Soko la Karume limeungua moto

Soko la Karume limeungua moto

Ww ndio umepotea KABISA na hamjitambui.. mnamsifia tu JPM kila siku.. si mkamfufue sasa?? Mtu aliharibu sana hii nchi na inaendelea kuharibika sababu yake..
Karibu kwa kujenga flyover? , kununua ndege ? au kuboresha miundombinu ? au kudhibiti rushwa? ni wapigaji tu ndo mnaompiga vita JPM , hamna hata huruma watu wanachomewa biashara zao ww unatuletea ushabiki maandaz , pumbaf kbs
 
Mkuu. Mimi natafakari sana...wafuasi wa JPM ambao mnaona alikuwa mfalme au muungu wa hapa duniani ndio Mna akili za ajabu sana. Hamuoni maovu yake na makosa yake. Lakini ndio watu walivyo.. na ndio maana wengine wnafanikiwa kwenye maisha na wengije HAWAFANIKIWI. Sababu ni mnakosa thinking capacity nzuri.. Endeleeni tu na fikra zenu izo
Yaan ushaniki wako unakuondolea huruma ua wenzio waliochomewa mitaji yao , subiri vinaka waongezeke mtaani hlf ndo uone Samia au ww shabiki maandaz
 
Na nyumba za Watu zinazoungua huwa zinachomwa na serikali?
ebu tumia akili ww , soko usiku halina watu mbali na walinzi , je moto ulitokea wap? ishirikishe akili yako kidigo , nyumba kuungua ni jambo la kawaida sana sababu kuna vyanzo vya moto vingi ndani ya nyumba
 
Mumlaumu JPM kwa kumweka mama kuwa makamu wa rais na Rais Mtarajiwa. Kama mlimheshimu JPM.. Mheshimuni na Mama pia. Ni chaguo la kipenzi chenu JPM. Kaeni kimya kabisa sababu hapa tulipo ni MAKOSA YA JPM tokea awali.. kila kitu cha nchi hii KILICHOVURUGIKA NA KINACHOVURUGIKA NI SABABU YA JPM aka Mwendazake
Tulipofikia sasa ,tatizo ni sisi wenyewe wananchi, kuna hatua inabidi tuchukue....

Tuwakatae hawa viongozi kwa vitendo,tukatae hii dhuluma na uonevu wa sasa kwa vitendo.
 
Kiukweli.. hajamsaliti. Aliona nchi ilikuwa inapotea na ndio sasa anapambana kuirudisha kwa msitari. Tatizo teari gari lilishaingia kwa shimo KUBWA
wenzio kuchomewa moto unafurahia , Nyerere alisema watz hatujapevuka kuimudu siasa ya vyama vingi
 
Muda mwingine sio serikali. Eneo hilo linamateja wengi sana na vijana wanaotumia madawa. Unaweza kukuta wamegombana na mtu sokoni wakasema unajifanya mjanja unaringia vihela vya sokoni humo, subiri niwashe moto uone utajidaia wapi. Sio kila jambo tuingize siasa.
Kuna walinz pale bro
 
Hii trend ya kuunguza masoko bado haijaisha tu?

Naambiwa soko la Karume limeungua lote na hakuna kilichobaki.

Hivi karibuni kumeibuka mtindo wa kuunguza masoko ya machinga maeneo mbali mbali nchini ikiwa na lengo moja la kuwaondoa machinga.

Najiuliza, mbona karume watu walikua tayari organized, shida ni nini? Mnalazimisha watu wakapange kwenye vizimba machinga complex ambavyo tayari mlishajimilikisha ili mpate pesa ya kula.

TBL fire brigade walijaribu kutaka kuzima moto kwani uko karibu na depot yao wakakatazwa, kwamba waangalie moto usivuke kwenda kwenye depot yao na kwa wananchi ila mengine hayawahusu.

Ipo siku hawa mnaowaonea itafika siku watachoka.

View attachment 2083158
Mkuu kasha sema kamati mwendazake kamati alizikataa
FB_IMG_16423289637541602.jpg
 
Kutupia kila lawama kuwa ni kwa sababu ya ccm kuwa madarakani sidhani kama ni sahihi kwa sababu kwa sababu hata kikija chama kingine kutawala haina maana hakitafanya makosa, kwa hivyo kama yanatokea makosa na hatuna cha kufanya zaidi ya kufikiria kukiondoa chama tawala madarakani basi hilo ni tatizo kubwa maana hakutakuja kutokea chama ambacho kitakuwa ni kikamilifu.
Lzm tukosoe
 
Mkuu. Mimi natafakari sana...wafuasi wa JPM ambao mnaona alikuwa mfalme au muungu wa hapa duniani ndio Mna akili za ajabu sana. Hamuoni maovu yake na makosa yake. Lakini ndio watu walivyo.. na ndio maana wengine wnafanikiwa kwenye maisha na wengije HAWAFANIKIWI. Sababu ni mnakosa thinking capacity nzuri.. Endeleeni tu na fikra zenu izo
We jamaa kiazi sana aiseee.... halafu unajifanya mjuaji sana..
 
Back
Top Bottom