Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawapongeza sana na ni hatari sana pia, deliberate scarcity kuondokana na stock kubwa ambayo haijatembea muda mrefu sana, uchumi unashida, stoppage in production bcoz of extended low purchases kila mtu apambane na hali yakeKama kuna anaefahamu au yupo viwandani , ni kwanini soda zimekuwa adimu toka December mpaka sasa hata maji tu pia yamekuwa hayapatikani mara kwa mara?
NB kama huu uzi haukuhusu kaa pembeni tusivurugiane siku pls, nina maana yangu kuuliza hapa
Shortage supply n.a. excess demand, muhimu kujua how have they been performing before festival season? A lot to desired here for clarity it's no normal how the market has showcased really.Sikuukuu watu wamezinywa sana kuzidi uwezo wa agents na suppliers kumeet supply demands... Soda kama mirinda nyeusi zimekua adimu...ila kwakuo leo biashara nyingi zimerudi hewani tutegemee mambo kukaa sawa.
Upo dar ipi ww? Acha uongo nenda madukan utaambiwa.. wanaouza jumla peps wanapata kila baada hata ya siku 5 tena kwa kuweka order, haya sasa soda kampun ya coca za chupa hazipo zote karibu wiki ya pili sasa.Mkuu, upo mkoa gani?
Dar soda zote Pespi na Caca Cola zipo 24/7.
Maji pia yote yapo, brands zote.
Dar hakuna soda mkuu peps ndo zipo ila na zenyewe hazopatikani kila sikuSehemu gani labda kwanza ulipo kwenye uhaba wa soda
Kabla ya sikukuu soda zilikua adimu kiufupi kuanzia December soda zilikua adimu zinapatikana mara moja moja tu labda wale waliochukua mzigo mkubwa sanaSikuukuu watu wamezinywa sana kuzidi uwezo wa agents na suppliers kumeet supply demands... Soda kama mirinda nyeusi zimekua adimu...ila kwakua leo biashara nyingi zimerudi hewani tutegemee mambo kukaa sawa.
Bandari ya Dar es Salaam imezidiwa na hivyo kufanya "clearance" ya "industrial sugar" kuchelewa. Kwahiyo makampuni yote ya vinywaji baridi yamepungukiwa sukari na hilo limehathiri uzalishaji wao and equally usambazaji.Shortage supply n.a. excess demand, muhimu kujua how have they been performing before festival season? A lot to desired here for clarity it's no normal how the market has showcased really.
Aisee ni kweli mkuu, me nilienda duka moja la vinywaji vya jumla siku ya Christmas ili niwachukulie watoto crate moja ya soda, ila soda aina ya fanta hazikuwepo kabisa nikabahatisha coca, sprite na sparleta na zenyewe ndiyo zilikuwa zinaishia. Nikawauliza pale wakaniambia soda zimekuwa adimu hata wao hawaelewi kwa nnKabla ya sikukuu soda zilikua adimu kiufupi kuanzia December soda zilikua adimu zinapatikana mara moja moja tu labda wale waliochukua mzigo mkubwa sana
That means profit marking ya hii high season ya festival itapunguza stability ya resilience nyakati za masika, viwanda vitakuwa na vibarua wengi huku wa mikataba wakipungua.Bandari ya Dar es Salaam imezidiwa na hivyo kufanya "clearance" ya "industrial sugar" kuchelewa. Kwahiyo makampuni yote ya vinywaji baridi yamepungukiwa sukari na hilo limehathiri uzalishaji wao and equally uand sambazaji.
Kufa kufaana mo sayona azam matwist vimepata sanaAisee ni kweli mkuu, me nilienda duka moja la vinywaji vya jumla siku ya Christmas ili niwachukulie watoto crate moja ya soda, ila soda aina ya fanta hazikuwepo kabisa nikabahatisha coca, sprite na sparleta na zenyewe ndiyo zilikuwa zinaishia. Nikawauliza pale wakaniambia soda zimekuwa adimu hata wao hawaelewi kwa nn
hizi laws huwa hazidanganyi.. changing of Supply inaenda ku affect price huku demand ikiwa ipo pale paleKasome laws of demand and supply
Tegema bei kupandishwa