Jiji linapata Sana hela kupitia kwa wafanyabiashara, utalii, madini lakini miundombinu ni mibovu hakuna mfano wakeWell said! Arusha imetengwa sana kwenye maendeleo hasa miundo mbinu. Imagine mkoa wenye vitega uchumi vya kutosha halafu miundo mbinu ni yaajabu kabisa. Bus station za Arusha zinasikitisha. Inabidi serikali ikumbuke Arusha katika hili, irudishe fadhila
Jiji linapata Sana hela kupitia kwa wafanyabiashara, utalii, madini lakini miundombinu ni mibovuWell said! Arusha imetengwa sana kwenye maendeleo hasa miundo mbinu. Imagine mkoa wenye vitega uchumi vya kutosha halafu miundo mbinu ni yaajabu kabisa. Bus station za Arusha zinasikitisha. Inabidi serikali ikumbuke Arusha katika hili, irudishe fadhila
Ni wavivu hao zile hotel ni wachache wanapata pesa ukabila uko mbele bado hawajastaarabikaHuwa wanasema wao hawategemei serikali ya ccm kuwaletea maendeleo
Hili soko ni la muda mrefu tena tangu baada ya uhuru, na lipo katikati ya jiji mita chache tu toka ilipo stand kubwa ya mabasi, lakini haliendani kabisa na sura ya jiji.
Muundo wa soko ni wa kizamani kuanzia nje hadi ndani ambapo vizimba ni vidogo vidogo na wafanyabiashara wengine wamejijengea wanavyojuwa wenyewe ndani ya Soko hilo.
Jiji la Arusha limekuwa likikusanya mapato miaka yote lakini hakuna uboreshaji au upanuzi wa soko hilo kuwa la kisasa ili liweze endana na hadhi ya jiji.
Soko hili limekuwa kikitembelewa na watalii na hata kununua bidhaa humo sokoni.
Jiji kama Dar es Salaam masoko yake yanaendana sana na hadhi ya jiji hilo mfano wa soko kuu kisutu, soko la kariakoo, Machinga complex.
Masoko karibia yote Arusha yapo katika Muundo wa vibanda vibanda na sio muundo wa jengo la soko
Ni vizuri halmashauri ya jiji la Arusha kwa kutumia mapato yake ya ndani kufanya ujenzi wa soko kubwa na wenye hadhi unaoendana na jiji hili la kitalii na sio kusubiri kuambiwa toka juu .
mpangilio wa soko kuu kwa ndani
View attachment 2069594
View attachment 2069617
Wanarithishana ujinga vizazi vyao eti wachapa kaziHuwa wanasema wao hawategemei serikali ya ccm kuwaletea maendeleo
Mbona sisi wenyewe tupo peace sana na Arusha yetu. Mmesikia tukipiga kelele kuwa tunashida na Soko jingine au Stand, au kama ni Hiace ndogo kwani zinashida gani. HEBU MTUACHE NA CHUGA YETU, Wooooi!!Jiji linapata Sana hela kupitia kwa wafanyabiashara, utalii, madini lakini miundombinu ni mibovu hakuna
Ila wao ndo wa kwanza kusoma na kuelimika ama elimu haijawasaidia.ujue mareale alipishana na jk nyerere. Huyu mjanja msomi alimtangulia new York Ila yeye alienda kuomba Uhuru wa kaskazini sema huyu ambaye hakusoma alienda kuomba Uhuru wa tanganyika na hao hao ndo wanaojidai kuwa walimchangia nauli.Ni wavivu hao zile hotel ni wachache wanapata pesa ukabila uko mbele bado hawajastaarabika
jiji manake sio miundombinu mkuu ingekua hivyo morogoro ingeshalikua jiji siku nyingi... Arusha imetengwa sana na serikali kwa upande wa huduma za kijamii lakini haizuii ukweli Arusha ndio mji uliochangamka nyuma ya darHuo mkoa unahitaji nusra ya Mungu. Masoko yote mawili (Soko kuu na soko la kilombero) ni aibu tupu. Hiyo bus stand ndio usiseme. Mji unakuwa, lakini miundo mbinu ipo vilevile. Usiende Sheikh Amri Abeid, ndio kabisa. Nadhani tangu enzi za kocha Mwamwaja (Meneja wa Uwanja zamani) uwanja haujafanyiwa ukarabati wowote. Arusha bado ni manispaa.
