Soda zimeisha mtaani!

Soda zimeisha mtaani!

Nimezunguka kwenye depots zaidi ya tatu nimekosa kabisa soda kwa ajili ya biashara.

Wenye depots hata wao hawajui adimiko la soda linatokana na nini, licha ya kwamba viwanda viko mkoa huu huu.

Kwa siku za karibuni tumeona mahisimu wa mama wakitoa kelele mbalimbali ili tu mama aonekane ameshindwa kusongesha jahazi.

Mahasimu hao wasije fanya hiana na michezo michafu kama ilivyoeahi kutokea awamu ya tano wafanyabiashara walipoficha sukari
 
Nimewaza kipumbavu hapa baada ya kuiwaza chupa ya mirinda nyeusi na fanta 😂😂
 
Soda mpaka tugombee na kupigana vikumbo, fanta orange ndo kabisaaaaa
kuna wilaya moja usukumani huku nilikuwepo last week nikawa natafuta fanta passion take away nilikosa maduka yote ya wilayani pale
 
kuna wilaya moja usukumani huku nilikuwepo last week nikawa natafuta fanta passion take away nilikosa maduka yote ya wilayani pale

Yaani ni balaa[emoji28][emoji28] soda zikishushwa mnaanza kugombea aah maji yenyewe uhai yameadimika, afya naomyo adimu
 
kuna uhaba wa chupa...
Chupa zote za soda, bia, konyagi na K Vant hutengenezwa Kioo Ltd chupa zipo kibao.
Kwanza soda huuziwi kama huna chupa, iweje ziadimike?
 
Viwanda havifanyi kazi vizur tatizo ni Umeme sio wa uhakika na ukataji uliopitiliza huku hata ratiba hawatoi hivyo imepelekea kuleta hasara kwenye viwanda hivyo
Na sio Dar tu pia nje ya Dar bado soda adimu ila Sababu ya msingi ndio hiyo Mengine ni uzushi tu
 
Back
Top Bottom