Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Honestly speaking SSH anapwaya sana. Angejikita kwanza kusoma systems zilivyo badala ya kuzurura na matamko yasiyokuwa na tija.Akiendelea kulegeza mwendo watafanya yao. Kanuni ya Sasa ni punda afe mzigo ufike.
Ni mimi chalii yangu mods wa kaufuta faster. Niliweka wazi ninaota kwaiyo msichukulie serious.Mi binafsi kuna mdau alileta uzi umu nafikiri ni majuzi kwamba moto unawaka kariakoo kitu ambacho akikua kweli,baada ya muda ule uzi ukafutwa
Swali ni sisi kujiuliza yule mtoa uzi alikua na lengo lipi au aliwasha moto ikashindika iyo juzi? Leo hii ndio umefanikiwa ? Au unabii wa jf najiuliza apa sipati jibu?
Unatumia kipimo gani kuona RAIS ANAFIT AU KUPWAYA? MOTO NI AJALI KAMA KUZAMA KWA MELI. Acha chuki za kisenge wewe.Honestly speaking SSH anapwaya sana. Angejikita kwanza kusoma systems zilivyo badala ya kuzurura na matamko yasiyokuwa na tija.
Time travellerMi binafsi kuna mdau alileta uzi umu nafikiri ni majuzi kwamba moto unawaka kariakoo kitu ambacho akikua kweli,baada ya muda ule uzi ukafutwa
Swali ni sisi kujiuliza yule mtoa uzi alikua na lengo lipi au aliwasha moto ikashindika iyo juzi? Leo hii ndio umefanikiwa ? Au unabii wa jf najiuliza apa sipati jibu?
Yaani hiki kizazi... Mtu huwezi kujenga hoja hadi utukane..??Unatumia kipimo gani kuona RAIS ANAFIT AU KUPWAYA? MOTO NI AJALI KAMA KUZAMA KWA MELI. Acha chuki za kisenge wewe.
Hapo ndo huwa nachoka, kuwapa fire kila hitaji hawawezi ila kila DC na RC ana V8 yake daaah nchi yan
Kangi alitaka wanunue drones wakamuona hana maana.The way moto ulikoanzia kuwaka lazima uwashinde..! Moto umeanza kuwaka juu aisee mpaka ushafika chini alafu kumbe tangia saa 12
Umenipa fundisho acha jumatatu nidili na tanesco maana huu msimu unaonekana wa majanga ya motoMtaani Kwetu umeme uliwahi kuunguza vitu vya ndani vingi sana.
Majirani zetu wakasema tuandikie barua tuombe fidia TANESCO!!
Binafsi mimi nilikataa kwa kuwa sijawahi kusikia TANESCO wamewahi kulipa fidia mahali popote zaidi ya ujanja ujanja tu.
Wenzetu waliandika .TANESCO walipofika wakaanza kuwauliza waharingi nani alifanya? Wakati waharingi inafanywa nyumbani yako ilikuwa na matumizi fulani tu ya vifaa vya umeme. Je ulipoongeza vifaa vingine uliomba ruhusa ya kufanya hivyo ili TANESCO wakufungie wayaring kutokana na ukubwa wa matumizi yako ya umeme? Nyumba yako mara kwa mara huwa unawaita mafundi wa TANESCO kuja kukagua mfumo mzima wa waharingi?
ni.k.Hapo kuna kulipana fidia kweli?
Waharingi ndio mnyama ganiMtaani Kwetu umeme uliwahi kuunguza vitu vya ndani vingi sana.
Majirani zetu wakasema tuandikie barua tuombe fidia TANESCO!!
Binafsi mimi nilikataa kwa kuwa sijawahi kusikia TANESCO wamewahi kulipa fidia mahali popote zaidi ya ujanja ujanja tu.
Wenzetu waliandika .TANESCO walipofika wakaanza kuwauliza waharingi nani alifanya? Wakati waharingi inafanywa nyumbani yako ilikuwa na matumizi fulani tu ya vifaa vya umeme. Je ulipoongeza vifaa vingine uliomba ruhusa ya kufanya hivyo ili TANESCO wakufungie wayaring kutokana na ukubwa wa matumizi yako ya umeme? Nyumba yako mara kwa mara huwa unawaita mafundi wa TANESCO kuja kukagua mfumo mzima wa waharingi?
ni.k.Hapo kuna kulipana fidia kweli?
[emoji1787]Waharingi ndio mnyama gani
Tuanze na aliyefuta uziMi binafsi kuna mdau alileta uzi umu nafikiri ni majuzi kwamba moto unawaka kariakoo kitu ambacho akikua kweli,baada ya muda ule uzi ukafutwa
Swali ni sisi kujiuliza yule mtoa uzi alikua na lengo lipi au aliwasha moto ikashindika iyo juzi? Leo hii ndio umefanikiwa ? Au unabii wa jf najiuliza apa sipati jibu?
Tusianze kysingizia hili au lile tuviache vyombo vya usalama vifanye uchunguziView attachment 1848831
View attachment 1848927
View attachment 1848950
Soko Kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam linaungua moto usiku huu huku jitihada za kuuzima zikiendelea.
Akizungumza na Mwananchi kwa simu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amethibitisha tukio hilo.
Makalla ambaye yuko kwenye eneo la tukio, amesema; “Ni kweli soko linaungua na tuko hapa tunapambana kuuzima moto”
Amesema moto huo umeanza kuwaka Saa 3:30 na chanzo bado hakijajulikana.
“Moto umeanza kama nusu saa iliyopita, tupo kwenye eneo tunapambana kuuzima” amesema Makalla ambaye hakutaja chanzo cha moto huo.
Lugha gani hii unayoandika⁉️‼️Mi binafsi kuna mdau alileta uzi umu nafikiri ni majuzi kwamba moto unawaka kariakoo kitu ambacho akikua kweli,baada ya muda ule uzi ukafutwa
Swali ni sisi kujiuliza yule mtoa uzi alikua na lengo lipi au aliwasha moto ikashindika iyo juzi? Leo hii ndio umefanikiwa ? Au unabii wa jf najiuliza apa sipati jibu?
Ulitaka ajue chanzo⁉️‼️ambaye hakutaja chanzo cha moto huo.
Kwanini uwashinde⁉️‼️The way moto ulikoanzia kuwaka lazima uwashinde..! Moto umeanza kuwaka juu aisee mpaka ushafika chini alafu kumbe tangia saa 12
Huenda tunafukuza mwizi kimyakimyaTusianze kysingizia hili au lile tuviache vyombo vya usalama vifanye uchunguzi
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Nana kama ni kufukuza mwizi kimyakimyaKutoka fire mpaka Kariakoo sokoni ni dakika 5 tu, imekuaje imewachukua fire masaa yote hayo
Aliyekudanganya ni nani⁉️jengo wafanyabiashara wake wote wana mitaji midogo
Miaka yote fire bongo yanakujaga bila maji.