Mkuu, labda hiyo ni definition ya kibongobongo. Lakini, tofauti kubwa ya Manispaa na jiji ni Miundo mbinu. Babati haiwezi kufananishwa na Arusha kwa sababu ya miundo mbinu.jiji manake sio miundombinu mkuu ingekua hivyo morogoro ingeshalikua jiji siku nyingi... Arusha imetengwa sana na serikali kwa upande wa huduma za kijamii lakini haizuii ukweli Arusha ndio mji uliochangamka nyuma ya dar
Kwa hiyo Arusha ilipewa hadhi ya jiji kwa miundombinu gani iliyokua nayo kipindi kile??Mkuu, labda hiyo ni definition ya kibongobongo. Lakini, tofauti kubwa ya Manispaa na jiji ni Miundo mbinu. Babati haiwezi kufananishwa na Arusha kwa sababu ya miundo mbinu.
Nakubaliana na wewe kwamba Arusha ilitengwa kwa sababu za kisiasa, lakini hata pale ambapo mkoa ulikuwa na viongozi wa CCM (mfano marehemu Mrema) hakuna cha maana kilichofanyika.
Sasa hivi jiji lipo chini ya CCM, ngoja tuone kama kutakuwa na mabadiliko yoyote.
Kama tungekua na utawala wa kujitegemea Arusha kungekua na lami hadi kwenye vichochoro lakini makusanyo yote yanaenda serikali kuuMkuu, labda hiyo ni definition ya kibongobongo. Lakini, tofauti kubwa ya Manispaa na jiji ni Miundo mbinu. Babati haiwezi kufananishwa na Arusha kwa sababu ya miundo mbinu.
Nakubaliana na wewe kwamba Arusha ilitengwa kwa sababu za kisiasa, lakini hata pale ambapo mkoa ulikuwa na viongozi wa CCM (mfano marehemu Mrema) hakuna cha maana kilichofanyika.
Sasa hivi jiji lipo chini ya CCM, ngoja tuone kama kutakuwa na mabadiliko yoyote.
Well SaidMasoko ya Magomeni, Kisutu, Chato,Lushoto, Morogoro na sasa Kariakoo nk yamejengwa na wenyeji au kodi.za nchi nzima?
Mwendakuzimu hakuleta mradi wote mkubwa Arusha kwa sababu alizozijua mwenyewe
HakikaArusha ni overrated sababu ya madini na Utalii ila miundombinu wapo nyuma naweza sema wanaachwa hata na Morogoro
Check daladala zao utachoka
Nyie si mnapesa wachapa kazi kuliko race yoyote hapa Tanzania, jengeni soko lenu na stendi yenu.Siasa za CCM za ajabu sana. Hii nchi haiwezi kuja kuendelea kwa namna hii. Eti kaskazini ni ngome ya upinzani kwahiyo imetengwa.
Hasa kipindi kile cha mwendakuzimu ndio kabisa hata yeye kukanyaga kaskazini alikuwa hataki kusikia.
Kumbe unafahamu Arusha hakuna kitu lkn huwa unajifanya hujui.Kama tungekua na utawala wa kujitegemea Arusha kungekua na lami hadi kwenye vichochoro lakini makusanyo yote yanaenda serikali kuu
Na hasa kwa vile serikali inautambua Arusha kama mji wa tatu nyuma ya Dar na Mwanza tulitegemea serikali kuu iboreshe japo masoko hasa baada ya tra kuingilia asilimia kubwa ya mapato ya halmashauri hivi sasa halmashauri hazina pesa hadi mabango ya matangazo yanakusanywa na tra...ni aibu Arusha taa za barabarani tunashindwa hadi na monduli, masoko mabovu stendi ya daladala ni aibu tupu stendi kubwa hata korogwe wanatupita
Ukweli usipingika Arusha ilinyimwa pesa ya maendeleo kwa makusudi na miradi mikubwa yote iliyopo ilisainiwa enzi za jk kama wa maji, tengeru sakina na tscp ambayo ndio imefanya Arusha kidogo kuwa na barabara za hadhi otherwise Arusha tumesuswa kwa mda sana