Soko la Kariakoo lateketea kwa moto

Soko la Kariakoo lateketea kwa moto

Aaaaagh dadeq aiseee maumivu wadau imagine Mimi nikipoteza jero tu hua najisonya Sasa angalia Mali iliyoteketea mule ndani aiseee inauma Sana wakuu tatizo miundombinu ya pale imekaa ovyo Sana yaani makolo kolo yamezunguka soko Kila pande Kwa zimamoto ya bongo pale lazima wangefeli tu kuucontrol Moto maana hapana mpangilio mzuri

Pole Yao Sana ndugu zetu waliopotea Mali wakaze roho tu kiaina Haina namna
Daaaaaaa!
,😥😥😥😥😥
 
Rais Samia na Serikali yako Kamateni upesi Watu wote walipokuwa katika ile Bodi ya Soko la Kariakoo ambayo uliivunja kwani ndiyo Wahusika wakuu wa Tukio hili la Kimkakati katika Kukukomoa na Kukutingisha...
Yaah huo ni mkakati maalum kabisa na hao viongozi waliopigwa chini ndo waanze nao, hakuna mwingine
 
Nikiangalia nasikitika sana maana kona ile ndipo penye duka la pembejeo la swahiba yangu, sasa sijui watakompesente Yale madawa na mbegu zote.
 
Hawa kazi yao kusumbus tu wafanyabiashara kila kuchao kwa kuwadai certificate za fire ila kuzima bado labda liundwe jipya
 
Nikiangalia nasikitika sana maana kona ile ndipo penye duka la pembejeo la swahiba yangu, sasa sijui watakompesente Yale madawa na mbegu zote.

Nikiangalia nasikitika sana maana kona ile ndipo penye duka la pembejeo la swahiba yangu, sasa sijui watakompesente Yale madawa na mbegu zote.
Alikuwa ameikatia bima biashara yake?
 
Zimamoto magari ya kuzimia moto mabovu, maji hayana kabisa, kufanya mpaka muda huu saa 4 hakuna dalili ya kuzimika.

E0NhMwdXIAAW0HL (1).jpeg
 
Makamanda hawajai kuokoa kitu wala kuzibiti moto,huwa wanajisifia wamezuia moto usisambae maeneo ya mbali kumbe ni kwamba moto umezimika wenyewe baada ya kutafuna source zote za fuel.
 
Back
Top Bottom