Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
kuna wilaya moja usukumani huku nilikuwepo last week nikawa natafuta fanta passion take away nilikosa maduka yote ya wilayani paleSoda mpaka tugombee na kupigana vikumbo, fanta orange ndo kabisaaaaa
kuna wilaya moja usukumani huku nilikuwepo last week nikawa natafuta fanta passion take away nilikosa maduka yote ya wilayani pale
Uha auMnywe maji kwani soda ndo uha au
Na ndio lengo kuu la hii threadNimewaza kipumbavu hapa baada ya kuiwaza chupa ya mirinda nyeusi na fanta 😂😂
Chupa zote za soda, bia, konyagi na K Vant hutengenezwa Kioo Ltd chupa zipo kibao.kuna uhaba wa chupa...
DuhSiyo soda tuu Bali na maji ya kunywa,
Mirinda je?Soda mpaka tugombee na kupigana vikumbo, fanta orange ndo kabisaaaaa