white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Sasa zipo hizo hydrants?na hata zikiwepo je zitakuwa na maji hayo muda wote?!!wewe kama kamishina wa jeshi la zima moto na uokoaji anakwambia jana walikuwa wanayafuata maji uwanja wa ndege kuna nini hapo kariakoo nzima hakuna sehemu ya kuchukulia maji!!yaani sehemu kama kariakoo/hizo ofisi zenyewe za fire zipo maeneo hayo hakuna sehemu ya kuchukulia maji,?si ajabu hata siku janga kama hili likitokea ikulu utaambiwa nako hakuna sehemu za kuchukulia maji!!kwani ckuwahi kufikiria kama sehemu kama kariakoo inaweza kuwa hakuna sehemu ya kuchukulia maji!!!Hydrants mijini kawaida zinaungwa kwenye mfumo wa kusambaza maji /main pipes
Hapanaunaweza kumkumbuka id yake?
Labda yule RC ameamua kuzima mjadala wa alichoropoka kule Magufuli TerminalChanzo cha Moto ni nini?
Labda yule RC ameamua kuzima mjadala wa alichoropoka kule Magufuli Terminal
Achunguzwe, π‘π―π¦ππ¬possibly amedivert mjadala wa stand, na ndiyo maana ameharakisha kuunda tume kujilindaKumbuka soko la Tunduma lilipoteketea kwa moto DC alikuwa Amos Makala, na sasa Kariakoo imeungua RC ni Makala π€·
Mjinga mama yako mzazi, kama nawewe unafanya kazi fire in Litaahira kama mataahira mengine.Acha ujinga wako.. ulikuwepo? We unadhani yale maji yanatumia dk ngapi kwisha kwa presha ile?
Wahuni wa maccm ba vipaumbele vya Taifa kama vya kupambana na majanga wapi na wapi Mkuu? Trillions za kununua V8 zipo billions za kuwajengea nyumba Marais wastaafu nyumba ambazo hawazihitaji zipo, lakini pesa ya kununua magari ya zimamoto HAKUNA!!!
Yaani inasikitisha sana sana!! Kwa tukio la jana serikali ndio ya kulaumiwa 100% ,wameshindwa kabisa kuwekeza kwenye kulinda raia na mali zao kwenye majanga ,imagine kutoka fire hadi k/koo kwa gari ni dakika 3 tu ushafika ,pia makao makuu ya fire hawana Hydrants za kujaza maji,halafu Fire nzima wana gari 6 tu!! INASIKITISHA SANA!! Diallo hakukosea ndio maana walimunua midege kwa matriolioni ya shiling ambayo yanaleta hasara wakashindwa kununua magari mengi ya fire kukabiliana na majanga ,ona wafanyabiashara wamepoteza mali.
Well saidNchi hii wazima moto hawapo , wapo wazima maandamano tu
Kama bajeti ni kikwazo basi waziri inabidi ajiuzulu tuDaaaah Sema wakuu nchi yetu wanaichukukilia FIRE kirahisi sana, nadhani hata bajeti yao huwa sio nzuri kabisa