Karibu kwa kujenga flyover? , kununua ndege ? au kuboresha miundombinu ? au kudhibiti rushwa? ni wapigaji tu ndo mnaompiga vita JPM , hamna hata huruma watu wanachomewa biashara zao ww unatuletea ushabiki maandaz , pumbaf kbsWw ndio umepotea KABISA na hamjitambui.. mnamsifia tu JPM kila siku.. si mkamfufue sasa?? Mtu aliharibu sana hii nchi na inaendelea kuharibika sababu yake..
Bro JPM alikosea nn , fungukaKwani JPM hakuwa CCM?
Wangeunguz ofisi yako ndo ungepata uchunguUlaumu uongozi wa soko
Walaumu wafanyabiashara hapo wanaokaa bila mfumo unaoeleweka
Watu wanashindwa kujipanga
Ova
Si hamtaki kuhama mnahamishwa kwa style
Ova
Yaan ushaniki wako unakuondolea huruma ua wenzio waliochomewa mitaji yao , subiri vinaka waongezeke mtaani hlf ndo uone Samia au ww shabiki maandazMkuu. Mimi natafakari sana...wafuasi wa JPM ambao mnaona alikuwa mfalme au muungu wa hapa duniani ndio Mna akili za ajabu sana. Hamuoni maovu yake na makosa yake. Lakini ndio watu walivyo.. na ndio maana wengine wnafanikiwa kwenye maisha na wengije HAWAFANIKIWI. Sababu ni mnakosa thinking capacity nzuri.. Endeleeni tu na fikra zenu izo
ebu tumia akili ww , soko usiku halina watu mbali na walinzi , je moto ulitokea wap? ishirikishe akili yako kidigo , nyumba kuungua ni jambo la kawaida sana sababu kuna vyanzo vya moto vingi ndani ya nyumbaNa nyumba za Watu zinazoungua huwa zinachomwa na serikali?
Hiko chanzo chako cha habari kimewai msifia kiongoz gani wa afrika?[emoji1782][emoji1782][emoji1782]View attachment 2083206View attachment 2083207
Hahaha..Makala akiwa mbeya moto kila siku masokoni.kaja dar masoko mawili tayari,watu wanaunga dot nakujiuliza why?,japo hakuna ushahidi kwamba makala anahusika
Walaumu uongozi wa soko hapoWangeunguz ofisi yako ndo ungepata uchungu
Tulipofikia sasa ,tatizo ni sisi wenyewe wananchi, kuna hatua inabidi tuchukue....Mumlaumu JPM kwa kumweka mama kuwa makamu wa rais na Rais Mtarajiwa. Kama mlimheshimu JPM.. Mheshimuni na Mama pia. Ni chaguo la kipenzi chenu JPM. Kaeni kimya kabisa sababu hapa tulipo ni MAKOSA YA JPM tokea awali.. kila kitu cha nchi hii KILICHOVURUGIKA NA KINACHOVURUGIKA NI SABABU YA JPM aka Mwendazake
wenzio kuchomewa moto unafurahia , Nyerere alisema watz hatujapevuka kuimudu siasa ya vyama vingiKiukweli.. hajamsaliti. Aliona nchi ilikuwa inapotea na ndio sasa anapambana kuirudisha kwa msitari. Tatizo teari gari lilishaingia kwa shimo KUBWA
Htr sanaWatoto wa mjini hawatumii risasi wala virungu wanakutoa barabarani mazima
Anamuwaza JPM huyoWapi nimeandika kuna Zama zimewapenda masikini? Unajiwekea tafsiri zako. Jibu mwenyewe.
Kuna walinz pale broMuda mwingine sio serikali. Eneo hilo linamateja wengi sana na vijana wanaotumia madawa. Unaweza kukuta wamegombana na mtu sokoni wakasema unajifanya mjanja unaringia vihela vya sokoni humo, subiri niwashe moto uone utajidaia wapi. Sio kila jambo tuingize siasa.
Mkuu kasha sema kamati mwendazake kamati alizikataaHii trend ya kuunguza masoko bado haijaisha tu?
Naambiwa soko la Karume limeungua lote na hakuna kilichobaki.
Hivi karibuni kumeibuka mtindo wa kuunguza masoko ya machinga maeneo mbali mbali nchini ikiwa na lengo moja la kuwaondoa machinga.
Najiuliza, mbona karume watu walikua tayari organized, shida ni nini? Mnalazimisha watu wakapange kwenye vizimba machinga complex ambavyo tayari mlishajimilikisha ili mpate pesa ya kula.
TBL fire brigade walijaribu kutaka kuzima moto kwani uko karibu na depot yao wakakatazwa, kwamba waangalie moto usivuke kwenda kwenye depot yao na kwa wananchi ila mengine hayawahusu.
Ipo siku hawa mnaowaonea itafika siku watachoka.
View attachment 2083158
Lzm tukosoeKutupia kila lawama kuwa ni kwa sababu ya ccm kuwa madarakani sidhani kama ni sahihi kwa sababu kwa sababu hata kikija chama kingine kutawala haina maana hakitafanya makosa, kwa hivyo kama yanatokea makosa na hatuna cha kufanya zaidi ya kufikiria kukiondoa chama tawala madarakani basi hilo ni tatizo kubwa maana hakutakuja kutokea chama ambacho kitakuwa ni kikamilifu.
Mzee..umeambiwa kula kwa urefu wa kamba yako mkuu.....a statement fromDuh kila Zama na kitabu Chake! Zama hizi ni kuwakomesha masikini.
We jamaa kiazi sana aiseee.... halafu unajifanya mjuaji sana..Mkuu. Mimi natafakari sana...wafuasi wa JPM ambao mnaona alikuwa mfalme au muungu wa hapa duniani ndio Mna akili za ajabu sana. Hamuoni maovu yake na makosa yake. Lakini ndio watu walivyo.. na ndio maana wengine wnafanikiwa kwenye maisha na wengije HAWAFANIKIWI. Sababu ni mnakosa thinking capacity nzuri.. Endeleeni tu na fikra zenu izo