Ongezea na fire horse reel na fire hydrantPoleni sana wahanga wa moto kwa kupoteza Mali zenu.
Muhimu ni kuweka backup za CCTV cameras na fire alarm detectors kwenye majengo yote na maeneo yote ya public.
Chadema badala ya kudai magari ya Kuzima Moto
Wanadai haki ya kufanya mikutano ya kisiasa.
Mimi naita mitukano ya kisiasa maana hata hivyo huwa hakuna Cha maana kinachozungumzwa huko zaidi sana ya matusi Kwa mamlaka.
Gari la fire haliwezi kubeba maji yote ya kuzima huo moto, jengo lilipaswa kua na fire alarm detector, fire horse reel na fire hydrant ili maji yakiisha kwenye gari la fire wanatape tuu,Hivi fire wanapoitwa mahali kuzima Moto halafu wanakuja bila ya maji au maji kidogo huwa wanategemea kumiza Moto kwa style gani??
Na watu wafundishwe matumizi yake kikamilifu.Ongezea na fire horse reel na fire hydrant
Inaitwa fire hydrantKulikuwaga na sehemu kuliwekwa mabomba maalum ambayo fire walikuwa wanaunganisha
Mipira yao wapate maji wakati wa dharula
Hiyo miundo mboni yote tushaiuaaa
Ova
Makandarasi na Wenye jengo hawakwepi lawama. Watumiaji hawakwepi lawama. Fire hawakwepi lawama!Gari la fire haliwezi kubeba maji yote ya kuzima huo moto, jengo lilipaswa kua na fire alarm detector, fire horse reel na fire hydrant ili maji yakiisha kwenye gari la fire wanatape tuu,
Lawama nyingi kwa fire si sahihi
Siku moja utakua tuu mkuu usijali, ila ukimshamtumbua huyo mkuu wa jeshi la zimamoto usisahau kuwakumbusha hao wenye majengo kipindi cha ujenzi kuweka fire alarm system, fire horse reel na fire hydrant ili maji yakiisha kwenye gari la fire watape hapo,Hawana maji. Ningekuwa Rais wa nchi ningeanza kumtumbua Mkuu wa jeshi la zimamoto na viongozi wote wakubwa katika vituo vya zimamoto
Kwanini magari ya uokozi yakose maji??
Wao wanafanya nini? Au ndio kufanya kazi kwa mazoea
Hii nchi hii...HOVYO KWELI.
Ni kweli mkuu, unajua kabla ya kupata kibali cha ujenzi kwa hayo majengo makubwa fire lazima wapitie michoro lakini unaweza shangaa hakuna miundombinu ya majiMakandarasi na Wenye jengo hawakwepi lawama. Watumiaji hawakwepi lawama. Fire hawakwepi lawama!
Serikali badala ya kuwaza lisanamu waweke nguvu kuimarisha utendaji kazi wa fire na uokozi!
Unajua jengo limejengwa mwaka gani hilo? [emoji26]Makandarasi na Wenye jengo hawakwepi lawama. Watumiaji hawakwepi lawama. Fire hawakwepi lawama!
Serikali badala ya kuwaza lisanamu waweke nguvu kuimarisha utendaji kazi wa fire na uokozi!
Unaonekana upo karibu na tukio hizi habari zinazosambaa kuwa FaizaFoxy ameungua mgongo ni kweli?Kulikuwaga na sehemu kuliwekwa mabomba maalum ambayo fire walikuwa wanaunganisha
Mipira yao wapate maji wakati wa dharula
Hiyo miundo mboni yote tushaiuaaa
Ova
Unajua hujaelewa jambo. Kama magari yangeenda na maji wakajitahidi kuzima moto hapo kuna mantikiSiku moja utakua tuu mkuu usijali, ila ukimshamtumbua huyo mkuu wa jeshi la zimamoto usisahau kuwakumbusha hao wenye majengo kipindi cha ujenzi kuweka fire alarm system, fire horse reel na fire hydrant ili maji yakiisha kwenye gari la fire watape hapo,
Wasidahau kujenga tank la maji ili iwe rahisi ,
Rc Makonda tena boss? [emoji3]Watu mliopo eneo la tukio tunaomba feed back.
Je mkuu wa mkoa RC Makonda kafika?
Aache uhuni, hawezi hata kukimbia ndiyo aweze kupambana na moto!“Ni kweli soko linaungua na tuko hapa tunapambana kuuzima moto”