Soda zimeisha mtaani!

Soda zimeisha mtaani!

Kama kuna anaefahamu au yupo viwandani , ni kwanini soda zimekuwa adimu toka December mpaka sasa hata maji tu pia yamekuwa hayapatikani mara kwa mara?

NB kama huu uzi haukuhusu kaa pembeni tusivurugiane siku pls, nina maana yangu kuuliza hapa
 
Mkuu, upo mkoa gani?

Dar soda zote Pespi na Caca Cola zipo 24/7.

Maji pia yote yapo, brands zote.
 
Sikuukuu watu wamezinywa sana kuzidi uwezo wa agents na suppliers kumeet supply demands... Soda kama mirinda nyeusi zimekua adimu...ila kwakua leo biashara nyingi zimerudi hewani tutegemee mambo kukaa sawa.
 
Nawapongeza sana na ni hatari sana pia, deliberate scarcity kuondokana na stock kubwa ambayo haijatembea muda mrefu sana, uchumi unashida, stoppage in production bcoz of extended low purchases kila mtu apambane na hali yake
 
Sikuukuu watu wamezinywa sana kuzidi uwezo wa agents na suppliers kumeet supply demands... Soda kama mirinda nyeusi zimekua adimu...ila kwakuo leo biashara nyingi zimerudi hewani tutegemee mambo kukaa sawa.
Shortage supply n.a. excess demand, muhimu kujua how have they been performing before festival season? A lot to desired here for clarity it's no normal how the market has showcased really.
 
Mkuu, upo mkoa gani?

Dar soda zote Pespi na Caca Cola zipo 24/7.

Maji pia yote yapo, brands zote.
Upo dar ipi ww? Acha uongo nenda madukan utaambiwa.. wanaouza jumla peps wanapata kila baada hata ya siku 5 tena kwa kuweka order, haya sasa soda kampun ya coca za chupa hazipo zote karibu wiki ya pili sasa.
 
Sikuukuu watu wamezinywa sana kuzidi uwezo wa agents na suppliers kumeet supply demands... Soda kama mirinda nyeusi zimekua adimu...ila kwakua leo biashara nyingi zimerudi hewani tutegemee mambo kukaa sawa.
Kabla ya sikukuu soda zilikua adimu kiufupi kuanzia December soda zilikua adimu zinapatikana mara moja moja tu labda wale waliochukua mzigo mkubwa sana
 
Shortage supply n.a. excess demand, muhimu kujua how have they been performing before festival season? A lot to desired here for clarity it's no normal how the market has showcased really.
Bandari ya Dar es Salaam imezidiwa na hivyo kufanya "clearance" ya "industrial sugar" kuchelewa. Kwahiyo makampuni yote ya vinywaji baridi yamepungukiwa sukari na hilo limehathiri uzalishaji wao and equally usambazaji.
 
Kabla ya sikukuu soda zilikua adimu kiufupi kuanzia December soda zilikua adimu zinapatikana mara moja moja tu labda wale waliochukua mzigo mkubwa sana
Aisee ni kweli mkuu, me nilienda duka moja la vinywaji vya jumla siku ya Christmas ili niwachukulie watoto crate moja ya soda, ila soda aina ya fanta hazikuwepo kabisa nikabahatisha coca, sprite na sparleta na zenyewe ndiyo zilikuwa zinaishia. Nikawauliza pale wakaniambia soda zimekuwa adimu hata wao hawaelewi kwa nn
 
Bandari ya Dar es Salaam imezidiwa na hivyo kufanya "clearance" ya "industrial sugar" kuchelewa. Kwahiyo makampuni yote ya vinywaji baridi yamepungukiwa sukari na hilo limehathiri uzalishaji wao and equally uand sambazaji.
That means profit marking ya hii high season ya festival itapunguza stability ya resilience nyakati za masika, viwanda vitakuwa na vibarua wengi huku wa mikataba wakipungua.
 
Aisee ni kweli mkuu, me nilienda duka moja la vinywaji vya jumla siku ya Christmas ili niwachukulie watoto crate moja ya soda, ila soda aina ya fanta hazikuwepo kabisa nikabahatisha coca, sprite na sparleta na zenyewe ndiyo zilikuwa zinaishia. Nikawauliza pale wakaniambia soda zimekuwa adimu hata wao hawaelewi kwa nn
Kufa kufaana mo sayona azam matwist vimepata sana
 
Hiyo itakuwa laana ya ukame wa soda...wale wadada walipokuwa wanaelekea panatosha🐒
 
Heri ziadimike tu. Wenzenu wanazalisha chakula nyie mnazisokomeza huko unafikiri wenyewe wamefurahia? Wabongo bure kabisa!
 
Back
Top Bottom