili yako, ukiona mtu hatumii matusi wala hasira, basi yuko kwenye βperiodβ? Hivi ndivyo unavyojifariji ukiwa huna hoja?
Kama kweli una akili kubwa kuliko unavyodai ungeweza kutoa hoja bila kutumia matusi na dharau za kiwango cha watoto wa form 3. Lakini kwa sasa, endelea kupambana na kutype labda siku moja utapata ushindi online unaoutafuta kwa bidii.
Mbona kuna watu humu wana umri sawa na samia na kikwete au wasirra lakini akili zao ni sawa na hao ccmMitaa ya IG, Twitter (X), JF, na kwingine ni kama jungle ukikosa Emotional Quotient (EQ) ya kutosha, unaweza kuingia kwenye mabishano makali, ukijitoa ufahamu, kumbe mwenzako ni mwanafunzi wa kidato cha tatu! au mwingine kavurugwa/low IQ.
Wengine ni vichalii vinavyoishi kwa waume za dada zao, lakini wakishika simu, wanakuwa mabosi wa mitandaoni.
Hii mitaa inakuhitaji uwe mbunifu, ujue tofauti ya mabishano ya maana na kelele za watoto wa shule na watu wenye IQ ndogo. Usijichoshe bure ujanja ni akili, si hasira!
Hakuna mtu wa ovyo.Mkuu tatizo utakuta kutokana na watu wa hovyo unakuwa exhausted the whole day kwasababu ya mpuuzi. Pia Kuna waungwana Wana reply nzuri na Kuna wadau aise mpaka matusi ana comment do you think this is right.
Aise that High EQ mkuu.Mim ndo maana mtu akinitusi kwenye comment yangu Huwa sirudishi tusi haraka haraka nakua nimeshaisoma akili yake
Omba msaada wa msongo wa mawazo weweAise that High EQ mkuu.
Huwa nasema wadau wanaotumia matusi possibly Wana low IQ level mtu aliyepo vizuri hapo kichwani hawezi kutoa matusi on public atatumia busara na kama ni debate basi he will reply in a polite way
Mitaa ya IG, Twitter (X), JF, na kwingine ni kama jungle ukikosa Emotional Quotient (EQ) ya kutosha, unaweza kuingia kwenye mabishano makali, ukijitoa ufahamu, kumbe mwenzako ni mwanafunzi wa kidato cha tatu! au mwingine kavurugwa/low IQ.
Wengine ni vichalii vinavyoishi kwa waume za dada zao, lakini wakishika simu, wanakuwa mabosi wa mitandaoni.
Hii mitaa inakuhitaji uwe mbunifu, ujue tofauti ya mabishano ya maana na kelele za watoto wa shule na watu wenye IQ ndogo. Usijichoshe bure ujanja ni akili, si hasira!
Kumbe nimekugusa moyo kiasi hiki mpk unaanza kuniimbia taarabu? ππHakuna mtu wa ovyo.
Ni ww tu una stress sasa umekuja kuimba taarabu humu ili uwapashe watu.ππ
Si umeona sasaKumbe nimekugusa moyo kiasi hiki mpk unaanza kuniimbia taarabu? ππ
Inaonekana umepigwa na mistari mpaka sasa unajaribu kujifariji kwa vichekesho visivyo na mashiko. Lakini sawa, endelea labda kwa kuandika ujinga mwingi utajisahaulisha maisha yako halisi.
Kwa sasa, chukua maji, pumua, na tafakari kwann unapambna na mtu usiyemjua huku maisha yako yakisonga mbele bila maendeleo yoyote? π€·π½ββοΈ
Aisee, nimegundua tatizo lako unadhani kelele nyingi ni akili! ππOmba msaada wa msongo wa mawazo wewe
Ukiingia katika mabunge ya nchi kuu duniani unaona jinsi wanavyobishana kama watoto.
Ila mwisho wa siku wanakuja na solution.
Ila wewe na jua kali hili loote unasema una akili kuzidi watu woteπππππ
ππ Wewe ni kama mtu aliyeshindwa mchezo halafu anadai refa kamuonea.Si umeona sasa
Yani wewe ni taarabu kwa maana watu wenye HIGH IQ hawezi bishana na mimi muda mrefu hivi π na pia mwenye high IQ angenielewa ila wewe ni taarabu tu.
Sasa ku-prove kuwa wewe ni taarabu na hauna uwezo mkubwa wowote wa kiakili utanijibu hii comment kwa mipasho.
π
Ndio mkuu nakubaliana na wewe lakini tunaongelea mtu ana comment matusi humu kwenye hoja za maana every well written content kwake hata kama Ina maana inatafutiwa kasoro ikosolewe sasa mkuu this is reasoning or stupidity thinkingIQ ni kipimo tu, kina mapungufu yake, na kinnaweza kufanya makosa.
Kama mtu hakubaliani na wewe, haimaanishi hana akili,
Msikilize jinsi anavyotetea hoja yake.
Pia umri au uchumi wa mtu sio vigezo vya kumbagua kwenye kila mada.
IQ ni kipimo tu, kina mapungufu yake, na kinnaweza kufanya makosa.
Kama mtu hakubaliani na wewe, haimaanishi hana akili,
Msikilize jinsi anavyotetea hoja yake.
Pia umri au uchumi wa mtu sio vigezo vya kumbagua kwenye kila mada.
Bro, mbona maandiko yako yanaonesha na wewe ni low IQ?!..Kwa hiyo, kwa akili yako ndogo, mtu anayekataa kupoteza muda kubishana na watu wasio na mchango wowote kwenye maisha yake ni 'sweet baby'? π
Basi wewe unakazana kujiona mjuaji huku maisha yako yako pale pale, ukiwa na muda wa kuandika ujinga mtandaoni badala ya kujitafutia maendeleo. Sasa niambie, huu ujinga unaoandika hapa unakulipa nini? Au ndio zile kelele za form 3 wakijiona wana akili kuliko wote?
Ni kweli mkuu abuse hasa humu this shows low IQ Kuna thread yangu moja jamaa katokea anatukan matusi makubwa kweli but si kuwa na muda wa kujibizana nae nilirealize ni low IQWale wote wanaotukana ni low IQ. Mwenye Iq kubwa anatukana kifalsafa.
Spot onAt what logical extent do u propose yourself to be of high intelligence than anyone who oppose, diss or disagrees with u.
Then,
This proves that u are a highly emotional sweet baby who is afraid of being criticised.
Kama JF hauiwezi, angalia porno siku nzima.
Hakika mkuuSpot on